Halafu hichi kiprofessa juzi juzi kilikuwa kinapayuka eti Tanzania haihitaji katiba mpya kwa sasa. Sijui bado kitaendelea kuamini hivyo?

Ngoja tuendelee kupigwa mpaka akili ziwakae makada wa kijani wajinga wajinga ndio waamke.

Mama Samia, January Makamba na Msoga gang endeleeni hivyo hivyo kuupiga mwingi, pigeni pesa haswaa, msirudi nyuma, mpaka makada walie.
Ushuzi tupu
 
Inafikirisha pasipo kuwa na jibu, how this happened??? Mtu aliye na direct interest to be in such a position??

Kweli hili halikuonekana??

Haya mambo ukiyawaza sana unaweza pata stroke,
😀😀Wakiwa madarakani hawafikirii ya wengine...wao ni big brain...nyie hamjui kitu...nyie ni waropokaji wa mitandaoni na hamna effect yoyote kwa nchi...subirini Sasa kitachotokea kwenye madini..
 
Huyu bibi huwa hata hausiki kwenye teuzi, yeye kazi yake ni kusaini tu, nadhani ingekuwa vyema angejiuzulu kabisa maana hakuna kitu cha maana anafanya
Kama ni hivyo basi ana bahati sana.....kukaa tu, kuhudumiwa, kujipatia mshahara mnono na kupata heshima zote si mchezo. Ni hatua ambayo vizazi vyako na vya wengine wengi humu hamtoifikia.....mtabaki kutukana, kukashifu tu na kuomba dua mbaya km hivi. Nyie endeleeni tu kuhangaika na utajiri wa uchawi mliobarikiwa katika familia zenu.
 
Hahahaha umenizidi..Mimi mwenzio ni ngumbaru
Hapana, ngumbaru hujiweka mbali na habari za kuuliza uliza kuhusu elimu. Ni sehemu ya kuelimishana hii; elimu haina maana km hutoitoa kwa watu. Mwaga madini mkuu!
 
Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma.

Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi.

Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi binafsi kwenye bodi ya TANESCO. Yule mama Balozi ndie mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Rex Attorneys ambao wanaiwakilisha Dowans na Symbion kwenye kesi ambazo TANESCO inashitakiwa na hayo makampuni halafu anateuliwa kuwa board member.

"Pamoja na kushirikiana na sekta binafsi, huwezi kuwaingiza wafanyabiashara jikoni wakupikie chakula cha umma!
Sekta ya umma na sekta binafsi hazilinganiki. Ni kweli huwezi kuendesha biashara kama idara ya serikali; pia ni kweli huwezi kuendesha serikali kama kitengo cha biashara."

Unaweza kusoma mwenyewe hapa.

View attachment 1954110

Serikali ya wanasesere shida tupu.
 
Naomba nielimishwe kidogo, hilo lipo katika katiba au ni mawazo binafsi ya Shivji? Yule Trump aliyekuwa Rais wa Marekani ana biashara dunia nzima, Vipi nchi iliathirika na ubiashara wake au ya kule nisiyahusishe na huku kwetu wenye nyeusi ngozi?

Mbowe ni mfanyabiashara na aliwahi kugombea uraisi, vipi km angepata Prof Shivji angekuja na maoni haya pia?!!
Kwa Marekani inawezekana kabisa na usiingilie uchumi kwa sababu wanazo taasisi imara.period.
 
Kama ni hivyo basi ana bahati sana.....kukaa tu, kuhudumiwa, kujipatia mshahara mnono na kupata heshima zote si mchezo. Ni hatua ambayo vizazi vyako na vya wengine wengi humu hamtoifikia.....mtabaki kutukana, kukashifu tu na kuomba dua mbaya km hivi. Nyie endeleeni tu kuhangaika na utajiri wa uchawi mliobarikiwa katika familia zenu.
Mkuu una uhakika gani Kama hao viongozi hawatumii uchawi?
 
Naomba nielimishwe kidogo, hilo lipo katika katiba au ni mawazo binafsi ya Shivji? Yule Trump aliyekuwa Rais wa Marekani ana biashara dunia nzima, Vipi nchi iliathirika na ubiashara wake au ya kule nisiyahusishe na huku kwetu wenye nyeusi ngozi?

Mbowe ni mfanyabiashara na aliwahi kugombea uraisi, vipi km angepata Prof Shivji angekuja na maoni haya pia?!!
Tatizo unashindwa kuelewa tofauti ya mfanyabiashara na muendeshaji wa shirika la umma. Amerika ina sheria zinazofanyakazi. Trump kama rais hawezi kujiingiza ktk biashara akiwa madarakani, atafilisiwa. Akikiuka atajikuta ktk kesi. Hata hivyo Trump kama rais hawezi kuanza kuendesha biashara za serikali.

