Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

ACT ni tawi la CCM, hujui au unatuzuga tu?

Jenga hoja. Matusi ni ya watu wasio na hoja. Mtu uko tawi la CCM bila kujua, halafu unajidai mjuaji. Hopeless kabisa.
Lete ushahidi kama ACT ni tawi la CCM!?
Nimeshampa hoja,kama unataka kujadili hoja njoo kiheshima na kwa kutoa hoja,ukija kijinga utajibiwa kwa namna uliyokuja.
 
Ni kweli wakuu,
Kama ilivyokuwa enzi za vita ya Kagera na Uganda. Jwtz walikuwa wanapokelewa na raia wa Uganda kwa bashasha na kupewa ushirikiano, ikiwa ni pamoja na kuelekezwa maficho ya askari wa Idd Amin Dada.

Serikali inayoonea na kufarakana na raia wake haiwezi kuwa na uwezo wa kushinda vita yoyote
Maccm yanalojua hilo basi, wao wanachojua ni kufanya anasa na kutumia dola kukandamiza sauti za wanainchi wakiamini kwamba watakuwa untouchable siku zote na wanainchi hawana cha kuwafanya.

Unachokisema kuhusu waganda enzi za vita ya kagera ndio kinachooendelea hata sasa hivi huko Iran.

kuna wairani wengi sana ambao wanaisapoti Israel kwenye vita inayoendelea wakitaka utawala wa Ayatollah Khamnei uanguke, na hata waliokuwa wanatoa taarifa za kiintelijensia mpaka wale maafisa wa kijeshi wa ngazi za juu wa Iran wakauwawa kirahisi ni wairani wenyewe, na ndio maana serikali ya Iran sasa hivi iko bize kuwawinda watu wanaolisaliti taifa kwa kushirikiana na maadui. Na hiyo yote ni kwa sababu wanaichi hawaelewani na serikali.
 
Hiyo mikwara tu mkuu,kwa anayemjua huyo hapati shida.
Kipindi cha Jakaya alipiga mikwara sana aisee,JAKAYA akampiga mkwara wa askari wa mpakani kwa paredi akaufyata.
Mama yenu Samia kaufyata
 
Na waunde kamati wakayachunguze kweli maana kwa yale makombora hata mie sishauri wamruhusu aunde nuclear weapons itakua ni disaster.
Kombora linapiga hapa mita 50 mbele maafa yanatokea!??
Km 200 kwa dakika 8 sio masihara
 
Hakuna mtu anadharau mtu mwingine.

Hapa tunazungumza hali halisi, kama kuna marekebisho wafanye.

Huwezi kujidanganya tuko sawa wakati dalili zote zinaonekana tuko uchi kabisa.
Taja hizo dalili.
 
Rwanda??? Tulio-ndani ya mfumo tunaelewa! Haitachukua siku 3 Rwanda kusahaulika.
Kwa mujibu wa takwimu jeshi linalotukaribia ni Uganda,then kenya hiyo Rwanda hata kwa kambi ya monduli haitoboi.
 
Jenerali Mkunda aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Kokoto Arusha

screenshot_20250503_205457_opera-mini-jpg.3323848
Mkuu, Tz hazipo kama zamani lakini si dhaifu kihivyo kama unavyodhani.
 
Kwaiyo na wewe unafikiri TPDF hawana hizo ndron na pia hatuna vijana walioiva kisawasawa Kwa hizo mambo, ngoja nikuambie ndugu yangu hizo droni tunazo na mitambo mingi ya kisasa na vijana tumewapa mafunzo mengi sana ya kuweza kuoparete hizo mitambo, that's why tulianzisha military science academy kitambo Sana...washagraduate kitambo Sana Intake kadhaa uko mbele, na wengine tumewapeka nje Kwa ajili ya kuongeza maujuzi na exposure za mbinu za medani ..kitu ambacho hukijui ni kwamba TPDF siyo Jeshi la naonyesho la mbinu na silaha zake za kimkakati mtaonyeshwa shoo za kawaida Sana lkn siyo zile zana za ukweli....
Kwaiyo mwache tu uyo Kagame aendelee kubweka kama mbwa mwenye hit ....ipo siku ataomba poo kama siyo msamaha.
Drone hizo za Tanzania zilinunuliwa kutoka nchi ipi? ni model ipi? zina uwezo upi picha ?
 
