Barabara za lami zikijengwa wilaya ya Hai ni sawa ila zikijengwa Geita ni matumizi mabaya ya kodi!

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Hawa watu wakiendekezwa wataendelea kuligawa taifa letu kwa misingi ya kikanda na kikabila hata kwenye nyanja za upelekwaji maendeleo kwa wananchi. Chadema wakiongozwa na Tundu Lisu wamekuwa wakihubiri amani huku wameficha mapanga mgongoni na ukionekana unatetea masilahi ya taifa wanakubatiza kwa jina la Sukuma gang!
Mfano kujengwa kwa uwanja wa ndege, barabara nzuri za lami na hospitali nzuri ya kanda mkoa wa Geita wilayani Chato imekuwa nongwa kubwa sana kwao kana kwamba Geita siyo sehemu ya Tanzania, Tundu Lisu amefanya ziara huko na ametukana sana maendeleo hayo lakini cha ajabu maendeleo hayohayo akiyakuta mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Hai anasifia na kupongeza sana kwamba serikali imefanya vuzuri! Kama siyo ubaguzi wa kikanda ni nini?
Watu hawa wapingwe kwa nguvu zote.
 
Tuna upinzani wa hovyo sana Tanzania
 
Barabara mahospitali ni muhimu kwa kila mtanzania popote nchini!! But uwanja wa ndege haukua na tija kwa sasa pale chattle, ni bora maboresho yangefanyika geita kwanza. Chattle hata population yake ni too low than geita!!
 
Tusome kwanza I AM THE STATE.
Tusome historia ya TZ ( distribution of colonial social services)
Kwann nyerere, mkapa, mwinyi na kikwete hawajapeleka mambo aliyopeleka magufuli kwao japo walitawala kwa miaka 10?
Hawa wapinzani wa hovyo sawa! Wanakusanya kodi?
Hakuna zambi mbaya kama KUBAGUA WATU na kueneza uchochezi
 
ATCL wameongeza safari za ndege kwenda Chato kutoka 2 hadi 3 kwa wiki.

Hili unalizungumziaje?
 
Hawa watu wakiendekezwa wataendelea kuligawa taifa letu kwa misingi ya kikanda na kikabila hata kwenye nyanja za upelekwaji maendeleo kwa wananchi. Chadema wakiongozwa na Tundu Lisu wamekuwa wakihubiri amani huku wameficha mapanga mgongoni na ukionekana unatetea masilahi ya taifa wanakubatiza kwa jina la Sukuma gang!
Mfano kujengwa kwa uwanja wa ndege, barabara nzuri za lami na hospitali nzuri ya kanda mkoa wa Geita wilayani Chato imekuwa nongwa kubwa sana kwao kana kwamba Geita siyo sehemu ya Tanzania, Tundu Lisu amefanya ziara huko na ametukana sana maendeleo hayo lakini cha ajabu maendeleo hayohayo akiyakuta mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Hai anasifia na kupongeza sana kwamba serikali imefanya vuzuri! Kama siyo ubaguzi wa kikanda ni nini?
Watu hawa wapingwe kwa nguvu zote.
Acha uchochezi ndugu mwana umoja party 🤔
 
Tusome kwanza I AM THE STATE.
Tusome historia ya TZ ( distribution of colonial social services)
Kwann nyerere, mkapa, mwinyi na kikwete hawajapeleka mambo aliyopeleka magufuli kwao japo walitawala kwa miaka 10?
Hawa wapinzani wa hovyo sawa! Wanakusanya kodi?
Hakuna zambi mbaya kama KUBAGUA WATU na kueneza uchochezi
Wewe umejifunza nini kwenye hicho kigazeti mkuu
 
Nimejifunza tabia za ubinafsi, unafiki na upendeleo uliopitiliza toka kwa mtu aliyejiita MZALENDO.
Miss allocation of public funds
Na kutofuata sheria kuliko pitiliza
Nimejaribu kufikiria kama nyerere angekuwa na akili kama mtu huyu nchi hii leo ingekuwa wapi???
Nikusahihishe siyo kijigaxeti ni KITABU IAM THE STATE
 
Mbinafsi namba 1 ni Mbowe asiyependa majimbo mengine yapate maendeleo ,kutwa kujisifu ni billionea wakati chama kina ofisi yenye hadhi ya choo
 
