tehe tehe tehe yamemkutaAmekimbia!! Pia Mahakama wangepata reference anaweza kwenda kwenye redio binafsi tena saa 1 asubuhi anashindwa kwend mahakamani!! Pia atazidi kujikoroga! Naona anajuta kw nini alikuwa kimbelembele!! Nimeona clip ya wazazi wake wanaongea na media hadi huruma!! Anawatesa wazazi waanze kudanganya na kusema uongo!! Yamemkutaa
besti wa nyumbani kwenu huyo lazima mumsaidie kiushauri na kimawazo. Asiende haraka namna hivyo.Issue ya Cheti lazima imdondoshe.
Pale necta kuna watu hawampendi pia, watakisanua-kwa cheo na nafasi yake nauliza tu,haiwezekani kwenda necta na Kubadili data base? na kui-adjust...
au NECTA WAAMINIFU MNO?
NAOMBA KUJUZWA...!
Anatoa ahadi za uongo za nini??Kutokana na kubanwa majukumu ya kiserikali Mh. Paul Makonda kwa leo hataweza kujibu tuhuma zinazomkabili hadi hapo siku nyingine itakapotangazwa tena.
Unajua Ben alipo?Duh!! kweli ndege wanaofanana huruka pamoja, hata aliyemteua naye PhD. yake ina utata
Amefanya je mkuuDaudi Bashite
Hahahaaaa wewe jamaa bwana, ati, KAKA KUONA KAGOMA KUONEKANA.Jana kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Cloudsfm walitangaza kuwa Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwa angekuwepo leo kwenye Kipindi hicho 'segment' ya Kaka Kuona ili kujibu tuhuma zinazomkabili.
Sasa Muda sio mrefu Mtangazaji wa Kipindi hicho wajina wake Paul James 'PJ' amaetangaza kuwa Paul Makonda hataweza kuwepo kutokana na majukumu ya kiserikali. Kwa mtazamo wangu nimefikiri kuwa Kakakuona amegoma kuonekana.