Rwanda??? Tulio-ndani ya mfumo tunaelewa! Haitachukua siku 3 Rwanda kusahaulika.
Kwa mujibu wa takwimu jeshi linalotukaribia ni Uganda,then kenya hiyo Rwanda hata kwa kambi ya monduli haitoboi.
Basi huko kwenye mfumo mmejaza majinga ya UVCCM ndo mana mna takwimu za namna hiyo.

Jeshi Bora kwa Afrika Mashariki ni Kenya ikifuatiwa na Rwanda then Uganda.

Kenya kwa Navy yao tu wanaweza kuziteka Pwani zote za Tanzania
 
Taja hizo dalili.
1- Winger aka Dalali wa Silaha za JWTZ ni SAID LUGUMI.

Hapa alikuwa anaomba MALIPO yake baada ya biashara.

20250707_230018.jpg
20250707_230015.jpg

2- Said Lugumi ana mahusiano ya Kimapenzi na Mwanamke kutoka Rwanda ambaye ni mtu wa karibu na Kagame.

Kama unajua mbinu za Kiinteligensia za HONEY TRAP huwezi kushangaa hapa. Kila Silaha anayonunua TZ, kupitia Lugumi na siri zote Kagame anazijua.

20250707_230106.jpg

20250707_225931.jpg

3- TZ kwasasa mifumo IMEKUFA. Ukiangalia jinsi walivyotaka KUMUUA LISSU, jinsi walivyompa kesi ya UHAINI na jinsi wanavyoua ua watu kaa kina CHAULA ambao hawana hata MADHARA inaonesha kuwa hakuna AKILI kabisa huko. Hata uwezo wa kutatua vitatizo vidogo kwasasa HAKUNA.

4- Kagame ana watu wake kote kweye mfumo. Na mfano halisi ulishatokea.

Vetting ilishakufa na watu wamejaa kote, na wengine wakishakuwa na KADI ya CCM na shati la KIJANI wanapewa kila kitu. Tuko buay na Pesa na CCM.

Screenshot_20250708_093144_Chrome.jpg

4- Hii hotuba ya Kagame na udhalilishaji wa JWTZ alioufanya na kuweka CLIP mitandaoni wala siyo BAHATI MBAYA.

Kila kitu kiko wazi wala hakihitaji akili kubwa kuwa TUMESHA-FLOP.

Zero kabisa.

20250708_121755.jpg
 
Basi huko kwenye mfumo mmejaza majinga ya UVCCM ndo mana mna takwimu za namna hiyo.

Jeshi Bora kwa Afrika Mashariki ni Kenya ikifuatiwa na Rwanda then Uganda.

Kenya kwa Navy yao tu wanaweza kuziteka Pwani zote za Tanzania
Tuliza wenge Jeshi ni taasisi nyingine kabisaa na ipo makini na weledi wakutosheleza!
Takwimu zilipo ni makini na zimefanyiwa analysis ya hali ya juu! Endelea kucomment na hizo akili za vijiweni.
 
Lete ushahidi kama ACT ni tawi la CCM!?
Nimeshampa hoja,kama unataka kujadili hoja njoo kiheshima na kwa kutoa hoja,ukija kijinga utajibiwa kwa namna uliyokuja.
Unataka ushahidi gani?

Kusoma hujui hata picha huoni?

Mikutano yote ya ATC wanashambulia agenda ya NO REFORMS NO ELECTION. Mpinzani gani unashambulia hoja ya mpinzani mwenzio badala ya kudili na chama tawala?

Dogo Abdul Nondo alitaka kutoka kwenye mstari, walimchukua wakamuadabisha kidogo amerudi kwenye reli.

