Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,753
- 165,265
Asilete uchawa huko vinginenyo watampiga chini.
Na mm Narudi kwenye swali sasa, angeshindwa kungekuwa na manufaa gn kwa Tanzania?Sawa turudi kwenye swali sasa, kwa hiyo ushindi wake una manufaa gani kwa Tanzania?
Hii ni taarifa ya hivi punde.
Prof. Mohamed Janabi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili amechaguliwa kuongoza Shirika la Afya Duniani ukanda wa Africa.
Pongezi nyingi kwake na watanzania.
===============
Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Uchaguzi huo umefanyika leo, Jumapili Mei 18, 2025, huko Geneva, Uswisi.
Prof. Janabi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dk. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda hiyo na Waziri wa zamani wa Afya wa Tanzania, aliyefariki dunia Novemba 2024.
Katika nafasi hii mpya, Prof. Janabi atahudumu kwa kipindi cha miaka mitano, akiwa na fursa ya kuchaguliwa tena kwa muhula mmoja zaidi. Kazi yake kuu itakuwa ni kuongoza juhudi za kuunda sera za afya, kuratibu huduma za dharura za afya, pamoja na kushinikiza suluhu bunifu kwa changamoto za kiafya barani Afrika.
Wagombea wengine walioshiriki katika uchaguzi huo lakini hawakufanikiwa ni pamoja na:
- Moustafa Mijiyawa (Togo)
- Dk. N’Da Konan Michel Yao (Ivory Coast)
- Mohamed Lamine Dramé (Guinea)
View attachment 3338251
Mnabadili Gia angani ety asilete uchawa 😂Asilete uchawa huko vinginenyo watampiga chini.
Wakati mnampinga mlikuwa hamjui hy nafasi haina uspecial wowote?Ni vizuri tumepata Matanzania. Lakini tukikuze sana hii nafasi sio kwamba ni special hivyo! Kiasi cha kuwa kitu cha kushangaza!!
Usitupangie.Mnabadili Gia angani ety asilete uchawa 😂
Tanzania inajulikana kimataifa kwamba ni Moja ya nchi zenye wasomi wabobevu wenye sifa za kusimamia mambo ya kimataifa.Sawa turudi kwenye swali sasa, kwa hiyo ushindi wake una manufaa gani kwa Tanzania?
Mkuu, inabidi chadema wote tuandamane mana Uswisi napo hakuna tume huru ya uchaguzi ndo mana jamaa Kashinda 😂Usitupangie.
Wana husuda kubwa dhidi ya TanzaniaWale watu sijui watajificha wapi
Mkuu Oktoba tumewaachia mtawale ulingo, sisi tupo Ubelgiji huku na familia zetuVumilieni tuu, bado October ndo itakuwa kubwa kuliko 😂
Wakati mnampinga mlikuwa hamjui hy nafasi haina uspecial wowote?
Usiseme kashinda!, Sema kashinda kwa kishindo!.Mkuu, inabidi chadema wote tuandamane mana Uswisi napo hakuna tume huru ya uchaguzi ndo mana jamaa Kashinda 😂
Hii tabia ya kuteka na kupoteza watu inayofanywa na watu wasiojulikana isipokomeshwa inaweza kutuharibia.Tanzania inajulikana kimataifa kwamba ni Moja ya nchi zenye wasomi wabobevu wenye sifa za kusimamia mambo ya kimataifa.
Kama kuna watu walikuwa hawaijui Tanzania wataanza kufatilia habari za Tanzania kijiografia, kisiasa, kitaaluma, kitalii , kiuchumi na mengine mengi yatakayoboresha ushirikiano kati ya Tanzania na mataifa mengine ya Africa na dunia kwa ujumla wake.
Kuaminiwa kwa pro.Janabi kwa nafasi hiyo ni moja ya misingi ya kuaminiwa watanzania wengine katika nafasi mbalimbali za uongozi wa kimataifa na hilo ni jambo zuri sana.
Hapo ni Samia na Lissu kama asingeingia mitini Oct.Na ushindi aliopata sio ushindi wa michezo!
Kura 32 wakati wengine wameishia kupata kura 5 na wengine kura 4.
Ukisikia ushindi wa kishindo ndio kama huu!.
Chuki zipi? Mbona kama umekosea njia? Acha makasiriko, amani itawaleMbona wakati mnampinga hamkusema anaweza kupewa hy nafasi kama mfiwa?
Chuki zenu hazijawapeleka popote na bado hamjasema, bado October uchaguzi mkuu
CCM Hawatajificha Watatamba Mitaani Maana Wamezoea Kuiba Kura, INEC fake, Msajili Janja JanjaWale watu sijui watajificha wapi
Safi!! Hapa najua hawez kukujibuNa mm Narudi kwenye swali sasa, angeshindwa kungekuwa na manufaa gn kwa Tanzania?