Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

Ivi makunda atoke hadharani aje ajibu tuhuma anaejiita mage! siku hiyo nitamdharau sana.
 
Imetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana.
Amepata majukumu ya kitaifa.

My Take:
Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda.
Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.
Daud Albert Bashite dah!
 
Makonda sio mgumu na wala wanasheria wengi. Aende na mmoja tu pale redioni amsaidie, mbona mwenzie mbowe alienda PLC kwa wito wake na kimelewaka. Kwani hapo redioni pana sr? Nenda ukate kilimilimi cha hawa watu ......tumechoka.
 
You can run but you cant hide!
You can run away, but you cant run away from yourself!!
Mwenzie Kihiyo kwenye kesi ya uchaguzi wa jimbo la Temeke alijiuzulu ubunge wakati kesi bado inaendelea baada ya kufichua kuwa cheti chake cha Technical collage ni cha ku fodge. Afadhali ya lawama kuliko fedhea, kwa hiyo kesi iliishia hapo.
 
Kabadili gia angani, Magu angemwamishia huko Katavi au Njombe ili awe mbali na media labda atafanya kazi
 
Wale wote mliowafuatiliaga kuhusu vyeti,eg Mwigulu, Kigwangala etc nini kinachoendelea?

Mkuu labda kwa hili, wanaona kuna chance kubwa ya kujiridhisha kwa maoni yao, matapeli wa vyeti vya wizi na taaluma za watu wawekwe wazi au wajitangaze wenyewe.

Labda, kutapatikana legislation hapo baadae kupitia bunge letu, ukikalia uongozi ktk taasisi ya serikali basi ni dhahiri na sisi wananchi tujiridhishe na historia yako kimaisha.

Au huoni hili litatupa clarity ya viongozi wetu, je are they really hardworking au wanatupa lip services tu, janja janja tu. Na hapo tutafanikiwa kwa kiasi fulani..

Sincerity and truthfulness is the sign of a good character for a good leader, na sifa nyengine it is Listening , yaani kuwa msikivu wa kondoo unaowaongozo, na hili naona halipo kwa viongozi wetu...

Yeye na wao wengine, basi wasikilize na wajibu kwa busara na hekma, basi sisi kondoo tutafuata uchungaji wake..
 
Sizonje kamuonya.....imagine jamaa yupo studio harafu RC original from Tabora anapiga simu mubashara..
Hata yeye mambo yake hayajakaa sawia. Hao waandishi wa kiuchunguzi wakiikalia vizuri historia yake itakuwa aibu
 
Imetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana.
Amepata majukumu ya kitaifa.

My Take:
Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda.
Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.

Hivi Protocally Mkuu wa Mkoa huwa anatakiwa kujua ratiba zake za siku ya Kesho jioni atokapo Ofisini au usiku wa manane na alfajiri? Nyie Clouds Media Group na huyo Makonda wenu endeleeni tu kutufanya Wana Dar es Salaam ni Mangumbaru ila ipo siku mtakuja kuaibika pale ambapo ukweli utakapojulikana.
 
Chapa kz chapa kz....hii ndo lugha y ccm lkn hkn kz mnayofany zaid ya maneno mengi.Tokea awamu hii ya usaniii waingie madarakn ni full filamu hkn kz
Na wale walio achishwa kazi baada ya uhakiki wa vyeti walikuwa wanaenda kazini kulala walikuwa hawafanyi kazi
 
Back
Top Bottom