Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Watu ambao wanakaza FUVU ni MAJUHA tu

View attachment 3398207
Nimeusoma huu uzi mkuu, aisee hii nchi kumbe iko uchi tangu kitambo sana kwa mr.Slim

Imagine mtu alikuwa ni luten Kanali tena yuko kwenye kitengo cha IT kumbe ni mamluki, na pengine huyo alikuwa ni mmoja tu ambaye tulimshtukia, vipi wale ambao hatujawahi kuwashtukia mpaka leo?

Bana Kagame ana uhakika na anachokiongea na anatudharau sana kwa sababu hatuna cha kumfanya.
 
Iran mara ya mwisho kupigana vita lini!?
Ila Israel Kila mwaka yeye Yuko vitani,muulize Israel kilimkuta nini alipoigusa Iran iliyokaa zaidi ya miaka 30 bila kupigana.
Iran yuko vitani daily tangia enzi za Saddam
 
Nimeusoma huu uzi mkuu, aisee hii nchi kumbe iko uchi tangu kitambo sana kwa mr.Slim

Imagine mtu alikuwa ni luten Kanali tena yuko kwenye kitengo cha IT kumbe ni mamluki, na pengine huyo alikuwa ni mmoja tu ambaye tulimshtukia, vipi wale ambao hatujawahi kuwashtukia mpaka leo?

Bana Kagame ana uhakika na anachokiongea na anatudharau sana kwa sababu hatuna cha kumfanya.
At least, umeelewa.
 
Huyo ashazoeleka kuropoka tangu enzi za JAKAYA.
Ila nadhani anajua mziki wa Tanzania ukoje.
Eti mziki😂😂
Si uulize kilichotokea Goma kama huna habari upewe??😀

Wajinga mlishaamua kusifia kibibi kimoja kifupi badala ya kushughulika na mambo serious ya nchi wacha PK awanyooshe.

Mijitu ilipigika kama mbwa koko kule Goma hadi ikaomba poo

Taifa la Machawa pumbavu!
 
Ona fala mwingine huyu.
Kwahiyo Kila anayeunga serikali kwa mlengwa fulani ni msifiaji wa mama!?
Punguza ufala.
Goma SAMIDRC hawakuingia front,askari wa DRC wamekua wakijisalimisha pasi na confrontation yeyote.
Unawezaje ukaingia kupigana kwa eneo kama hilo ilhali mwenyeji anajisalimisha bila pingamizi!?
 
Ndio ushahidi wa kuwa ACT ni tawi la CCM!?
Mkuu ukisoma hapo lazima uelewe uhusiano wake mkubwa na ccm ilivyo na hadi akaanzisha ACT
Mfano: Mimi ni mpinzani, nataka kuhamia ccm, alafu naomba ushauri kwa raisi na mwenyekiti wa ccm, raisi na mwenyekiti wa ccm ananishauri nisihamie ccm bali nianzishe chama. Hapo bado huoni mahusiano ya chama nilichoanzisha na ccm??
 
Bado sio justification ya kusema ni tawi.
 
Umeongea uongo mwingi sanaaaa mkuu humu ndani. Uongo mwingi mnoooooo.

Kwa hiyo Rwanda ndio wanaiba madini ya Kongo ?
Unajua ni Kwa nini waliwapekua ?
Karne hii Hakuna Rais au Mzungu

Mjinga anayeweza kupeleka majeshi kwenye nchi nyingine kulinda watu wa nchi nyingine bila kupata faida kisiasa na kiuchumi .

Wanajeshi wa nchi moja waliwahi kuambiwa na wenzao kuwa huku Kongo hatujaja kumaliza vita kwa hiyo usikomae kivita . Hapa tumekuja kupiga hela tu.

Umeongea uongo mwingi sanaaaa mkuu humu ndani. Uongo mwingi mnoooooo.
 
View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0

General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.

Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanasachiwa ili kurudi nyumbani.

Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.

Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.

Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"

Povu Ruksa, Karibu Sana......

Ahakikishe aneshawarudisha nyumbani Wanyarwanda waliojazana Tz.
 
Kwa hiyo Rwanda ndio wanaiba madini ya Kongo ?
Unajua ni Kwa nini waliwapekua ?
Karne hii Hakuna Rais au Mzungu

Mjinga anayeweza kupeleka majeshi kwenye nchi nyingine kulinda watu wa nchi nyingine bila kupata faida kisiasa na kiuchumi .

Wanajeshi wa nchi moja waliwahi kuambiwa na wenzao kuwa huku Kongo hatujaja kumaliza vita kwa hiyo usikomae kivita . Hapa tumekuja kupiga hela tu.
Umeona sasa unavyoongea "hearsays". Kikanuni, hichi umeandika haoa ni uzushi mkuu
 
Lakini si huyo anayembeza (Kagame) kishajaribu na kuona mwenyewe udhaifu ulio (hilo analokumbushia askari wa Tanzania kufurumushwa na kulazimika kuwa chini ya ulinzi wake wakati wote wakiwa njiani kurudi nyumbani). Kwa hiyo huyu habezi bila kujuwa anachobeza.

