Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

mwacheni afanye kazi bhana kwani cheti ni nini watu tuna vyeti og tunaumbuka mtaani tu
 
Kweli Makonda yupo juu, so mnampenda hivi hadi kumsubiria kusikia sauti yake. Imependeza sana hii, kumbe ana fans wengi sana nchini

Endeleeni kumpenda, hapa kazi tu
 
Chapa kz chapa kz....hii ndo lugha y ccm lkn hkn kz mnayofany zaid ya maneno mengi.Tokea awamu hii ya usaniii waingie madarakn ni full filamu hkn kz
Kwa upande wako ndugu yangu!
 
Hii serikali sijui kitakacho fuata.. Me naona tu kila hakiendi sawaswa.. Mathalani mfanyakazi wa serikali anapaswa kupewa masilahi yake kuongezewa mshahara, kupandishwa vyeo... Kupewa majukumu ya kufanya, kuhudhuria mikutano nk.. hapa ni kimya mpaka kesho
 
Hizi zilikuwa promo za kupata wasikilizaji maana redio iko hoi kipondi hiki kupata wasikilizaji,sasa wamebaki kukumbatia na kujipendekeza kwa watendaji wa Serikali ili wapate wadau wa kuwasikiliza,unatangazaje mtu kuwa studio wakati huna uhakika?
Mkuu wa mkoa ana rayiba na huwa hakutupuki tu kusema nitakuwepo au sitokuwepo,huu uhuni uliofanyika unazidi kuleta ukakasi wa suala la elimu ya Makonda.
Muda utaamua kuhusu hili.
 
Back
Top Bottom