Ukisoma kilichoandikwa ndo utagundua upuuzi wa uteuzi wa Waziri. Mtu ambaye ana kesi na shirika, huyo huyo tena unamteua ashiriki uendeshaji wa shirika hilo. Walioondolewa kwenye mashirika kama NHC kwa ufisadi, leo tena unamteua Mchechu kushiriki maamuzi ya TANESCO. Makamba ni empty-head!
 
from my book (1999) Impossibility of Gender Equality pages 164-165: "Women should never lead men in all spheres of Power, Politics and Authority because Men is a Superior Gender as a Gift of Nature
Leadership traits hazina correlation na jinsia ya mtu. Mbona kihistoria kuna wanawake wa Shoka waliongoza kwa uweledi kuliko wanaume.

By the way Marie Antoinette alikua mke tu wa mfalme Louis wala hakuwa kiongozi yeye kama yeye so sijaelewa kwanini umeweka mfano wake humu??

Anyway how can I access your book for further reference and knowledge seeking?
 
Leo nimesikia kwenye mkutano wa viongozi wa TANESCO na waziri kwamba shirika lijiendeshe kibiashara.

Unajiuliza, tanesco msingi wa uanzilishwaji wake ilikua ni nini, quality service delivery ama profit oriented?

Kama waziri anataka Tanesco ijiendeshe kibiashara, itakuwa ngumu watu kuunganishiwa umeme. Ndio maana serikali ilikuja na hoja ya 27000 kwa kila mtu ili kuongeza uunganishwaji kwenye umeme.

Waziri kwa unafiki mkubwa anasema sasa shirika liko mikono salama, utafikiri waliokuwepo wote walikua wezi. Huu ni udhalilishaji.

Hakika tuna mawaziri wengi ambao ni mabomu tu! Januari, (siku hizi anajiita na kuasini kama January) ni bomu kuliko tunavyodhani. Jamaa huwa anapozi mbele ya vyombo vya habari kama brainy, lakini it's a loss in action. Mtu huyu siyo mbunifu ni mharibifu tu! Bahati mbaya rais anaendelea kumsikiliza Kikwete na sasa wamerudishwa waharibifu wa nchi.
 
Huyu bibi huwa hata hausiki kwenye teuzi, yeye kazi yake ni kusaini tu, nadhani ingekuwa vyema angejiuzulu kabisa maana hakuna kitu cha maana anafanya
Huyu mkuu wa majeshi kuna kitu kafanya na kikwete ndiyo maana mafisadi wanarudishwa kwa kiburi kikubwa
 
Acheni kelele, anzeni kusafisha Machemli kwa Walalahoi wenzangu, wale wa daraja la kati anzeni kuangalia angalia Majenereta yenu yapo sawa!
Hapa nilipo tayari umeme umekatika toka saa1 asubuhi ,kila siku au siku 2 lazima umeme kukatika hata masaa3
 
Rejeeni Ile Thread yangu kuhusu Tanesco ulivyo mradi wa watu kupiga hela za Nchi. Kwa hiyo mambo yataenda vilevile hadi akili iwakae vizuri wabongo na siku wakijitambua ndo watakomesha huu ushenzi.
Poa. Wapigaji ni watanzania na wakamatwe. Tunapoenda wapigaji watukua akina Symbion Power na hutawagusa.
 
Msomi wa kiwango cha kimataifa wa Tanzania, Profesa Shivji ameshangazwa na kitendo cha wafanya biashara kuchaguliwa kuongoza taasisi za umma.

Shivji anasema sekta ya umma haiwezi kuchangamana na sekta binafsi.

Sisi wengine tumeshangazwa na uteuzi wa wafanya biashara na watu wenye maslahi binafsi kwenye bodi ya TANESCO. Yule mama Balozi ndie mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Rex Attorneys ambao wanaiwakilisha Dowans na Symbion kwenye kesi ambazo TANESCO inashitakiwa na hayo makampuni halafu anateuliwa kuwa board member.

"Pamoja na kushirikiana na sekta binafsi, huwezi kuwaingiza wafanyabiashara jikoni wakupikie chakula cha umma!
Sekta ya umma na sekta binafsi hazilinganiki. Ni kweli huwezi kuendesha biashara kama idara ya serikali; pia ni kweli huwezi kuendesha serikali kama kitengo cha biashara."

Unaweza kusoma mwenyewe hapa.

View attachment 1954110

Huyu nae atakuwa anazeeka vibaya sasa alitaka wateuliwe wachunga mbuzi ndio watasaidia nini Tanesco? Si ndio hao walikuwepo huko? Na lengo ni shirika lijiendeshe kibiashara badala ya ruzuku..

Wafanyabiashara ndio wataivusha nchi sio wenye njaa na wasio na connection.Inabdi awashangae na wananchi wa Zambia kwa kuchagua mfanyabiashara kuwa Rais..

Shivji anadhani bado tuko zama za Mwalimu na kigoda chake pale Mlimani.Shtuka Mzee Dunia inakuacha.
 
Back
Top Bottom