Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO
Hii ni taarifa ya hivi punde.
Prof. Mohamed Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili amechaguliwa kuongoza Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa.

Pongezi nyingi kwake na watanzania.
===============
Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Uchaguzi huo umefanyika leo, Jumapili Mei 18, 2025, huko Geneva, Uswisi.

Prof. Janabi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dk. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda hiyo na Waziri wa zamani wa Afya wa Tanzania, aliyefariki dunia Novemba 2024.

Katika nafasi hii mpya, Prof. Janabi atahudumu kwa kipindi cha miaka mitano, akiwa na fursa ya kuchaguliwa tena kwa muhula mmoja zaidi. Kazi yake kuu itakuwa ni kuongoza juhudi za kuunda sera za afya, kuratibu huduma za dharura za afya, pamoja na kushinikiza suluhu bunifu kwa changamoto za kiafya barani Afrika.

Wagombea wengine walioshiriki katika uchaguzi huo lakini hawakufanikiwa ni pamoja na:

  • Moustafa Mijiyawa (Togo)
  • Dk. N’Da Konan Michel Yao (Ivory Coast)
  • Mohamed Lamine Dramé (Guinea)
Wale vijuso wataficha wapi sura zao
 
Attachments

  • download.jpeg
    download.jpeg
    10.9 KB · Views: 18

Tujiandae kupokea maelekezo kutoka kwa mabeberu ...maana hiyo dini kwa kuabudu mabeberu awajambo
 
Geneva, Switzerland

Prof. Mohamed Janabi hotuba yake ya shukrani baada ya kuwa amechaguliwa leo Mei 18, 2025, katika kikao cha kamati ya Afya ya WHO Afrika huko Uswisi . ..

View: https://m.youtube.com/watch?v=p2MMFquADsM

Furaha kubwa kwa Mtu wa watu, Prof. Mohamed Janabi kupewa imani kubwa na Jumuiya ya Kimataifa baada ya sisi watu wa kawaida kumkubali kwa madarasa yake ya wazi mtandaoni kuhusu afya ambayo kiukweli ni kliniki ya online bila kufika hospitali kwa ushauri ambao ungegharimu fedha, muda, miadi / appointment n.k

TOKA MAKTABA:

Prof. Janabi kuhusu chakula na afya

View: https://m.youtube.com/watch?v=AmqHo7h1-oU
 
Wagombea wengine walioshiriki katika uchaguzi huo lakini hawakufanikiwa ni pamoja na:

  • Moustafa Mijiyawa (Togo)
  • Dk. N’Da Konan Michel Yao (Ivory Coast)
  • Mohamed Lamine Dramé (Guinea)
Kwa hivyo vi-nchi vingetushida, ingekuwa ni AIBU kabisa
 
Hii ni taarifa ya hivi punde.
Prof. Mohamed Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili amechaguliwa kuongoza Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa.

Pongezi nyingi kwake na watanzania.
===============
Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Uchaguzi huo umefanyika leo, Jumapili Mei 18, 2025, huko Geneva, Uswisi.

Prof. Janabi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dk. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda hiyo na Waziri wa zamani wa Afya wa Tanzania, aliyefariki dunia Novemba 2024.

Katika nafasi hii mpya, Prof. Janabi atahudumu kwa kipindi cha miaka mitano, akiwa na fursa ya kuchaguliwa tena kwa muhula mmoja zaidi. Kazi yake kuu itakuwa ni kuongoza juhudi za kuunda sera za afya, kuratibu huduma za dharura za afya, pamoja na kushinikiza suluhu bunifu kwa changamoto za kiafya barani Afrika.

Wagombea wengine walioshiriki katika uchaguzi huo lakini hawakufanikiwa ni pamoja na:

  • Moustafa Mijiyawa (Togo)
  • Dk. N’Da Konan Michel Yao (Ivory Coast)
  • Mohamed Lamine Dramé (Guinea)
Deal done,
hongera sana Prof Janabi.

well done Dr.Jakaya Mrisho Kikwete
God bless you Dr Samia Suluhu Hassan 💪👊🌹🔥🔥
 
The issue is those positions have no meaning at this time! USA has removed itself from WHO

the problem those positions have no relevance anymore!
 
View attachment 3338251
Wazungu wamechagua kwanini na bado LISSU Yuko ndani? CHADEMA here is your question to answer.
 
Tume haikuwa huru, anyway pongezi nyingi kwake na Tanzania Kwa ujumla.
Naiona Tanzania iko vizuri kwenye siasa za kimataifa na kikanda.
Ila tunataka katiba mpya na tume huru.
#NRNE
Wale watu sijui watajificha wapi
 
Back
Top Bottom