Hongera Prof. Mohammed Janabi, Mkurugenzi WHO Afrika

Hongera Prof. Mohammed Janabi, Mkurugenzi WHO Afrika

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
719
Reaction score
1,173
Hakuna jambo linafurahisha kama kuona mtanzania mwenzetu anapata mafanikio makubwa kimataifa. Sisi watanzania wazalendo tumeupokea taarifa za kuchaguliwa kwako kuwa mkurugenzi wa WHO Afrika matumaini makubwa.

Nafasi aliyoipata Prof. Janabi ni ushindi wetu watanzania kama Taifa. Katika hili hatutakuwa waugwana kama tusipotambua mchango wa Rais Samia katika mafanikio haya. Bila shaka haya ni matokeo ya kazi nzuri ya kuimarisha diplomasia.

Jambo kama hili lina faida nyingi. Ukiacha ukweli kuwa mnapokuwa na mwakilishi mfanya maamuzi kwenye chombo kikubwa kama WHO, maswala yetu kama nchi yanapata mtetezi wakutumainiwa, kubwa lingine ni hamasa inayojengwa kwa wanataaluma na vijana wengine wa kitanzania kuwa mambo makubwa na mazuri yanawezekana.

Mm binafsi nakupongeza na kukutakia kila la kheri katika majukumu yako mapya.

Pia soma: News Alert: - Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO
 
sasa tuwanie ukurugenzi ws AfDB, hapa gavana Tutuba atuwakilishe,
 
Hakuna jipya atakalotuletea kama taifa. Ni cheo cha kuvaa suti tu, so stop rejoicing like kittens.

Boss wake (Janabi) Tedros ni m-Ethiopia lkn waethiopia afya zao kama zetu tu
 
Woooh good news
Sasa sijui atamuachia Nani muhimbili Yake
Aliitendea haki sana
 
Back
Top Bottom