Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

Nilipomuona akipayuka kutaja majina nikagundua tu huyu afanyi mambo kisomi, Bali anapayuka ili kujitafutia umaarufu wa kijinga.
 
Kwani aliyekuambia kuwa hili suala la Yeye kuwa na Cheti siyo chake limeanzishwa na Mange ni nani? Kwa taarifa yako tu kuwa Watu wenye Kazi / Shughuli zao walishawahi hata kupinga tu kuteuliwa Kwake ila nguvu ya ( wa Kunyumba ) iliwashinda na Jamaa akateuliwa. Ni vyema siku zingine kama haupo detailed juu ya mambo fulani uwe tu unatulia na kuacha WANAMUME waweke mambo hadharani.
Kwa iyo Mh JK ni wa Kunyumba?
Ivi yeye ndo angekua ametaja yale majina ya mafisadi Mwembe yanga, mngedai vyeti vyake?
 
Nilipomuona akipayuka kutaja majina nikagundua tu huyu afanyi mambo kisomi, Bali anapayuka ili kujitafutia umaarufu wa kijinga.
Majita kutajwa hadharani hayajaanzia leo, ni tangu kutajwa kwa mafisadi papa na nyangumi.
 
Katibu MKUU necta asipofanyia kazi tuhuma hizi anajinyima uhalali wa kufanyia kazi tuhuma zozote nyingine kuhusu vyeti! Mbona rahisi tu! Ni kufuatilia vyeti vya hawa watu wawili wanaotuhumiwa kupeana vyeti kuanzia SHULE ya msingi hadi vyuoni. Ikibainika ni kweli nitasikitika sana maana wengi tunamheshimu kama Shujaa wa Taifa kuhusiana na vita dhidi ya madawa ya kulevya!
 
Afadhali hats alivyokacha kipindi,manake ndo angeharibu kabisa.
 
DAUDI BASHITE.............................................................................

KUDADADEKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
UJINGA HAUONDOKI KWA KUMCHUKIA MWENYE AKILI, UMASKINI HAUONDOKI KWA KUMCHUKIA TAJIRI KADHALIKA NYEGE HAZIONDOKI KWA KUMCHUKIA MWENYE DEMU MKALI
 
Clouds ituombe radhi maana nilijiandaa sana kumsikiliza.
Kwa maana hio mpaka lini? Tumsubilie tena hapo clouds maana ninaham nae sana ya kumsikiliza au kama vipi wamueke hata kile kipind cha mchana cha akina shilawadu
 
Mamlaka ya kutoa vyeti wana kesi ya kujibu! Wanapoona tuhuma kama hizi kwa nini wasitake kuhakiki! Wote hao wanasoma magazeti na wengine wamo humu. Wanakaa kimya kwa manufaa ya Nani? Kwa nini tusihisi kuwa na wao wanahusika kwa namna moja au nyingine?

Kweli kabisa. Inaonekana kama vita ya vyeti feki nayo ni feki.
 
Watanzania tumekuwa watu waajabu sana. Hivi unaongea jambo na kushabikia bila hata kuwa na uhakika. Makonda kasoma miaka ya hivi karibuni na taarifa zake Necta na shule aliyosoma zipo. Sasa mtu hajafanya utafiti na kuja na taarifa sahihi anaanza kushabikia ujinga. Tuache ujinga tukue.

Mkuu, Uliposikia akina Manji, Mbowe na Gwajima wanatajwa kuwa wauza unga kwenye vyombo vya habari siku ile mbona hukulalamika? Kama kweli unajua ni vibaya kufanya/kushabikia kitu bila kuwa na ushahidi. Ni lazima una roho za aina mbili, moja yenye sense of humor, na nyingine ya kinafiki.
 
-kwa cheo na nafasi yake nauliza tu,haiwezekani kwenda necta na Kubadili data base? na kui-adjust...
au NECTA WAAMINIFU MNO?
NAOMBA KUJUZWA...!
Ishu itakuwa ni wanafunzi aliosoma nao na walimu waliomfundisha kumtambua.

NB: MPAKA SASA HAIJULIKANI ALIMALIZA FORM 4 MWAKA GANI. UKITAJWA MWAKA NA SHULE TU, KWISHA HABARI.
 
Awesome indeed...
Kufoji vyeti sio criminal offence...wala haihusiani na utendaji wa mkuu wetu wa mkoa aliyetukuka...
Nami nasema afoji tu, ikibidi hata cheti cha ndoa.
[emoji3] sasa hili la uhakiki wa vyeti kwa watumishi halina mashiko?
 
Back
Top Bottom