Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,455
Cc.
Lizaboni
Lizaboni
Huo ndio ukweli mkuu.Afadhali hajaenda maana angeongeza mjadala zaidi badala ya kutuliza.!
wewe ni makonda?Tushindwe kufanya mambo ya msingi et kisa kujibu tuhuma ambazo zimezushwa na mkata kiuno Mange kimambii
alivyokuwa anasema anaenda hukujua hilo!Tushindwe kufanya mambo ya msingi et kisa kujibu tuhuma ambazo zimezushwa na mkata kiuno Mange kimambii
Kumbe ndio jina lake mbn zuri tu analikataa kwa nini jamani [emoji13] [emoji14]Daudi Bwana...
Hahaha kwa hiyo amesoma alama za nyakati...DOGO JANJA AMEPEWA FUNUNU KUWA YULE CHRISTIAN POUL MTANGAZAJI WA REDIO AMEPANGA KUPIGA SIM LIVE ILI KUWEKA MAMBO SAWA .
DOGO KASEPA!!
Wanasema alimaliza 1998 hayapo Online Necta wamekua Mbogo kutoa matokeo.Hivi matokeo hatuwezi. Kuyapata online