Kwahiyo kazi yako ni kumtetea mwizi wa vyeti.Kwa iyo Ndalichako amekwambia uje utoe povu humu jf?
Kwahiyo kazi yako ni kumtetea mwizi wa vyeti.Kwa iyo Ndalichako amekwambia uje utoe povu humu jf?
Mamlaka ya kutoa vyeti wana kesi ya kujibu! Wanapoona tuhuma kama hizi kwa nini wasitake kuhakiki! Wote hao wanasoma magazeti na wengine wamo humu. Wanakaa kimya kwa manufaa ya Nani? Kwa nini tusihisi kuwa na wao wanahusika kwa namna moja au nyingine?Wale wote mliowafuatiliaga kuhusu vyeti,eg Mwigulu, Kigwangala etc nini kinachoendelea?
Wa kwenda kutrace ndio hakuna sasa. Ni ngumu kwa mtu wa kawaida kwenda pale NECTA kuulizia taarifa za RC.Haya mambo ni magumu! Sidhani kama amesingiziwa. Haya yalikuwa yanafanyika sana tena sana. Makonda kijana wa juzi taarifa zake zipo NECTA, it is easy to trace!
Kwani Makonda amesoma sekondari ipi?
Hata kama ungekuwa wewe!Makonda katia mpira kwapani.
😱😱😱😱Imetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana.
Amepata majukumu ya kitaifa.
My Take:
Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda.
Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.
Hapo ndio huwa unaniacha hoi huna mahaba kwenye mambo ya kijinga.
Unauhakika gani kua wewe sio mwanamke ilhali u miongoni mwa walalamikaji??Binadamu wanafiki sana Jana baada ya PM kuitikia wito mkasema weeeeeeee kuwa ameitikia wito wa clouds na alipuuzia wito wa mahakama
Kaamua sasa kuwasikiliza Kwa maana ya kutokwenda mmeanza tena kulia lia ni sawa na wakati ule akiwataja wauza madawa mnalalamika asipo wataja mnalalamika
Ni ngumu sana kuwaelewa nyie watu kama ilivyo ngumu kumuelewa mwanamke
Pengine alijua 'Kipanya' hatokuwepo baada ya kusikia yupo safarini kwa 'Madiba'..Ila Kipanya naye nooma cjui karudi saa ngapi na mapeema asubuhi kwenye kipindi na maswali yake ya kuudhi ya kwenye kugusa ukweli..kajamaa hakapindishagi...hata ungekuwa wewe ungeacha kuingia mitini?Imetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana.
Amepata majukumu ya kitaifa.
My Take:
Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda.
Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.
Watanzania tumekuwa watu waajabu sana. Hivi unaongea jambo na kushabikia bila hata kuwa na uhakika. Makonda kasoma miaka ya hivi karibuni na taarifa zake Necta na shule aliyosoma zipo. Sasa mtu hajafanya utafiti na kuja na taarifa sahihi anaanza kushabikia ujinga. Tuache ujinga tukue.Imetangazwa hivi sasa kwamba RC wa Dar hatakuwepo leo asubuhi Clouds FM kama ilivyokuwa Imetangazwa jana.
Amepata majukumu ya kitaifa.
My Take:
Ukweli utajulikana tu kama yeye ni Daudi Albert Bashite au Paul Christian Makonda.
Waandishi wa Habari za kiuchunguzi fanyieni kazi hili suala liishe.
Amepata majukumu ya kitaifa.
Sizonje kamuonya.....imagine jamaa yupo studio harafu RC original from Tabora anapiga simu mubashara..
Lakini sio kwa vyeti...sio neno sahihiYeah biashara yeyote isiyo halali, Biashara haramu ndo huitwa Smuggling mtu anaitwa Smuggler sema inakua inafanyika outside Borders