Prof. Mohamed Janabi achaguliwa kuongoza WHO AFRO
Ushindi wake ungekuwa hauisadii chochote Tanzania baadhi yetu tusingepandisha uzi jukwaani kupinga CV yake, tena aibu yenyewe ni ukweli kwamba wale jamaa walikuwa ni madaktari wenzake!.

Riziki ni masuala ya msimu, huu muda ni wa waislam hivyo kelele zinazojificha nyuma ya udini ni upotezaji wa nguvu binafsi. Utakuja tena muda wetu wakristo kula bata.
Huu upumbavu unakusaidia nini? Hata hiyo nafasi angepewa Paroko wako inakusaidia nini?

Hao kina JK si waislamu? Wanawasaidia nini Waislamu zaidi ya ulafi tu na roho mbaya.
 
Wakenya wameanza kuangazia jinsi watakavyonufaika na uwepo wa Janabi ambaye ni mwanaafrika mashariki mwenzao kuhakikisha mpango wa WHO kuendelea kuitumia Kenya kama moja ya eneo la kufanyia tafiti za dawa na tiba na mengine mengi.

Kenyans wanaona Janabi ni fursa kwao kumtumia wakati sisi bongo baadhi yetu wanaona haina faida. Rais sio mjinga kumpigia kampeni mtanzania aipate hiyo nafasi. Ukitaka kuelewa faida Regional Director wa who elewa duties and responsibilities zake then elewa malengo ya who kwa ujumla. Leo mtu akisema haina faida ni kukosa akili kabisa. Kuna faida za moja kwa moja na faida mtambuka. Sera kuhusu Africa kwenye maswala ya kiafya ni shida sana.
Uchaguzi umefanyika jana tu wewe tayari umeshaongea na Wakenya?

Hiyo nafasi ilikuwa inashikiliwa na Mtanzania imenufaisha nchi kitu gani?
 
Ushindi wake ungekuwa hauisadii chochote Tanzania baadhi yetu tusingepandisha uzi jukwaani kupinga CV yake, tena aibu yenyewe ni ukweli kwamba wale jamaa walikuwa ni madaktari wenzake!.

Riziki ni masuala ya msimu, huu muda ni wa waislam hivyo kelele zinazojificha nyuma ya udini ni upotezaji wa nguvu binafsi. Utakuja tena muda wetu wakristo kula bata.
Mkuu unapatikana wapi nikununulie kikombe cha al kasusi.
 
Uchaguzi umefanyika jana tu wewe tayari umeshaongea na Wakenya?

Hiyo nafasi ilikuwa inashikiliwa na Mtanzania imenufaisha nchi kitu gani?
Wewe Doctor wa aina gani kati ya tulio nao nchini? Ni wale wakina Msukuma na Tale au Professor maji marefu? Daktari asiyejua dunia iko kiganjani unaweza pata habari dakika yoyote bila kukutana na yeyote ni hasara kwa nchi.

Swali lako kwamba nafasi hiyo ilikuwa inashikiliwa na mtanzania imeinufaisha nchi kitu gani ni swali la jabu toka kwa mtu ambaye huenda niliamini tofauti ninavyomsoma kwenye andiko hili.

Mtanzania ambaye amekufa akiwa bado hajaripoti ofisini kwake tunauliza matokeo ya utendaji wake ni jambo la kuchekesha🤣🤣🤣🤣🤣🚮🚮
 
Akikujibu nitagi.....
Ushabiki maadazi ni mwingi humu...
Hizi hapa kuna ya page 10 na ya page 6.........

Wewe ndio shabiki maandazi nyadhifa alizoshika Ndugulile ni kubwa kuliko huyo za janabi, pili Janabi Kuna vitu kadanganya kwenye CV, vimesemwa sana humu sitaki kurudia. Ndugulile alikuwa na education background inayotakiwa. Wewe umeangalia wingi wa pages tu 😁😁

Sio kwamba nimebeza ushindi wa Janabi.
Unaendeleza ushabiki maandazi....
Nimeweka cv hizo hapo zilizo tumika kuombea kazi WHO, fungua uangalie sio unasikiliza vilaza wa JF wanamjadili Janabi ambao wao hata kula yao ni mzozo.....

Janabi
1747637835172.png


Ndungulile
1747637925652.png
 
Binafsi nakupongera sana kwa kuchaguliwa kwako kuwa Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Ushindani ulikuwa mkali sana na mwisho wa siku ukaibuka kidedea. Umetupa HESHIMA kubwa Watanzania na nchi ya Tanzania kwa ujumla.
Hongera sana Professa Janabi.
 
Wametuonea huruma ya kufiwa na Dr Faustine Ndugulile, halafu Rais mwenyewe na Rais Mstaafu JK webembeleza sana. Wale wengine walipeleka application zao na CV tu
Sasa mbona hueleweki?! Wametuonea huruma au SSH na JK walibembeleza sana?! All in all, POLE SANA!!
 
Back
Top Bottom