Je,kuna orodha nyingine?Hii ndiyo orodha ya watumishi 9000 ya watumishi wenye vyeti feki. Je ni sahihi kuwafukuza kazi ukizingatia mchango walioutoa kwa miaka hiyo waliyoitimikia serikali? Hakuna njia nyingine yoyote inayoweza kufanywa bila kuwafukuza?
Karibuni wadau.
Iweke mkuu tuioneUtakuwa umepata yenye majina pungufu, ya majina elfu 9+ ipo
Ripoti moja yenye kurasa 26 ina watumishi vyeti feki 1216 na nyingine kurasa 168 ina watumishi 8716 jumla 9932mbona majina 1200 tu?
tuwekeeni orodha ya wenye vyeti halali...Na utumishi waweke jina ja cheki namba
Wanabodi. Nimepitia account ya FB ya Mwandishi nguli Dotto Bullendu akidai katika orodha ya waliofukuzwa kwa vyeti feki wapo na Ma-DC kadhaa(hakuwataja). nimepitia ile orodha nimewakosa. Naomba anayewajua aweke
hapa. kama hujui husicomment kitu maana naamini utatukana tu.
Naendelea kufanya review nikipata majina na.update hapa
Karibu.
Natamani nikujibu ila basi tuMbona una wasiwasi Mkuu au na Wewe upo nyavuni? Acheni tu muwekwe hadharani ili tuheshimiane vizuri kwani wengi wenu mlikuwa mkitunyanyasa mno humu Kitaani kwa ' Mashauzi ' kibao kumbe hizo ' Nyodo ' zenu zote zilikuwa na msaada wa kutumia Vyeti feki. Karibuni sana Mtaani Wakuu ili tulisongeshe kwa pamoja.
Tutafika tu!
Natamani nikujibu ila basi tu
Acha uongo, NIDA walikuwa wapumbavu kukuta cheti kimoja kinatumiwa na watu 10 ndani ya taasisi moja?Mngalivijua vyombo mnavyovitaja, wao huhakikiki vyeti hata kabla kuanza mafunzo na mamia tumeshuhudia wakirejeshwa kila intake.
Suala si kujua kusoma na kuandika Bali ni kutumia chetu fake kama Bashite! Hiyo ni jinai!Kwa ujumla hilo zoezi halina maana tena, na hata hayo majina wabaki nayo tu
Mkuu....Naomba hapo Wakuu Mwenye nayo ilo PDF
Sorry vyet feki... [emoji3] [emoji3] [emoji3] nilijua Sawa kumbe fofautiMkuu....
Unahitaji majina hewa ama unamaanisha wenye vyeti feki..?