LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 9,211
- 12,716
Haahaa Raha ya wanasiasa vyeo ili wale kuku kwa mrija.Polepole alipatia kwamba maalim seif no miongoni mwa wanasiasa wanakipenda Sana ving'ora na itifaki nimeamini
Zitto kamaliza kazi yake anaingia bungeni kama mbunge wa kuteuliwa na Rais.
Umeongea kwa uchungu sana!Mwaka 2020 hakukuwa na uchaguzi, kulikuwa na uchafuzi!
Unafikiri wangeishijeAisee, njaa mbaya sana
Kibaraka wa wakoloni weusi naona amefika kushangilia ushindi .Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Wana jf, tujifunze kuukubali ukweli jinsi ulivyo, hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Maalim Seif at 77, has everything to gain and nothing to lose.
Hongera Dr. Mwinyi kwa uteuzi huu.
Hongera Maalim Seif kwa kuitanguliza mbele Zanzibar.
Hongera sana ACT Wazalendo for doing the right thing na sasa hizi ndio siasa za kweli za maendeleo, na sio kususa susa bila manufaa yoyote.
P
Sory mkuu kati ya hao huyo seif ndio yupiPongezi kwa CCM kwa ukomavu wa kisiasa, hongera ACT kwa kukubali kwamba maendeleo hayana chama.
Tuliwaasa sana ndugu zetu kwamba hakuna upinzani Tanzania ila kuna wachumia tumbo na vibaraka wakatukatalia, ila nadhani sasa wataelewa.
Mungu ibariki Tanzania
Shangwe sana kwa kwenda mbele.Kibaraka wa wakoloni weusi naona amefika kushangilia ushindi .
Huyu mzee ni Mbung'o kweli kweliWale ambao ndugu zao wameuwawa sijui wanajisikiaje.
Wale ambao ndugu zao wameuwawa sijui wanajisikiaje.