Kwa serikali inayoteka na kuua wapinzani, inayotuma polisi kupiga wananchi wakiwa kwenye ibada, hata ikivamiwa wananchi wanaweza kuwa upande wa adui.
 
1- Winger aka Dalali wa Silaha za JWTZ ni SAID LUGUMI.

Hapa alikuwa anaomba MALIPO yake baada ya biashara.

View attachment 3398016View attachment 3398017

2- Said Lugumi ana mahusiano ya Kimapenzi na Mwanamke kutoka Rwanda ambaye ni mtu wa kadibu na Kagame.

Kama unajua mbinu za Kiinteligensia za HONEY TRAP huwezi kushangaa hapa. Kila Silaha anayonunua TZ, kupitia Lugumi na siri zote Kagame anazijua.

View attachment 3398019

3- TZ kwasasa mifumo IMEKUFA. Ukiangalia jinsi walivyotaka KUMUUA LISSU, jinsi walivyompa kesi ya UHAINI na jinsi wanavyoua ua watu kaa kina CHAULA ambao hawana hata MADHARA inaonesha kuwa hakuna AKILI kabisa huko. Hata uwezo wa kutatua vitatizo vidogo kwasasa HAKUNA.

4- Kagame ana watu wake kote kweye mfumo. Na mfano halisi ulishatokea.

Vetting ilishakufa na watu wamejaa kote, na wengine wakishakuwa na KADI ya CCM na shati la KIJANI wanapewa kila kitu. Tuko buay na Pesa na CCM.

View attachment 3398022

4- Hii hotuba ya Kagame na udhalilishaji wa JWTZ alioufanya na kuweka CLIP mitandaoni wala siyo BAHATI MBAYA.

View attachment 3398024

Kila kitu kiko wazi wala hakihitaji akili kubwa kuwa TUMESHA-FLOP.

Zero kabisa.

View attachment 3398027
Hizo sababu ulizoleta ni sawa na ambazo watu walizileta kuhusu Iran dhidi ya Israel.
Ila nadhani mmeona Israel nini kimemkuta.
Serikali Bado siyo nyepesi kiasi hicho.
Sawa madhaifu huwenda yapo ila sio ya kiasi hicho Cha kudhani kuwa eti Rwanda anaweza akatufanya kitu.
 
Unataka ushahidi gani?

Kusoma hujui hata picha huoni?

Mikutano yote ya ATC wanashambulia agenda ya NO REFORMS NO ELECTION. Mpinzani gani unashambulia hoja ya mpinzani mwenzio badala ya kudili na chama tawala?

Dogo Abdul Nondo alitaka kutoka kwenye mstari, walimchukua wakamuadabisha kidogo amerudi kwenye reli.

Kwa serikali inayoteka na kuua wapinzani, inayotuma polisi kupiga wananchi wakiwa kwenye ibada, hata ikivamiwa wananchi wanaweza kuwa upande wa adui.
Hizi ndio sababu za kutosha!?
Mbona unaongea hisia tupu?
Mbona hao unaowasema wazee wa NRNE nao wamekula pesa za mama nyingi tu kisirisiri!?
 
Wacha tu waoneshane ubabe sasa unataka tufanye nini

Wacha nitafute karo shule zimefunguliwa hak wacha wapambane
 
Hizo sababu ulizoleta ni sawa na ambazo watu walizileta kuhusu Iran dhidi ya Israel.
Ila nadhani mmeona Israel nini kimemkuta.
Serikali Bado siyo nyepesi kiasi hicho.
Sawa madhaifu huwenda yapo ila sio ya kiasi hicho Cha kudhani kuwa eti Rwanda anaweza akatufanya kitu.
Vita ni:

  • Intelligence (Imekufa)
  • Raia wako wa kawaida na (Umoja wa zamani haupo)
  • Allies (Washirika) ( Washirika wa Kagame vs Wa Kwetu????
  • Wanajeshi ( hawa tunao, ingawa wengime wa nchi za Kagame)
  • Silaha/Teknolojia (Yoyote ananunua tu)

Nyingine mbwembwe tu zisizo na kichwa wala miguu
 
Back
Top Bottom