Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Mwanzo wa safari mpya mtaani

Kwa mtazamo wangu hili suala lina faida na hasara

Hasara kwa short term. Watu wasio na kazi/rasmi wanaongezeka

Faida ipo zaidi kwa upande wa serikali na institution zake.

Udanganyifu unapungua. Gharama zinapungua

Lakini hii hai- guarantee maendeleo. Hiyo ni mwanzo tu kuelekea safari ya mafanikio.
 
Hii ndiyo orodha ya watumishi 9000 ya watumishi wenye vyeti feki. Je ni sahihi kuwafukuza kazi ukizingatia mchango walioutoa kwa miaka hiyo waliyoitimikia serikali? Hakuna njia nyingine yoyote inayoweza kufanywa bila kuwafukuza?

Karibuni wadau.
 
Attachments

Ingekua anafukuza hadi wakuu wa mikoa, wilaya, wabunge na mawaziri ingekua sawa. Lakini kubagua baadhi ya watu si sawa, wote wangefukuzwa sababu makosa yao ni sawa.

Huruma sana kwa hao waliofukuzwa
 
DU WAMEWEKA KWELI AISE NOMA SANA
 
Ingekua anafukuza hadi wakuu wa mikoa, wilaya, wabunge na mawaziri ingekua sawa. Lakini kubagua baadhi ya watu si sawa, wote wangefukuzwa sababu makosa yao ni sawa.

Huruma sana kwa hao waliofukuzwa
Ndo mawazo yako hayo???
Unamfukuzaje mbunge mtu aliyechaguliwa na wananchi pasipo kigezo cha vyeti?

naona huelewi, hao waliofukuzwa ni hasa waliotumia vyeti vya taaluma kuomba ajira.
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] katika matendo ya jpm hili limenifurahisha sana, watu tusugue benchi miaka nenda rudi shuleni na ajira tukose halafu kuna watu hewa 'ghosts' aka mizimu walikalia viti visivyowahusu,jpm safi sana hii,nashukuru sikupata ajira rasmi nikajiajiri hata hivyo,karibuni informal sector au m back to school mkabukue cha uzeeni [emoji13] [emoji13] [emoji13] samahani lakini
* Madeni yasiyolipika benki na kwingineko yataongezeka
* HESLB hawa mmewakosa
* vibomu vitaongezeka
* magari na assets nyingine za homeuse baada ya mwezi hivi utanunua kwa bei chee humo mitandaoni
* Nk nk
 
Ndo mfumo tuliona kwa sasa wa kibabe. Ni kweli wamefanya makosa lakini watu 9000 na mifumo yetu mtu mmoja anabeba watu zaidi ya watano. Sasa 9000×5 wakosa mahitaji. Busara ingetumika itafutwe njia nyingine.
 
Ndugu zangu naandika hapa kwa masikitiko makubwa kwani naona maisha yanaenda kuyumba kwa kiasi fulani.... shule ndo zinafungwa hivyo watoto wanarudi nyimbani..... vitu vimepanda bei .nk

Tupeane faraja na ushauri namna ya kuritatua shuala hili na maisha yaendelee kwa kiasi furani

Tufanye nini ili maisha yasonge....

Natanguliza shukrani zangu kwenu waku
 
Back
Top Bottom