Hiv apo wenye Mikopo Bank inakuaje mkuu,Ni huzun tu imetawala na ukiangalia maisha yalivuomagumu kama mtu akujipanga itakuwa shida. Ila kwa upandw mwingine naona serikal ndo imepata hasara maana najua wengi wao wana mikopo benk.
duh! hebu fanya kuiattach hapa nichekiUtakuwa umepata yenye majina pungufu, ya majina elfu 9+ ipo
8716 ni watumishi wa halmashauriWalisema wapo 9000 orodha waliyoitoa INA watu 8716 Hii imekaaje? HALAFU wanasema wamefukuza watumishi zaidi ya elfu 10000 Mwenye taarifa sahihi aseme
Hao ni kwa serikali za mitaa, nimeona orodha nyingine yenye page 26 ukijumlisha na hiyo yenye page 168 unapata idadi kamili iliyotangazwaWalisema wapo 9000 orodha waliyoitoa INA watu 8716 Hii imekaaje? HALAFU wanasema wamefukuza watumishi zaidi ya elfu 10000 Mwenye taarifa sahihi aseme
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii nchi mkuu ukipata sehem ya kujificha we jifiche endelea kujilia vyako.... ukisema uinuke mkuu ukipigwa umepigwa mazimaDuuh,, huyo nae katoka wapi?? Nchi hii imejaa vituko....!!! Khaaa...!!! hongereni bhana sie ngoja tujungujike,, mkimaliza hizo comedy zenu mje tuijenge nchi..!!!
Sas hiv nyie zamu yenu kulinda kopo sie tumejificha kwenye pagala tutafuteni, mkishatuona nyie mnajificha sisi tunalinda kopo,, hiyo inaitwa kombolela..!!!
Hapo kwa mikopo ndo pagumu, au ile bima ya mikopo ita compasate?? ngoja wataalam waje watufafanulie.Hiv apo wenye Mikopo Bank inakuaje mkuu,
Ndio mkuu hakika nimeumbuka. Naombeni ushauri maana naona kama kuna kagiza mbele hivi. Nilishazoea kutupia tai shamba taweza kweli?!Na wewe ni mmoja wao?