Hawa maigaidi wengine wameishia kumshangaa

View attachment 1875185
Kwani gaidi ana sura gani? au utambulisho wake?

Au gaidi ni mtu wa aina gani hata atofautiane na mbowe?

Gaidi anaweza kuwa mtu yeyote bila kujali rangi, sura, muonekano wala dini.

Hapo ni mwendo wa kucheza na coin tuu, wakati upande mmoja ni HEAD upande mwingine ni TAIL. Nyumbani kwenu ni freedom fighter, ila ugenini ni gaidi.
 
Mkuu kubali tu hapa umepuyanga mbaya kabisa!!!

Ulichoandika hapa na kinachojadiliwa ni mbingu na nchi umewaza nini hadi kuandika hivi?

Sent from my M2012K11AC using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kubali tu hapa umepuyanga mbaya kabisa!!!

Ulichoandika hapa na kinachojadiliwa ni mbingu na nchi umewaza nini hadi kuandika hivi?

Sent from my M2012K11AC using JamiiForums mobile app
Inahitaji mtu mwenye kufikiri ndio ataelewa nilichokiandika,wewe hata sikushangai kwa kutokuona lengo la comment yangu,ila unao muda wa kuendelea kujifunza,siku nyingine usirudie kunipangia cha kuandika.
 
Mmasai kavamia disco.Sasa Mbona unaingiza ishu za Udini??.
 
Ukiwewaka wewe inatosha.. yeye kaweka hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…