Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

Sukhoi 25 azikufua dafu kwa rwanda mwaka huu,drc wenyewe wakaanua wazipaki tu,TZ tushtuke majirani wametuacha mbali mno
Ndege hiyo iko poa tu,ishu ni mtumiaji.
Jiulize kwanini Pakistan anaweza akatumia ndege ya zamani dhidi ya India anayetumia ndege za latest edition na akamshinda.
Congo nao Wana jeshi au wacheza ndomboro?
 
Kwaiyo na wewe unafikiri TPDF hawana hizo ndron na pia hatuna vijana walioiva kisawasawa Kwa hizo mambo, ngoja nikuambie ndugu yangu hizo droni tunazo na mitambo mingi ya kisasa na vijana tumewapa mafunzo mengi sana ya kuweza kuoparete hizo mitambo, that's why tulianzisha military science academy kitambo Sana...washagraduate kitambo Sana Intake kadhaa uko mbele, na wengine tumewapeka nje Kwa ajili ya kuongeza maujuzi na exposure za mbinu za medani ..kitu ambacho hukijui ni kwamba TPDF siyo Jeshi la naonyesho la mbinu na silaha zake za kimkakati mtaonyeshwa shoo za kawaida Sana lkn siyo zile zana za ukweli....
Kwaiyo mwache tu uyo Kagame aendelee kubweka kama mbwa mwenye hit ....ipo siku ataomba poo kama siyo msamaha.
Nina mshkaji wangu JW , route za Israel for trainning ni every now and then. Every time. Yeye ni mtaalamu wa mizinga
 

View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0

General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.

Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanasachiwa ili kurudi nyumbani.

Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.

Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.

Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"

Povu Ruksa, Karibu Sana......

Sasa nishone suti kama ya kagame,
 
Ila tuwe wa kweli , japo Rwanda itazidiwa au kushindwa lakini TPDF hivi sasa ipo weak katika historia ya hii nchi, very weak...

Mbinu za kivita duniani zimebadilika sana asee, vita ya Ukraine damage kubwa zinafanywa na drones, karibu asilimia 70...

Na jeshi la Rwanda wamejiingiza kwenye hizo drones, operators wa drones sio wanapasua matofali kwa kichwa, wao ni kama gamers tu, kama mtu anacheza playstation... vita imebadilika sana..

Hao jamaa kujiamini hivyo inabidi iwe wake up call, itakuwa hawajiamini bure... mnakwenda na Artillery guns/mambomu ya mizinga ya enzi za Kagera war, unatumiwa ki drone kidogo kinawalipua na silaha zenu zote...
Kila siku teknolojia za kivita zinakuwa na hivyo hata jeshi letu linahitaji kujijenga zaidi. Hata hivyo, Jeshi letu lina silaha za kisasa zaidi ya hizo ulizotaja hapo, na Rwanda wala haina ubavu wa vita na Tz, hii tunaiteka ndani ya wiki mbili. Kikubwa ambacho lazima kiangaliwe kila wakati ni kuondoa Wanyarwanda waliopo kwenye majeshi na taasisi mbalimbali za Serikali.
 
Mifumo ya kivita imebadirika sana duniani kwa sasa, hizi akili za kusonga mbele na infantry yenye Askari 20000, zama hizi unaweza kupoteza askari wote kwa siku moja.

Uwekezaji mkubwa kwenye maarifa na akili za watu ndio Jambo jema kwa sasa, akili za watu maana yake ujenge kizazi chenye uwezo wa kufikiria, kubuni na kutengeneza zana kulingana na mahitaji.

Zama za sasa, ni ujasusi na technolojia, ujasusi uliotukuka na technolojia ya uhakika kwa watu wako.
Israel asingewekeza kwenye technolojia angalau kuwa na uwezo wa kurusha Fatah nk pale Telaviv na Haifa leo bado angekuwa anachezea kichapo, angalau makombora yake yametumika kama bargain chip kumuokoa.

