Pongezi kwenu Single Mothers
Singo maza mmoja alikuwa mpenzi wangu alinipigia simu siku hiyo kwa enda kwa mzazi mwenzie nikasikia "ooh yes ooh no harder harder na makofi juuu🥶sijui walikuwa wanafa nini
 
Mnavo wasimanga single mums duuh 😒 nadhani tunatakiwa tuwatie moyo walee watoto wao na sio kuwatia mdomono kila siku kama mswaki
 
WAZAZI WENZAO
Hapa ndio kwenye mtihani mkubwa kuliko ule wa kwanza.
Nikisema wazazi wenzao namaanisha mababa rasmi wa watoto tunaowaongelea.

Hawa mababa ndugu yangu huwaga wabishi sana kuelewa tena ukifanya masihara utaacha mke hivihivi. Umelala na mke wako usiku jamaa atapiga simu, mchana mkeo yupo jikoni jamaa atapiga simu na mke ataongea nae huku simu IMEBANWA SIKIONI NA BEGA huku akiendelea kupika au kufua.

Ukijaji sana utawekewa na loud spika kabisa ili umsikie mwanaume mwenzio.
Hapa utakuwa umeoa takataka! Na wewe mwenyewe utakuwa mwanaume wa daraja la chini sana!
 
Mnavo wasimanga single mums duuh 😒 nadhani tunatakiwa tuwatie moyo walee watoto wao na sio kuwatia mdomono kila siku kama mswaki
Kuna manaume mengi yamegeuka kuwa takataka siku hizi! Kila linaloamka linaamka na Singo mazeri pumbavu kabisa!
 
Kuoa single mother ni sawa na kubeba gunia la misumari kichwani huku una kipara
 
Singo maza ni laana.

Yule ni mke wa mtu, Mzazi mwenzie muda wowote akitaka kumla analiwa.

Vijana kabla hamjaanza ku-date na singo maza hakikisha mumewe kashakufa na kaburi lake ulione.
 
Wanawasema sana ila wanaendelea kula bingo, wadada msimsikilize huyo endeleeni kuwapokea wanaowapenda ili uchungu uwazidi Hawa wenye wivu maana wangekuwa na uwezo wangewaua kabisa ila uwezo hawana.
 
Hivi huwa mko kwenye denial au? There are plenty of options hakuna mtu anashikiwa panga kuwaoa single mother… Y’all can opt better muwaache bila kipoint fingers….

Kuna muda napata kuamini kuwa mnawapenda sana, na wana kitu special!
 
Mwanamke/binadamu sio commodity na hawezi shuka thamani kwa maneno ya jeifu, wala kwa sababu alizozitoa mleta mada.
Nimeandika hivyo ukipita kwenye ma group ya telegram utaona wanawake ambao nin40+ wanavyojianika wazi bila nguo sijui huwa wanafanya vile kwa sababu gani.?

Uliiona ile taarifa ya balozi wa Zambia nchini Afrika Kusini alichofanya? Na video ikavuja analiwa line zote mbili
IMG-20250107-WA0052.jpg
 
Nyumbani kwetu, alikuja Mshikaji na Mke wake na Mtoto, wa Miaka 7. Yule mtoto alikua anaelewana sana na Yule mshikaji( Mtoto na Baba) mtoto anasoma shule za kulipia Tena shule ya Gharama, na mwanamke ni Mama wa nyumbani dharau kibao kwa mshikaji akaanza kutembea na Kinyozi, Kinyozi anavimba tu mtaani
Jamaa akasanukia Chezo... Jamaa alikua analia sana nakujari mtoto wako namsomesha Leo ndo unanilipa Fadhila hizi
 
I nategenea, kuna wanawake hata ex akiwa jaribu hawarudi tena kwake. Mara nyingi akiwa aliumizwa sana nae basi huyo hatamrudia, ila ikiwa mengine kusali tu.
Cocochanel kumbe una akili! Jamaa anachukulia lesson kwa kahaba ndiyo ana-generalize!
 
Kwema Wakuu!

Nafahamu Nina rafiki zangu wakike waliosingle mothers.
Ninajua wapo dada zangu wakike single mother
Na ninajua wapo watoto wakike huenda wakawa single mother.
Lakini hii haitanifanya nisiseme Jambo hili.

Kama Una Miaka chini ya arobaini yaani ni kijana. Mimi kama Taikon Master, na Kaka zako wenye Akili, na Baba zako wenye HEKIMA tunakushauri kamwe usifikirie kuoa single mother.

Usioe Single mother hasa ukiwa Kijana chini ya miaka 40.

Huna sababu hata Moja ya maana ya kuoa single mother.
Ni kweli mapenzi ni upofu lakini haimaanishi uwe mpumbavu.

