Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 4,075
- 6,620
Wivu na husudaThe issue is those positions have no meaning at this time! USA has removed itself from WHO
the problem those positions have no relevance anymore!
Wivu na husudaThe issue is those positions have no meaning at this time! USA has removed itself from WHO
the problem those positions have no relevance anymore!
Sasa janabi na tungulile nani ali deserve unajua huyo mwendazake hakua dr au hulijui hiloPunguza kelele basi si kapewa tu kulipa fadhira za yule Marehemu NDUNGULILE
Katika comment bora ndio hiiKwa ile kampeni ya nyumba kwa nyumba,acha ashinde tu ila asiache kuwa anakuja kutuzingua mara mojamoja kuhusu kuacha juice na soda.
Walikua wanataka mkeWatu wana chuki sana na wakamuanzishia nyuzi kibao za kumkandia
Ndugulile alifanyiwa kampeni kubwa tu... Utofauti kwa Janabi lilitokea kundi la madaktari na wanasiasa kupinga. Rais Samia alipiga kampeni sana kwa Ndugulile pamoja na Jakaya.Yani ashinde Dr Ndugulile ndio ashindwe Profesa Janabi?
Dr Ndugulile ana sifa zipi za kumzidi Janabi na alishinda bila kufanyiwa kampeni nzito kama alizofanyiwa Janabi na Rais.
A source of any rohombaya inanzia hapa aana waliona kila kitu wana deserve waoʻ dH washakosa fungu la arobaini si ndo hawa haw walimpamba dak wao feki wa open university kama ohh tz itafaidika ohhh atapana hiki leo wanageuka dah ile aya ya kuwa hawatokua radhi mayahudi na manaswara mpak....eti wanahoji pesa za kumkampenia zimetoka wapi lakin kule mwanzo walikua wanafurah kutumika hzo hela pumnavu zaoUshindi wake ungekuwa hauisadii chochote Tanzania baadhi yetu tusingepandisha uzi jukwaani kupinga CV yake, tena aibu yenyewe ni ukweli kwamba wale jamaa walikuwa ni madaktari wenzake!.
Riziki ni masuala ya msimu, huu muda ni wa waislam hivyo kelele zinazojificha nyuma ya udini ni upotezaji wa nguvu binafsi. Utakuja tena muda wetu wakristo kula bata.
Nani kakwambia kwa hyo ww ni bora kuliko yy ndiondalili za kufilisika kiakili kilenkiti yuponkwa miaka 10 tunza commentAsilete uchawa huko vinginenyo watampiga chini.
Janabi hatudishi fungu lao la kumi ndio hao waliompinga includes his allies in prof hv janabi asiwe bora awe bora yule alikua kakaa tu home baada ya kukosa teuz na kisomo chake cha ku over take na walikaa kimya dah hawa watuNdugulile alifanyiwa kampeni kubwa tu... Utofauti kwa Janabi lilitokea kundi la madaktari na wanasiasa kupinga. Rais Samia alipiga kampeni sana kwa Ndugulile pamoja na Jakaya.
Single mother huyo anakuja feri kuchukua dagaa namjua so mvua kama hz dagaa wa shidaHee! Wewe mama kwani una umri gani hasa au ni mdada upo under 20?
Wametuonea huruma ya kufiwa na Dr Faustine Ndugulile, halafu Rais mwenyewe na Rais Mstaafu JK webembeleza sana. Wale wengine walipeleka application zao na CV tuKuna mmoja nilibishana nae hadi nikaamua nimwache aendelee kujifariji na maapizo yake! Ni nani yule? Au ni wewe Mkuu Stuxnet ndo ambae uliapiza kwa kusema hawezi kushinda kwa sababu hana sifa?!
Watu hawafuatilii wanaeneza chuki zao tu. Ummy na Jakaya walipiga sana kampeni kwa ajili ya Ndugulile Then mama Samia alimnadi sana ikiwemo kuwajulisha viongozi wa EAC na wale wa kusini mwa Afrika.Janabi hatudishi fungu lao la kumi ndio hao waliompinga includes his allies in prof hv janabi asiwe bora awe bora yule alikua kakaa tu home baada ya kukosa teuz na kisomo chake cha ku over take na walikaa kimya dah hawa watu
Kile wanachokitaka WHO anacho Janabi hayo mengine ni kelele tu za watu wa Gambia na Ivory coast mnasumbuka nayoWametuonea huruma ya kufiwa na Dr Faustine Ndugulile, halafu Rais mwenyewe na Rais Mstaafu JK webembeleza sana. Wale wengine walipeleka application zao na CV tu
Wewe ndio shabiki maandazi nyadhifa alizoshika Ndugulile ni kubwa kuliko huyo za janabi, pili Janabi Kuna vitu kadanganya kwenye CV, vimesemwa sana humu sitaki kurudia. Ndugulile alikuwa na education background inayotakiwa. Wewe umeangalia wingi wa pages tu 😁😁Akikujibu nitagi.....
Ushabiki maadazi ni mwingi humu...
Hizi hapa kuna ya page 10 na ya page 6.........
nami nimewaza kwa sautiHivi kushinda kwa Janabi kunaisaidia nini Tanzania?
Maana hii habari imekuwa gumzo kubwa sana Tanzania
Inatusaidia nini Tanzania?