Hawa watu wakiendekezwa wataendelea kuligawa taifa letu kwa misingi ya kikanda na kikabila hata kwenye nyanja za upelekwaji maendeleo kwa wananchi. Chadema wakiongozwa na Tundu Lisu wamekuwa wakihubiri amani huku wameficha mapanga mgongoni na ukionekana unatetea masilahi ya taifa wanakubatiza kwa jina la Sukuma gang!
Mfano kujengwa kwa uwanja wa ndege, barabara nzuri za lami na hospitali nzuri ya kanda mkoa wa Geita wilayani Chato imekuwa nongwa kubwa sana kwao kana kwamba Geita siyo sehemu ya Tanzania, Tundu Lisu amefanya ziara huko na ametukana sana maendeleo hayo lakini cha ajabu maendeleo hayohayo akiyakuta mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Hai anasifia na kupongeza sana kwamba serikali imefanya vuzuri! Kama siyo ubaguzi wa kikanda ni nini?
Watu hawa wapingwe kwa nguvu zote.
Hakuna watu wabaguzi kama chagana,kwa macho ya kawaida ni ngumu kuamini,ila sisi wataasisi tunalijua hilo kitambo sana
 
Mbinafsi namba 1 ni Mbowe asiyependa majimbo mengine yapate maendeleo ,kutwa kujisifu ni billionea wakati chama kina ofisi yenye hadhi ya choo
Mbowe anakusanya kodi kutoka chanzo gani kuna uhusiano gani wa utajiri wa mbowe na kujengwa kwa ofisi za chama?
Umefilika kimawazo wewe? Wenzio wanajadili Tanzania wewe unajadili chama tena hakina hata dola?
Tunajidili upendeleo wa raisi kwa kijiji chake akitumia pesa za watanzania
 
Mh mbona matajiri wenzake wamekuwa wakitoa misaada?
Wakina nani hao? Walikuwa wakimkabidhi mbowe kama mtu au walikabidhi kwa taasisi inayoitwa chadema? Sasa chama hakina hata ofisi sawa!?
Mbona viongozi wake wanapigwa shaba?
Mbona kinawapa wakuu wa wilaya, wabunge na madiwani tena kwa kuwanunua?
Hakijatajwa kwenye ukurasa wowote wa Taarifa ya CAG?
Tujifunze kutafakari tusijibu hoja nzito kwa vihoja tukaonekana viroja
 
ATCL wameongeza safari za ndege kwenda Chato kutoka 2 hadi 3 kwa wiki.

Hili unalizungumziaje?
ATC ndio sababu wanafirisika na wakiendelea hivyo itakufa kabisa ni suala la muda tu; wanafanya siasa badala ya Biashara! Unapeleka ndege ya abiria 170 au hata 78 kubeba abiria 6-12? ni sawa na kupeleka basi mahali pa kupeleka bajaji. Hivi, kwani kila uwanja wa mkoa Tanzania una ndege?
 
Hawa watu wakiendekezwa wataendelea kuligawa taifa letu kwa misingi ya kikanda na kikabila hata kwenye nyanja za upelekwaji maendeleo kwa wananchi. Chadema wakiongozwa na Tundu Lisu wamekuwa wakihubiri amani huku wameficha mapanga mgongoni na ukionekana unatetea masilahi ya taifa wanakubatiza kwa jina la Sukuma gang!
Mfano kujengwa kwa uwanja wa ndege, barabara nzuri za lami na hospitali nzuri ya kanda mkoa wa Geita wilayani Chato imekuwa nongwa kubwa sana kwao kana kwamba Geita siyo sehemu ya Tanzania, Tundu Lisu amefanya ziara huko na ametukana sana maendeleo hayo lakini cha ajabu maendeleo hayohayo akiyakuta mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Hai anasifia na kupongeza sana kwamba serikali imefanya vuzuri! Kama siyo ubaguzi wa kikanda ni nini?
Watu hawa wapingwe kwa nguvu zote.
Sukuma gang ndio ipigwe vita. Ilikuwa upotevu mkubwa kujenga daraja la billion 700 Kigogo-Busisi si afadhali ungejengwa uwanja wa mpira mkubwa.
 
Back
Top Bottom