change formula
JF-Expert Member
- Sep 8, 2020
- 694
- 1,463
Wanataka warundi wawe na mkoa wao,nao ni wachache,taifa lilifanya makosa sana kumpitisha yule mshezi kuwa rais wa nchhi hii!!alituletea tabia za unyama na ubaguzi hakika hakuwa mtanzania yule.Walioomba ipewe hadhi ya mkoa ni watu wenye umri mkubwa wanaojua wanaongea nini na kwa nini.