Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,977
- 54,107
Tutafika tu
Basi hata heka heka au jahazi. Ikiwezekana hata Soudy Brown amtafute kwenye simu. Naomba clouds ijitahidi kum accommodate kwa kadri inavyowezekana. Lakini azungumzie elimu yake na elimu ya watoto wetu wa Dar Es salaam waliofeli.Imetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana.
Amepata majukumu ya kitaifa.
My Take:
Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda.
Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.
Kwani sisi tulimtumaBinadamu wanafiki sana Jana baada ya PM kuitikia wito mkasema weeeeeeee kuwa ameitikia wito wa clouds na alipuuzia wito wa mahakama
Kaamua sasa kuwasikiliza Kwa maana ya kutokwenda mmeanza tena kulia lia ni sawa na wakati ule akiwataja wauza madawa mnalalamika asipo wataja mnalalamika
Ni ngumu sana kuwaelewa nyie watu kama ilivyo ngumu kumuelewa mwanamke
Si rahisi kukikalia kitimoto kwa hiariningeshangaaaa
I believe it is. Forgery yeyote ni criminal offence. Manji yuko mahakamani kwa forgery. Rais mwenyewe alisema hamna aliyejuu ya sheria. Kama kuna matabaka tujulishwe.Awesome indeed...
Kufoji vyeti sio criminal offence...wala haihusiani na utendaji wa mkuu wetu wa mkoa aliyetukuka...
Nami nasema afoji tu, ikibidi hata cheti cha ndoa.
Utakuwa huko chama cha upinde wa mvua(rainbows)Awe Daudi awe Paul that kiumbe is awesome, that's it! Chapa kazi RC wetu!
Sharia ya nchi yangu lazima ni itii maana mimi ni mfanya biashara na nina creat new business everyday, in order for me to do these, I have to sustain positive mind with no distructions! Siku njema ndugu yangu..,Vipi kijana leo UTATII SHERIA BILA SHURUTI?
It doesn't matter really mradi niko upande wa washindi milele!Utakuwa huko chama cha upinde wa mvua(rainbows)
TETESI; Leo alasiri anajiuzulu kuficha aibu yake na kumlindia heshima mteuzi.Bunge, Mahakama hadi Clouds anakimbia wito!!!!
KADA
Jamani, hivyo smuggling ni right word?The Citizen: Makonda accused over smuggling Form IV certificate.
Daudi anapenda 'madaraka', ni very arrogant. Asijiuzulu, amalize vita aliyoanzisha.TETESI; Leo alasiri anajiuzulu kuficha aibu yake na kumlindia heshima mteuzi.
[emoji23] ila kashanitia shaka ,,kwa jins anavyojua kuupinga uongo angefika haraka sana tuwe na subira huenda ataita press conference kuzungumzia hilo kama alivyorud kulisawazisha jina l mboweSi rahisi kukikalia kitimoto kwa hiari