Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,301
Nawaamini sana Jf. Tulipata matokeo ya Jesca binti mfalme,hatuwrzi kukosa ya DaudiHivi matokeo hatuwezi. Kuyapata online
Nawaamini sana Jf. Tulipata matokeo ya Jesca binti mfalme,hatuwrzi kukosa ya DaudiHivi matokeo hatuwezi. Kuyapata online
Nawashangaa wanaoshabikia saga hili,kila mtu anamwambia mwenzake achunguze.Mtangazaji wa Clouds FM, Paul James amethibitisha kuwa Paul Makonda hatafika katika kipindi za Power breakfast (PB) Makonda alitarajiwa kujibu tuhuma za kununua cheti za Kidato cha nne.
Makonda amesema amepata dharura ya majukumu ya kiserikali.
matokeo nahisi kuanzia waliomaliza 2004 ndo yanapatikana kama siyo 2003. Makonda naskia kamaliza 1998 so ni mpaka uende Necta ukayaombe.Nawashangaa wanaoshabikia saga hili,kila mtu anamwambia mwenzake achunguze.
Matokeo yote yanapatikana mtandaoni NECTA.kwana nini msiingie mkatafuta hilo jina?
Anaweza badili Database(fields zinazomhusu) lakini hatoweza badili data za wanafunzi wengine halali wa shule aliyojibatiza(waliohitimu mwaka aliojibatiza).What if wakijitokeza na kusema hawamtambui atajificha wapi?-kwa cheo na nafasi yake nauliza tu,haiwezekani kwenda necta na Kubadili data base? na kui-adjust...
au NECTA WAAMINIFU MNO?
NAOMBA KUJUZWA...!
Haya mambo ni magumu! Sidhani kama amesingiziwa. Haya yalikuwa yanafanyika sana tena sana. Makonda kijana wa juzi taarifa zake zipo NECTA, it is easy to trace!
NADHANI TUSONGE MBELE, ILA LISIRUDIWE TENA!Ni kweli... Watu kibao serikalini na mitaani wapo walipo kwa kununua vyeti vya watu.. Hii biashara ilihit sana miaka ya 2008 - going back
Kama hukuwahi kudalaliwa cheti basi ujue ulikuwa hufanyi vizuri shule au wazazi wako walikuwa na misimamo dhabiti..!
Ndalichako analijua sana hili. Ndo maana ilifikia kipindi vyeti vikaanza kubandikwa picha ya aliekifanyia mtihani!
Tukiamua kwenda njia hii hatufiki mbali sana... Wadukuzi wa vyeti ni wengi; wamejaa tele serikalini..
Kwa hiyo upo humu kutetea jinai au? kama hii ni siasa mbona yey amekuwa gwiji wa siasa za kipumbav hii inaitwa "aanzae mmalize" hapa ni cheti tu mdomo hatutaki! akileta cheti hoja hii itafungwaNi mtu mpumbavu tu ndiye anaweza kufanya hivyo, ku-react kwenye ujinga na uhasama na siasa za mitandaoni
Afadhali umemjibu maana humu kuna watu wanapenda kuongea tu bila kufahamu wanachoongeamatokeo nahisi kuanzia waliomaliza 2004 ndo yanapatikana kama siyo 2003. Makonda naskia kamaliza 1998 so ni mpaka uende Necta ukayaombe.
Awesome in bed huh!Awe Daudi awe Paul that kiumbe is awesome, that's it! Chapa kazi RC wetu!
Wewe acha hiyo! Acha uwivuAwesome in bed huh!