Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Dunia hii iacheni tu! Hili nalo litapita,, kuna mtu alikuwaga na nyodo sana ukienda ofisini kwake kwa shida ya kiofisi, ole wako barua iwe na makosa kidogo utarudishiwa huku unasindikizwa na kibwagizo cha "HAPA KAZI TU". Leo hii Mungu si Bashite naye yumo kwenye orodha ya vyeti fake!!
 
Naomba utumishi watuwekee majina ya watu wenye Vyeti feki ili tuanze kusepa mapema. Siwezi nikaacha kaz kabla sijaona jina langu.
Mkuu mmepewa nafasi ya kutokushtakiwa, wewe sepa tu mapema juwa kuna miaka saba jela.
 
Dunia hii iacheni tu! Hili nalo litapita,, kuna mtu alikuwaga na nyodo sana ukienda ofisini kwake kwa shida ya kiofisi, ole wako barua iwe na makosa kidogo utarudishiwa huku unasindikizwa na kibwagizo cha "HAPA KAZI TU". Leo hii Mungu si Bashite naye yumo kwenye orodha ya vyeti fake!!
Mtaje mkuu
 
Tulia mkuu hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe! hakuna cha jeshi wala nani lazima wote wakaguliwe tujue mbivu na mbichi!
Jeshini msije, huku tunajuwa kutumia silaha tu...............hahahahahahahahhhhhhhhhhhhh
 
Ukiipeleka hiyo orodha excel ukafind dublicates majina 102 yame appear zaidi ya mara moja
 
Hao uliowataja wanafanyiwa vetting na yeye ndiye anawateua kwahiyo hilo group kwanza ana uhakika nalo.

Lakini ili uwe ktk hiyo nafasi husomei taaluma yoyote zaidi ya kujua kusoma na kuandika yaani Rais hajawekewa mpaka na sheria kuwa ili uteue lazima MTU huyo awe na ujuzi huu au elimu kiwango hiki Bali awe anajua kusoma na kuandika
Kama sifa ni kujuwa kusoma na kuandika tu kwa nini mteule atumie jina la mtu mwingine? Unaona sawa? Albert bashite anajuwa kusoma na kuandika kwa nini atumie jaina la mtu mwingine?????
 
Kuna watu huwa wanajiita wasomi sana hapa nchini na wameajiliwa wengi sana kumbe wameghushi Vyeti viongozi wao wa dini Wanakazi sana huko kwenye nyumba zao za ibada
 
Kama sifa ni kujuwa kusoma na kuandika tu kwa nini mteule atumie jina la mtu mwingine? Unaona sawa? Albert bashite anajuwa kusoma na kuandika kwa nini atumie jaina la mtu mwingine?????
Kama una ushahidi nenda kamshtaki ita na vyombo vya habari vitangaze
 
Wachaga mahali popote wako mbele.Hata kwenye vyeti hewa wao ndiyo wengi.
 
Wanabodi. Nimepitia account ya FB ya Mwandishi nguli Dotto Bullendu akidai katika orodha ya waliofukuzwa kwa vyeti feki wapo na Ma-DC kadhaa(hakuwataja). nimepitia ile orodha nimewakosa. Naomba anayewajua aweke hapa. kama hujui husicomment kitu maana naamini utatukana tu.

Naendelea kufanya review nikipata majina na.update hapa

Karibu.

Kwani kuna DC asiye na K tatu? Jibu ni hakuna! Sasa kaa kimya
 
Back
Top Bottom