Pongezi kwenu Single Mothers
Unaweza usioe single maza ukaoa fresh kabisa ila ukachapiwa watoto wote na mwamba mwingine tu .

Hiyo inatokea lakini waulize waliooa Single mother watakuambia.

Kuoa single mother kuna matatizo mazito zaidi ya Hilo la kuchapiwa ambalo unafukuza tuu.

Sasa unakuta hauchapiwi lakini hizo kero za hapa na pale unazozipata ni Hatari tupu

Wewe si unawatoto, unawasiliana na Mama zao, huwezi Amini wanaume waliooa hao wanawake uliowazalisha wote kwa huyo mwanamke mnanafasi Sawa. Hasa kama alikuwa anakupenda au anamhudumia
 
Back
Top Bottom