Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Rwanda??? Tulio-ndani ya mfumo tunaelewa! Haitachukua siku 3 Rwanda kusahaulika.
Kwa mujibu wa takwimu jeshi linalotukaribia ni Uganda,then kenya hiyo Rwanda hata kwa kambi ya monduli haitoboi.

haha vipi khs it? kwa maana dunia ya leo bila ya it hautoboi, hayo mambo ya sijui monduli ya zamani sana, tuko vp kwenye hiyo sekta ya it ? …
 
Tuliza wenge Jeshi ni taasisi nyingine kabisaa na ipo makini na weledi wakutosheleza!
Takwimu zilipo ni makini na zimefanyiwa analysis ya hali ya juu! Endelea kucomment na hizo akili za vijiweni.
Hakuna kitu kilichohodhiwa na CCM nchi hii ambacho hakijafa. Jeshi letu kwa sasa ni vikaragosi vya CCM na ndo mana wanapitia haya yote ya kudhalilishwa na Jeshi la Rwanda na kufeli mission ya Congo.

Wananchi tunaona haya na hata mlete propaganda za namna gani hamuwezi kutudanganya.
 
Vita ni:

  • Intelligence (Imekufa)
  • Raia wako wa kawaida na (Umoja wa zamani haupo)
  • Allies (Washirika) ( Washirika wa Kagame vs Wa Kwetu????
  • Wanajeshi ( hawa tunao, ingawa wengime wa nchi za Kagame)
  • Silaha/Teknolojia (Yoyote ananunua tu)

Nyingine mbwembwe tu zisizo na kichwa wala miguu
Una uhakika gani Mkuu kama intelijensia imekufa!?
Una uhakika gani kama raia wa Tanzania hawatosimama kutetea taifa lao?Hivi unajua kama Rwanda wahutu wanamchukia Kagame hadi sasa!?
Kuhusu wanajeshi wakuu wenyewe ndio wanafahamu wapi pako sawa wapi panavuja.
Kuhusu silaha Tanzania Ina silaha nyingi tu za kisasa za kupambana na nchi yeyote ukanda huu ukitaka tunaweza kuzijadili.
 
Una uhakika gani Mkuu kama intelijensia imekufa!?
Iko wazi.

Hata kutokana na mtokeo ya kinachoendelea na hawa watu wa TISS wanaofanya kazi ofiso za Wakuu wa mikoa na wilaya.

Hakuna akili huko.

Hata ukiongea na TISS wastafuu wana hofu kubwa.
Una uhakika gani kama raia wa Tanzania hawatosimama kutetea taifa lao?
Kwasasa tuna RAIA, CCM na Wapinzani.

CCM inategemwa ziaid nguvu, pesa na vitisho.

Hivi unajua kama Rwanda wahutu wanamchukia Kagame hadi sasa!?
Mnywaranda ni Mnywaranda tu, nyingine ni stori tu.

Rwanda inalingana na mkoa wa Tanga na ina watu milioni 14. Watu wanatafuta sehwmu ya kuishi tu.
Kuhusu wanajeshi wakuu wenyewe ndio wanafahamu wapi pako sawa wapi panavuja.
Kuhusu silaha Tanzania Ina silaha nyingi tu za kisasa za kupambana na nchi yeyote ukanda huu ukitaka tunaweza kuzijadili.
Moja ya kitumcha muhimu kutatua tatizo ni kukiri kuwa UMEKWISHA maana rasha rasha zipo.

Subiri maafa upoyeze kila kitu.
 
Bila Tanzania Kagame asingefika popote!. Anachofanya Kagame kwa sasa dhidi ya Tanzania ni kile wanachosema kwa lugha ya kinyarwanda ( pia Kirundi,kiha,kihangaza na kishubi ) ya kwamba : " UMUYOVU UMUVURA AMASO,BUKEYE AKAYAKUKANURIRA!".
au kwa kiswahili " shukrani za punda ni mateke".
Hatari sana
 
Mkuu, Tz na Tiss hazipo kama zamani lakini si dhaifu kihivyo kama unavyodhani.
Rwanda wanafanya human intelligence hapa Bongo/HUMINT, sina uhakika lakini huyu mfanya biashara wa TZ kuwa na mahusiano na aliyekuwa miss Rwanda hii ni honey trap...
Russia ilitumia sana hizi mbinu za warembo/romeo spies kupata siri walizozitaka..

Kwenye HUMINT kama hujui moja ya mbinu inayotumika na idara nyingi za kiusalama kupata taarifa ni pamoja na kutengeneza urafiki na wafanya biashara wa silaha..

Hio ni honey trap au infiltration ya human intelligence kwa nia ya kufikia taarifa za ndani za ulinzi na manunuzi ya silaha za Tanzania....

Kama huyo mfanya biashara ana nafasi nyeti, then ni possible point of infiltration.. hivyo kwa hili jambo kutokea public tena kwenye social media hii ina maana kwamba idara ya usalama ni kama imesinzia usingizi... kwa maana contractor hakupewa taarifa mapema kuhusu masuala ya honey trap...