Kuna mambo unatakiwa uyaelewe kuhusu single mother

1. Kama asingekuwa single mother ni hakika asingekuwa na wewe. Hiyo ni hakika

2. Ni hakika kuwa, wewe tayari ni Step Dad, baba wa Kambo. Hakunaga faida hata Moja utakayoipata kwa kuwa step dad. Ukibisha, nenda tafuta mtu mzima unayemheshimu Sana na aliyefanikiwa Sana. Mwenye AKILI. Muulize kuna faida ya kuwa step Dad. Atakupa Majibu.

3. Kijana mdogo unapooa single mother ni dalili ya kutojiamini, kutojitambua na kujidharua. Wakwanza atakayekudharau ni Mamaako aliyekuzaa hata kama naye alikuwa single mother.
Elewa, ikiwa kijana kuoa mwanamke Mkubwa kuliko yeye kwake inaonekana amejidharau sembuse kuoa single mother.

4. Joto la jiwe kutoka kwa single mother utaanza kuliona mkishazoeana
Elewa, mwanamke hata awe hajaenda shule au awe mjinga kiasi gani. Lakini naturally anauwezo wa kukusoma na kukujua ikoje.
Wakati wewe huna hili wala lile unahangaika kumhudumia Mkeo ambaye ni single mother kwa upendo wote yeye Muda huo anautumia kukusoma ulivyo.
Ndani ya Miaka miwili mitatu tayari atakuwa amekujua vilivyo.

Kipindi mkishazoeana na ashakujua ukiwa huna hili wala lile. Ndio ataanza kukumbuka maisha yake ya nyuma. Atakumbuka marafiki zake. Na mwishowe atamkumbuka Yule Mwanaume aliyekuwa anampenda ambaye mara nyingi ndio wanaowazalishaga watoto wa Kwanza.
Hatakumbuka ubaya wake kama alivyokuhadithia wewe.

Hatimaye, kimyakimya anaanzisha mawasiliano ya Siri na mzazi mwenziye bila ya wewe Kujua.
Kumbuka hapa atakuwa Hana Hofu kwa Sababu ni Kama Nyani aliyerudishwa kwenye Pori analolijua.
Kisosholojia, hapo ni Njia anayoirudia anaijua fika kwa Sababu ndio aliyoijia.

Asije akakudanganya hawawasiliani.

Ukitaka kujua Jambo hilo. Tafuta ndugu yako yoyote ambaye alizaa na mwanamke Fulani. Muulize anawasiliana na shemeji. Utapata Majibu.

5. Kumbuka, asilimia tisini wanawake wenye watoto wao ndio huwatafuta wazazi wenza lakini wewe hutojua.

6. Kumbuka asilimia tisini ya single mother huingia kwenye mahusiano mapya kama project ya Kupata sehemu ya kukuza na kuwalea watoto wao. Na sio sababu ya Mapenzi au kujenga Familia.

7. Elewa, hata ufanye nini mtoto wa single mother hatakuja kuwa Wako Maisha.

8. Elewa, utakapogusa maslahi ya mtoto wa single mother utakuwa umejimaliza mwenyewe. Utakuwa umejiingiza kwenye shida.

9. Itakupasa mtoto wa single mother ambaye sio wako awe na furaha ili nawe uwe na furaha.

10. Single mother ukimuoa anakuchukulia kama haukuwa na option nyingine zaidi na uzuri wake ndio uliochangia kukupumbaza. Hivyo atakudharau tuu.
Jambo ambalo ni Kweli Kabisa.
Yaani uache watoto wabichi, vibinti chuchu konzi alafu utegemee single mother uliyemuoa akuheshimu.

Elewa, mwanamke uliyemuoa ni sehemu mambo yanayokujengea heshima kwenye jamii au mahali popote pale.

11. Kuoa single mother kutapelekea watoto wako utakaowazaa wawe wapili , watatu kuendelea kwa mama husika Jambo ambalo litakufanya ukose mzaliwa wa Kwanza.

Elewa, mzaliwa wa Kwanza anatokana na mwanamke kuzaa kwa mara ya Kwanza.
Huwezi mzalisha mwanamke single mother alafu huyo mtoto ukamuita mzaliwa wa Kwanza.

Usiwe wale wanaume mabwege ambao hupumbazwa na Maneno ya Wanawake wakipewa sifa za kijinga.
Mara mwanaume wa kweli lazima atoe Pesa. Na majianaume mabwege hujikuta yakiwa matumwa na misukule ya wanawake.
Mara hudumia tuu mtoto single mother ndio uanaume huo sijui ukipenda boga penda na ua lake. Ubwege bwege tuu. Baba wa mtoto yupo. Mpelekeeni Babaake akamtunze mtoto

Unandugu kibao Maskini, wasaidie hao.
Watoto wa dada au Kaka zako, hizo pesa saidia wazazi wako.
Jijenge mwenyewe au kale Raha na sio uingizwe ujinga ujinga kama lijinga. Unazidiwa akili Mpaka na Wanyama bhana.

Shenzi!

Ngoja nipumzike sasa
 
Back
Top Bottom