realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,985
Swali la kujiuliza ,,,,huyo PAUL CHRISTIAN KISHITE wa Tabora FM,anatumia vyeti gani kwa sasa?
Mkuki kwa nguruwe.,ni muda sasa wakutuambia Yale Ben SAA kumi aliyoongea ni kweli au laa kuhusu thesis zenu na kama mange kimambo anayozua ni kweli au laa!! Sisi tulio foji vyeti mmetutumbua makazini na kupoteza stahiki zetu .,ninyi sasa ni zamu yenu kutumbuka.Awesome indeed...
Kufoji vyeti sio criminal offence...wala haihusiani na utendaji wa mkuu wetu wa mkoa aliyetukuka...
Nami nasema afoji tu, ikibidi hata cheti cha ndoa.
Mtangazaji wa Clouds FM, Paul James amethibitisha kuwa Paul Makonda hatafika katika kipindi za Power breakfast (PB) Makonda alitarajiwa kujibu tuhuma za kununua cheti za Kidato cha nne.
Makonda amesema amepata dharura ya majukumu ya kiserikali.
Kutokana na kubanwa majukumu ya kiserikali Mh. Paul Makonda kwa leo hataweza kujibu tuhuma zinazomkabili hadi hapo siku nyingine itakapotangazwa tena.
Wewe ndio uiombe radhi kwa kuiamini radio ya wasanii
Ameruka pasipo agana na nyonga.besti wa nyumbani kwenu huyo lazima mumsaidie kiushauri na kimawazo. Asiende haraka namna hivyo.
Hivi tunao waandishi wa jinsi hiyo hapa kwetu? Just thinking aloud!!Sasa nafikiri it's high time waandishi wa Habari za kiuchunguzi wafanyie kazi hili jambo liishe...
I wish I KUDU BI Mwandishi wa Habari.. chaaa!!
Waandishi waache uvivu. Waende kwenye shule alizosoma, wanaweza kupata kila kitu. Sidhani kama kuthibitisha kama mtu amesoma shule fulani ni issue ngumu.Wanasema alimaliza 1998 hayapo Online Necta wamekua Mbogo kutoa matokeo.
Tuambie wewe nani? Au popo.Binadamu wanafiki sana Jana baada ya PM kuitikia wito mkasema weeeeeeee kuwa ameitikia wito wa clouds na alipuuzia wito wa mahakama
Kaamua sasa kuwasikiliza Kwa maana ya kutokwenda mmeanza tena kulia lia ni sawa na wakati ule akiwataja wauza madawa mnalalamika asipo wataja mnalalamika
Ni ngumu sana kuwaelewa nyie watu kama ilivyo ngumu kumuelewa mwanamke
Sio kushambulia,ndio ukweli wenywe huo,,,,,unafikiri laana ya walio futwa kaz kwa vyeti feki itamuachaaa???[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila watanzania mnajua kushambulia aisee..
Hata akiwa amemezwa na mchanga poa tu. Nani ataishi milele?Unajua Ben alipo?
Ivi makunda atoke hadharani aje ajibu tuhuma anaejiita mage! siku hiyo nitamdharau sana.
Nachotaka kujua Ndalichako matamko yameisha au hizi kelele hazisikii? Mwenye email au number za simu za huyu waziri tafadhali mtuwekee hapa tumfuate inbox direct.
Ungekuwa unajua kusoma katikati ya mistari ungeelewa nilichomaanisha... nadhani tumetofautiana uelewa hasa kwa hizi lugha za mafumbo.Mkuki kwa nguruwe.,ni muda sasa wakutuambia Yale Ben SAA kumi aliyoongea ni kweli au laa kuhusu thesis zenu na kama mange kimambo anayozua ni kweli au laa!! Sisi tulio foji vyeti mmetutumbua makazini na kupoteza stahiki zetu .,ninyi sasa ni zamu yenu kutumbuka.
Umenena kweli Mkuu..
Maana wamesema sababu ni kwamba ana shuguli ya kitaifa..
Shuguli gani hiyo ya kitaifa ambayo haikuwa kwenye schedule mpaka aijue asub ya leo??
Ngoja tuone leo kutakuwa na shuguli gani ya kitaifa.