Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

Mnatafutwa kupendwa kwa kuwazulia wt mambo ya ajabu?fisiem kwl mmechakaa
 
Pale necta kuna watu hawampendi pia, watakisanua

Sisi kutopendana Kwao hakutusaidii sana bali tunachotaka ni ukweli wao tu juu ya hili na kama anasingiziwa watuambie kiushahidi na kama ni kweli watusaidie Watanzania kuujua na wote waliohusika kumfanikishia Yeye wawajibishwe.
 
Anatoa ahadi za uongo za nini??
Hakujua ratiba yake ya majukumu Mheshimiwa???
Au alikuripuka?

Poa tu ila clouds wameomba radhi lakini pia wamesema akipata muda anaweza kutoa ushirikiano.

Swali kwa watu wa Dar, mmefanya nini mapema hii hadi kubadili uelekeo wa mkuu wenu?

Any emergency please

Kwa Kitendo hicho tu tayari ameshaonyesha jinsi alivyo irresponsible hivyo hafai kuwa Kiongozi. Atafutiwe Kazi nyingine tafadhali.
 
-kwa cheo na nafasi yake nauliza tu,haiwezekani kwenda necta na Kubadili data base? na kui-adjust...
au NECTA WAAMINIFU MNO?
NAOMBA KUJUZWA...!
Mbona na mimi nimekuwa na wasi wasi gafla baba mkubwa anaweza agiza kibadilishwe chap chap.
 
Maswali aliyokuwa anatakiwa kujibu ni magumu sana hasa la Cheti feki na utajiri wa ghafla.
Hayo cha MTOTO kuna watu waliopinda wangeweza kumwuliza mubashara kuhusu tuhuma aliyoitoa Sugu bungeni! Sasa kuna sababu gani ya kujiweka katika mazingira ambayo kuna uwezekano wa kuulizwa swali la kukera kutoka kwa watu waliopinda?
 
Ningeshangaa huo ujasiri wakwenda kuzungunza na media. Machale yamemcheza kijana. Laana ya mzee Warioba inaandama mtu.
 
~Nauliza kuforge cheti ni jinai?
~endapo ni jinai ni hatua gani huweza kuchukuliwa mtu alifanya kosa hilo ?
****
 
Mwenyekiti Kamati ya Usalama ya Mkoa hapaswi kuwa mtu wa kutuhumiwa tuhumiwa!Rais na RC waliangalie jambo hili kwa jicho la tatu na kufikia UAMUZI.
 
Tena mtangazaji hakuweza kusema ni lini Mh Paul Makonda atakuwepo kwenye kipindi , ila amesisitiza mpaka wakati atakapopata nafasi
Shilawadu, tunawaona, hatuwataki kabisa mnamficha tu mwaliwetu.
 
Kama kawaida kuna issue nyingine itaibuliwa very soon ili kufuta hii soo ya "dogo janja"!
 
Back
Top Bottom