Naona zawadi mungu kakupa ndio hiyo na uwezi kupata na utapata unawasema na ukikataa basi mtoto sio wako.
 
mimi single mother nitamuoa kama anakidhi hivi vigezo

mrefu,awe na kazi ya kueleweka awe na mshahara minimum 2.5m salary
Hapo ongeza.. Huyo mwanaume aliyemzalisha awe alishakufwa tena ikiwezekana ujue lilipo kaburi lake na upate uthibitisho wa video ya msiba na cheti cha kifo pia uthibitisho wa serikali za mitaa kwamba kweli jamaa alikufaga na uhakikishe kaburi lake limejengwa vizuri kwa zege ili lisije kubomoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…