mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,095
- 655
Kwann asitafutwe huyo paul Christian wa Tabora tumsikie kwanza??
Umenena kweli Mkuu..Hivi Protocally Mkuu wa Mkoa huwa anatakiwa kujua ratiba zake za siku ya Kesho jioni atokapo Ofisini au usiku wa manane na alfajiri? Nyie Clouds Media Group na huyo Makonda wenu endeleeni tu kutufanya Wana Dar es Salaam ni Mangumbaru ila ipo siku mtakuja kuaibika pale ambapo ukweli utakapojulikana.
Inabidi wawe makini nahisi anafanya mchakato wa kubadili then aje kwenye vyombo vya habari.na kwamiaka akiyomaliza 4m 4 hakokamchezo kakuchukua majina ya watu waliokufa au kushindwa kuundelea na shle yalikuwa yanauziwa watu kama huyo.-kwa cheo na nafasi yake nauliza tu,haiwezekani kwenda necta na Kubadili data base? na kui-adjust...
au NECTA WAAMINIFU MNO?
NAOMBA KUJUZWA...!
Amekimbia!! Pia Mahakama wangepata reference anaweza kwenda kwenye redio binafsi tena saa 1 asubuhi anashindwa kwend mahakamani!! Pia atazidi kujikoroga! Naona anajuta kw nini alikuwa kimbelembele!! Nimeona clip ya wazazi wake wanaongea na media hadi huruma!! Anawatesa wazazi waanze kudanganya na kusema uongo!! Yamemkutaa
ndio ubwege mwingine wa serikali hii ya awamu ya tanoLabda kaenda TBC...
Naona hii Clouds hivi sasa ndio Radio ya Taifa.
Inaelekea JPM anaisikiliza sana clouds ndo maana vijana wake wanapigana vikumbo kuitumia ili bwana mkubwa ausikie utendaji kazi wao uliotukuka wa kutumbua na kuumbua na kutishia...
HahahahahahahahahaSizonje kamuonya.....imagine jamaa yupo studio harafu RC original from Tabora anapiga simu mubashara..
Tena sio dogo shekhee..Balaa hilo
Mkuu tuwelee basi hiyo clip ya wazazi tuone maana uongo na ukweli na kama mafuta na majiAmekimbia!! Pia Mahakama wangepata reference anaweza kwenda kwenye redio binafsi tena saa 1 asubuhi anashindwa kwend mahakamani!! Pia atazidi kujikoroga! Naona anajuta kw nini alikuwa kimbelembele!! Nimeona clip ya wazazi wake wanaongea na media hadi huruma!! Anawatesa wazazi waanze kudanganya na kusema uongo!! Yamemkutaa
Issue ya Cheti lazima imdondoshe.
Kama amefoji chet hashindwi kufoji majina ya wauza madawa ingali wanaouza na kusambaza mubashara hawakamatwi.kwa wenye akili wataelewa.nyota njema huonnekana asubuhi[emoji2] .dhambi ya kutaja majina ya watu kwenye kashfa bila uthibitisho inamtafuna.
-kwa cheo na nafasi yake nauliza tu,haiwezekani kwenda necta na Kubadili data base? na kui-adjust...
au NECTA WAAMINIFU MNO?
NAOMBA KUJUZWA...!
[emoji2] [emoji2] [emoji106]Hahahahaha mzee wa kila jambo anaita media duuuuu leo imekuwaje huenda taarifa zina ukweli ndani yakee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa iyo Ndalichako amekwambia uje utoe povu humu jf?Hatuwezi kumfanya kitu sisi tumeitikia wito wa Ndalichako kuwataja wanaotumia vyeti vya watu, ni jukumu la Ndalichako ku deal naye.View attachment 473520
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sasa nafikiri it's high time waandishi wa Habari za kiuchunguzi wafanyie kazi hili jambo liishe...
I wish I KUDU BI Mwandishi wa Habari.. chaaa!!
wanasheria wake watakua wamemtonyaImetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana.
Amepata majukumu ya kitaifa.
My Take:
Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda.
Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.