Anapewa taarifa na uelewa kuhusu honey trap, anapewa training thabiti na channel rahisi ya kuripoti, hivyo anachukua tahadhari mapema... Kila mtu mwenye access nyeti anatakiwa asaini security clearance forms zinazomtaka kuripoti mahusiano ya raia wa kigeni...

Watu kama hao lazima idara inafanya lifestyle audit mara kwa mara...

Kama idara ingekuwa makini unavyosema huyo mfanya biashara asingeanza kutumiana messages za mapenzi hadharani vile, lazima angeogopa kufutwa kwa license yake ya biashara ya silaha...

Hio ni ishara ndogo kwamba tumelala sana...
 
Vinchi vidogo Acha kabisa.

Kijapani Vs Lichina

Kiingereza Vs quarter of world.
Now kirwanda Vs Litanzania.

Hapa naona kipondo kinakuja.Kigoma yote itachukuliwa na wanyarwanda
Rwanda wakianzisha vita na Tanzania ndo itakuwa mwisho wao tutaongea mkoa mpya Tanzania.
 
Ndio kauli zenu nyie maccm na machawa wao, mkishavimbiwa supu na sambusa ambazo mmenunua kwa pesa mlizowaibia watanganyika, huwa mnaropoka tu maneno hata kwenye mijadala serious.

Siku zenu zinahesabika.
unaongea ujinga
 
Utashamgaa na kiingereza chako cha gongo. Unawategemea chipukizi wa CCM ndio wapambane na jeshi lililo vitami Kwa miongo 3 sasa.

Wewe endelea kuiba kura za chadema na kufunga wazalendo basii
kura za chadema zitoke wap sasa 🤣 🤣 chama kishajifia kinatafuta tu sehem ya kupoteza ushahidi
 
Ila tuwe wa kweli , japo Rwanda itazidiwa au kushindwa lakini TPDF hivi sasa ipo weak katika historia ya hii nchi, very weak...

Mbinu za kivita duniani zimebadilika sana asee, vita ya Ukraine damage kubwa zinafanywa na drones, karibu asilimia 70...

Na jeshi la Rwanda wamejiingiza kwenye hizo drones, operators wa drones sio wanapasua matofali kwa kichwa, wao ni kama gamers tu, kama mtu anacheza playstation... vita imebadilika sana..

Hao jamaa kujiamini hivyo inabidi iwe wake up call, itakuwa hawajiamini bure... mnakwenda na Artillery guns/mabomu ya mizinga ya enzi za Kagera war, unatumiwa ki drone kidogo kinawalipua na silaha zenu zote...
Mkuu, yanayoendelea Palestine, Iran, Israel, Ukraine na Russia yanatufumbua macho kutuonesha sisi bado tupo nyuma saana ktk medani za kivita za sasa.

Mimi nasema kila siku humu, tukipata mpinzani kama Rwanda, Uganda, Kenya huko Ethiopia, Angola, Misra n.k tusithubutu hata kidogo, hawahawa jirani zetu, endapo tukawapiga basi watatuachia kovu zito saaaana.
 
Rwanda wanafanya human intelligence hapa Bongo/HUMINT, sina uhakika lakini huyu mfanya biashara wa TZ kuwa na mahusiano na aliyekuwa miss Rwanda hii ni honey trap...
Russia ilitumia sana hizi mbinu za warembo/romeo spies kupata siri walizozitaka..

Kwenye HUMINT kama hujui moja ya mbinu inayotumika na idara nyingi za kiusalama kupata taarifa ni pamoja na kutengeneza urafiki na wafanya biashara wa silaha..

Hio ni honey trap au infiltration ya human intelligence kwa nia ya kufikia taarifa za ndani za ulinzi na manunuzi ya silaha za Tanzania....

Kama huyo mfanya biashara ana nafasi nyeti, then ni possible point of infiltration.. hivyo kwa hili jambo kutokea public tena kwenye social media hii ina maana kwamba idara ya usalama ni kama imesinzia usingizi... kwa maana contractor hakupewa taarifa mapema kuhusu masuala ya honey trap...

Anapewa taarifa na uelewa kuhusu honey trap, anapewa training thabiti na channel rahisi ya kuripoti, hivyo anachukua tahadhari mapema... Kila mtu mwenye access nyeti anatakiwa asaini security clearance forms zinazomtaka kuripoti mahusiano ya raia wa kigeni...

Watu kama hao lazima idara inafanya lifestyle audit mara kwa mara...

Kama idara ingekuwa makini unavyosema huyo mfanya biashara asingeanza kutumiana messages za mapenzi hadharani vile, lazima angeogopa kufutwa kwa license yake ya biashara ya silaha...

Hio ni ishara ndogo kwamba tumelala sana...
Umeongea kweli hapa, khs mfanyabiashara ,hiyo kitu nilioona ,ukizingatia mfanyabiashara yuko karibu sana na uagizaji
 
Urusi ina kipi cha kufundisha sasa? Silaha zake ndo watu wanazikimbia saivi wanaenda kununua silaha za uturuki.

Uimara wa Urusi saivi ni Nyuklia tu sio silaha nzuri za kivita. Yeye mwenyewe anasaidiwa na North Korea vita ya Ukraine saivi.
Nonsense
 
Back
Top Bottom