Hakuna anayefurahia ki-nchi kama haka hata kuwazia tu kuichokonoa Tanzania, lakini ukweli ni kwamba kwa wakati huu tuliomo, tuombe sana tusiingie kwenye migogoro na majirani; kwani tutaaibishwa sana.
Uimara hautokani tu na vijana walivyo tayari; ni amoja na kuwa na uimara wa uongozi wa nchi nzima. Sasa hivi kama nchi tuo chini sana kiuongozi.
Kweli Uzalendo umepungua sana kwetu.

Enzi zetu wahenga yaani saa hizi shule nchi nzima na kila sehemu ni nyimbo za kuwakaanga tu

Banda na Amiin walinyamazishwa na Nyerere na kelele zetu zilikuwa mpaka kwenye Mchakamchaka.

Na marafiki wa shida na Raha tulikuwa nao.
Sijui kama leo tuna marafiki wa kutupa hata gobole
 
Umeona sasa unavyoongea "hearsays". Kikanuni, hichi umeandika haoa ni uzushi mkuu

Mimi nimewahi kwenda huko kibiahsra napaelewa sana kuliko unavyodhani. Rwanda wapo smati sana kulinda nchi yao lakni hawana muda wa kupora mali za nchi nyingine .Kule Kongo Wanyarwanda wapo kama walivyo kwenye nchi nyingine na kama wanauza madini yao Rwanda basi wanauza kama watanzania wanavyouza madini yao India kwa bei rahisi na wahindi wa ayapeleka kwenye soko la dunia ma wao kuingiza pesa nyingi zaidi .
Kwa hiyo usije ukafikiri kuwa Eti karne hii ya kinyanganyi kwamba kuna nchi yenye uchungu na watu wa nchi nyingine . Hayp yalikuwa wakati wa Nyerere .
 
Sijui kama leo tuna marafiki wa kutupa hata gobole
Mchina mwenyewe kisha tambua kuwa CCM, siyo ile iliyokuwa karibu sana na CCP; na kwamba viongozi tulio nao siyo wa kuwategemea, ni matapeli watupu!

Sijui kama hivi vi-inchi vyenye ukwasi mkubwa kama UAE, Qatar, vinaweza kweli vikajitoa kusaidia kwa matumaini ya wao kufaidika na raslimali zetu, na kututawala kinyemela.
Sana sana, watatupeleka tu, kama Sudan walikokwenda.
 
Rwanda wanafanya human intelligence hapa Bongo/HUMINT, sina uhakika lakini huyu mfanya biashara wa TZ kuwa na mahusiano na aliyekuwa miss Rwanda hii ni honey trap...
Russia ilitumia sana hizi mbinu za warembo/romeo spies kupata siri walizozitaka..
Unadhani Tanzania hawajui hilo? Fidel Castro alijua Marita Lorenz ni spy aliyetumwa na CIA kuja kumuua kwa njia ya kumlaghai kimapenzi lakini mwisho
wa siku Marita akazama kwenye penzi zaidi yeye.
Kama huyo mfanya biashara ana nafasi nyeti, then ni possible point of infiltration.. hivyo kwa hili jambo kutokea public tena kwenye social media hii ina maana kwamba idara ya usalama ni kama imesinzia usingizi... kwa maana contractor hakupewa taarifa mapema kuhusu masuala ya honey trap...
Mkuu, michezo anayoicheza Rwanda kwa Tanzania imeshaifanya sana. Hakuna taifa lililolalamikiwa sana OAU kama Tanzania hususani kama michezo michafu anayoifanya Kagame. Michezo anayoifanya Rwanda sasa hivi Tanzania imeanza kuifanya tangu miaka ya 1960.
Kama idara ingekuwa makini unavyosema huyo mfanya biashara asingeanza kutumiana messages za mapenzi hadharani vile, lazima angeogopa kufutwa kwa license yake ya biashara ya silaha...

Hio ni ishara ndogo kwamba tumelala sana...
Mkuu, hivi unaifahamu TISS namna ilivyo? Au ulishawahi kufanya kazi yoyote ambayo imekukutanisha na wa makao makuu pale Dodoma achana na hawa wa kawaida ambao hawana ethics?

Mkurugenzi Mkuu wa idara mwenyewe hafahamu kurugenzi zote zinazoshughulikia kazi tofauti tofauti ndani ya TISS.

Hivi unaichukuliaje Idara?
 
Hakuna kitu kilichohodhiwa na CCM nchi hii ambacho hakijafa. Jeshi letu kwa sasa ni vikaragosi vya CCM na ndo mana wanapitia haya yote ya kudhalilishwa na Jeshi la Rwanda na kufeli mission ya Congo.

Wananchi tunaona haya na hata mlete propaganda za namna gani hamuwezi kutudanganya.
Hakuna ambaye asiyejua kuwa CCM imeiharibu hii nchi lakini si kwa namna hiyo ambayo unataka kuiaminisha hapa.

Mbowe mlimjua juzi kuwa ni mtu wa madili. Lakini idara ilimfahamu Mbowe kabla ya nyinyi kumjua sasa hivi. Ulitaka idara imkabidhi nchi mtu ambaye yupo hivyo?

Idara iliona CCM ina mapungufu ila kwa wapinzani hakuna mwenye unafuu.

Turudi kwenye nukta kuu: Hiyo Rwanda inaitisha Tanzania kwenye nini?
 
Back
Top Bottom