Watanzania tunaishi kwa historia za zamani sana kwamba tulimpiga Amin na kuvuka mpaka mpaka Kampala tukitumia Askari wa miguu old age tanks na artilleries, hili linatufanya tubweteke na kutaka watu watuogope kwa hii historia ilihali technolojia imebadirika sana, akili za watu zimebadirika sana nasisi tunapaswa kubadirika sana na kuacha siasa kwenye mambo ya msingi.

ndani ya viunga vya Tehrani.
 
Trust me!, hizo ni propaganda tu tuliaminishwa tangu enzi za IDD Amin.
Tanzania ya sasa siyo kama ya zamani. Narudia tena, Kagame anakupiga akiwa ofisini kwake Kigali. Fikiria tu, Rwanda anaivimbia DRC, hujiulizi kuna nn chini ya kapeti?. Rwanda alishachangamkia fursa kitambo mno kabla hamjaamka ndo maana ana uwezo wa kuivimbia hata South Africa.
Waliogundua jeuri za Rwanda na anachoringia, waliondoa majeshi Kongo haraka iwezekanavyo sababu ya Rwanda.
Mkuu Rwanda is nothing to South Africa.
Tena South Africa usimtaje kabisa,hivi unajua kama South Africa ana wanasayansi wanaomsaidia Qatar kuunda silaha ikiwemo drones?
Kilichotokea Congo ni kwamba SADC hawakuenda na silaha zao nzito Bali waliitumia silaha za jeshi la Congo walizozikuta,pia wanajeshi wa Congo hawakuwa wazalendo kwa jeshi lao,makundi ya wapiganaji ya kiraia yalikua active kuliko jeshi la Congo.
Mind you Tanzania angeleta smerch Bm-30 Mlrs ama A-100 Mlrs na South Africa akaleta Air supremacy yake pale Congo na jeshi la Congo likawa active,Kagame jioni sana angepiga ukunga.
 
Tulishajionesha ujinga wetu mpaka hatua ya kutishiwa na "Wilaya" kama Rwanda😥😥😥. Wazee wenyewe wameruhusu hawa mabwege wajazane nchini unategemea nini ?
 
Mziki upi?. Si juzi Mmesalimu amri wenyewe. Tena kwa kusachiwa
Ilibidi kusalimu amri,sasa unapiganaje vita na wenye nchi yao hawako active?
Jeshi la Congo lilikua linaachia maeneo bila hata kuonesha upinzani unadhani wao waalikwa wangefanyaje?
Hivi hata haya mapigano mlifuatilia kweli?
 
Alichokifanya Kikwete ni kuwasumbua Watanzania wa Kabila la Watusi ambao wengi wao wapo Tanganyika Tangu ya miaka ya 1830s
Baadhi ya hawa ndio wanampa jeuri Kagame, JK alifanya vizuri sana, tunapswa kuendelea alipoachia.
 

View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0

General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.

Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanasachiwa ili kurudi nyumbani.

Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.

Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.

Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"

Povu Ruksa, Karibu Sana......

Hiyo picha ni kali na inakuja ndio maana watu wamemuacha msoga apige kelele ili ikifika aiongoze JPM alishaweka utulivu 5 tena
 
Tatizo nadhani wewe unajua JW wanaowezo mkubwa sana kwa mbwembwe zao wanazoomesha. Vita ya leo ni Technolojia sio maneno na ujinga.
Kama serkali yetu imeshindwa kuwadhibiti Wanyarwanda mpaka wanashika vyeo vya juu kabisa tatizo ni letu
Hata Iran imewakaribisha raia wa kigeni hususan Israel na imewapa hadi vyeo jeshini wayahudi.
Na mbona vita dhidi ya Israel waka sustain?
 
Anasema wanaotishia Kigali wakiwa mbali kabla hawajaipiga Kigali watawafuata huko huko. Anasema RPF wanaweza kupigana 2000km kwa miguu!

My take, kusema watawafuata huko huko kabla hawajashambulia Kigali ni ujumbe kuwa wapo "huko" tayari wanasubiri amri tu! Tuwe makini hasa mamluki ndani ya vyombo.
 
Back
Top Bottom