Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO
Kuna waungwana walikuja na uzi kabisa wakiupinga uprofesa wake wakisema hana hadhi ya kujiita mtaalam wa moyo wakaiponda elimu yake.

Leo kalamba cheo kikubwa tu. Wabongo tuna umahiri mkubwa wa kuharibiana riziki lakini anayeandikwa na Mungu huwa hapingwi kwa kutumia nguvu za kibinadamu.
 
Hivi kushinda kwa Janabi kunaisaidia nini Tanzania?

Maana hii habari imekuwa gumzo kubwa sana Tanzania
Kwani zile nyuz zenu za kumuombea asishinde hiyo nafasi mlifikiri zingeleta manufaa au hasara gani? Prof Janabi ameshinda!! Pole kwa maumivu ya kiroho mbaya unayopitia. Jali afya yako zaidi chuki zitakupunguzia umri wa kuishi duniani hapa!!! Pumbav!!!
 
KIchaa kapewa kibuyu cha maji achezee sasa akikipasua sijui na ukame wa maji dodoma tutapatia maji wapi kwa urahisi na ndio yaliyobakia
 
Hivi kushinda kwa Janabi kunaisaidia nini Tanzania?

Maana hii habari imekuwa gumzo kubwa sana Tanzania
Ushindi wake ungekuwa hauisadii chochote Tanzania baadhi yetu tusingepandisha uzi jukwaani kupinga CV yake, tena aibu yenyewe ni ukweli kwamba wale jamaa walikuwa ni madaktari wenzake!.

Riziki ni masuala ya msimu, huu muda ni wa waislam hivyo kelele zinazojificha nyuma ya udini ni upotezaji wa nguvu binafsi. Utakuja tena muda wetu wakristo kula bata.
 
Hivi kushinda kwa Janabi kunaisaidia nini Tanzania?

Maana hii habari imekuwa gumzo kubwa sana Tanzania
Hakuna inachosaidia zaidi zaidi Nusu ya Mshahara wake anapewa Mkewe kwa hio hapo wa kufurahia Mkewe maana analipwa bila kufanya kazi yoyote ile yaan mumewe analipwa Mshahara full na yeye analipwa Mshahara Nusu na hakuna kazi anayofanya. Kwa hio hawa wanaoshangilia labda ni michepuko ya Janab
 
Kuna mtu hapa hapa JF alisema Ndugulile kauwawa na west Africans ili wachukue hiyo post. That was far fetched and nonsensical at all levels. Baada ya kifo cha Ndugulile ilikua lazima TZ ishinde tena kwa empathy votes na influence ya Maza na Kikwete internationally. Even Steve Wonder saw that coming.
 
Back
Top Bottom