Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
May 8, 2013
9,552
24,164
Imetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana.
Amepata majukumu ya kitaifa.

My Take:
Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda.
Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.
 
Mtangazaji wa Clouds FM, Paul James amethibitisha kuwa Paul Makonda hatafika katika kipindi za Power breakfast (PB) Makonda alitarajiwa kujibu tuhuma za kununua cheti za Kidato cha nne.

Makonda amesema amepata dharura ya majukumu ya kiserikali.
 
Mtangazaji wa Clouds FM, Paul James amethibitisha kuwa Paul Makonda hatafika katika kipindi za Power breakfast (PB) Makonda alitarajiwa kujibu tuhuma za kununua cheti za Kidato cha nne.
Haya mambo ni magumu! Sidhani kama amesingiziwa. Haya yalikuwa yanafanyika sana tena sana. Makonda kijana wa juzi taarifa zake zipo NECTA, it is easy to trace!
 
Imetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana.
Amepata majukumu ya kitaifa.

My Take:
Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda.
Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.
Daudi bashite ndio nani
 
Labda kaenda TBC...

Naona hii Clouds hivi sasa ndio Radio ya Taifa.

Inaelekea JPM anaisikiliza sana clouds ndo maana vijana wake wanapigana vikumbo kuitumia ili bwana mkubwa ausikie utendaji kazi wao uliotukuka wa kutumbua na kuumbua na kutishia...
 
Maswali aliyotakiwa kujibu sio ya mchezo.Nahisi angejimaliza kabisa.Usicheze na binadamu wakiamua kukufuatilia utaumbuka.
 
Back
Top Bottom