Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 7,035
- 15,332
Chombo kipi cha Idara ya usalama hapa Afrika mashariki ambacho hakijihusishi na siasa na kutotumika kisiasa?Ili kujiita una nguvu kwa dunia ya sasa lazima..
1-uwe na idara bora kabisa ya usalama na vyombo vya usalama ambavyo havijihusishi na siasa wala kutumika kisiasa..
2-silaha za kisasa, teknolojia za kisasa na wataalamu wa cyber security, electronics warfare, ITs n.k .....
3-Wananchi wazalendo ambao wata support nchi yao kwa nguvu moja kipindi cha vita
sasa tujiulize katika hayo tupo hapo kweli?
Rwanda inaipita Tanzania haswa kwenye nini?