Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO
Chadema leo wasipochapiwa wake zao kwa stress sijui 😂
 
Sasa mbona kwa Odinga ameshindwa kule AU?

Chizi kabisa.
Odinga ni Mtanzania? Kenya ambayo ni kibaraka wa WEST kama Chadomo nani awachague?

Odinga angekuwa Mtanzania angepita .

Niliwahi sema Samia ana bahati hata yeye mwenyewe anasema kwenye makuzi yake hajawahi shindwa na yeyote iwe Kwa kupendekezwa au kushindana nafasi zozote
 
Nimemsikiliza Prof pia; yuko Vizuri sana
Mfano amesema; kila nchi ina changamoto zake tofauti na sio sawa kufikiri kuwa tunaweza kuwa na solution moja itakayofanya kazi kwa wote. Wewe unataka ufananishe matatizo ya Afya ya Burundi au Central Africa na south Africa and Egypt nk

Lakini pia kasema ata andaa data base ya kuonesha ni huduma gani za kibingwa zinapatika Africa kwa usahihi; na hii ni muhimu kwani itasaidia kupunguza gharama za kupeleka watu nje lakini pia kujua ni ukanda upi una changamoto zaidi....
Mfano watu wanakimbilia India na Ulaya kutibu Moyo wakati South Africa ina moja ya hospitali kubwa za kutibu moyo duniani na kwa hizi point mbili tu nilijua atashinda..Hongera Dr…Hongera Tanzania
 
Vile vikwazo vya bunge la ulaya havijaaza kufanya kazi?
Naona vimeshindwa 🤣🤣🤣🤣🤣 bunge la ulaya ni kama lilivyo bunge la Africa tuu, hata wanaochaguliwa mara nyingi hatuwajui ila Tanzania tunao wawakilishi wetu kule
 
Manfried vp wale wenye bar wafunge bar zao au waendelee kuuza nyie wanywaji muende kunywa? 😂
 
Wataficha wapi sura zao!!!!! Oooh janabi hawezi kushinda anagewa tu promo!!!
Ukiwasikiliza sana wapinzani unaweza sema nchi yetu ni kama afgan stan
Kuna mmoja nilibishana nae hadi nikaamua nimwache aendelee kujifariji na maapizo yake! Ni nani yule? Au ni wewe Mkuu Stuxnet ndo ambae uliapiza kwa kusema hawezi kushinda kwa sababu hana sifa?!
 
Anaitwa Victoria, huyo dada ana stress balaa, halafu anabadilika kulingana na mob,

Yeye hupenda kuonekana mpinzani akihisi labda ni wengi sana humu ndani!!! Dada hupenda kudharau watu waliomzidi kila kitu
Yaan kuna watu humu basi tuu..
😂😂😂😂😂😂
Sasa kweli kile kichwa cha kukiita poor brain..
Alafu hii mara ya pili nakumbuka kuna watu walisema Mimi ni pascal mayalla
 
Nimemsikiliza Prof pia; yuko Vizuri sana
Mfano amesema; kila nchi ina changamoto zake tofauti na sio sawa kufikiri kuwa tunaweza kuwa na solution moja itakayofanya kazi kwa wote. Wewe unataka ufananishe matatizo ya Afya ya Burundi au Central Africa na south Africa and Egypt nk

Lakini pia kasema ata andaa data base ya kuonesha ni huduma gani za kibingwa zinapatika Africa kwa usahihi; na hii ni muhimu kwani itasaidia kupunguza gharama za kupeleka watu nje lakini pia kujua ni ukanda upi una changamoto zaidi....
Mfano watu wanakimbilia India na Ulaya kutibu Moyo wakati South Africa ina moja ya hospitali kubwa za kutibu moyo duniani na kwa hizi point mbili tu nilijua atashinda..Hongera Dr…Hongera Tanzania
Prof. Yupo vizuri. Naamini ataitendea haki hii nafasi.

Ukweli ni kwamba kuna Watanzania Wazuri tuu, kama wangepata support ya taifa wangeipeperusha vyema bendera yetu.

Mpaka sasa sijui kwa nini Tz haikuweka candidate kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola.
Wangemuweka Balozi Mulamula, naamini angepata ile nafasi. Sasa imeenda Ghana.

Pia tuwe aggressive UN na AU na hizi nafasi za mashirika ya kikanda.

Waziri wa mambo ya nje, kila mwaka atoe report ya Watanzania waliopata nyadhifa kubwa kimataifa. Mabalozi wetu wapimwe kwa ushawishi katika hili pia.

Mabalozi wetu wengi wamelala. Wawajibike.
 
Back
Top Bottom