Kakatazwa na mamlaka za juu huwezi shutumiwa ukaita press while unajuwa wewe ni mshutiwa ngoja wanao kuchunguza wakusemeeMtangazaji wa Clouds FM, Paul James amethibitisha kuwa Paul Makonda hatafika katika kipindi za Power breakfast (PB) Makonda alitarajiwa kujibu tuhuma za kununua cheti za Kidato cha nne.
Mwisho kama mnavyo mjuwa leo angeenda kupiga vijembe na sio kujibu hoja nakama mnavyo juwa radio ya watu ni shilawadu hakika baada ya mahojiano dar ingewaka moto na magogoni pangewaka moto sasa ili serikal isipate aibu wamemtuliza kijana wakati taratibu zingine zikiendelea