Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

Nacho omba n msaada nn cha kufanya au nianze na hatua IPI maana kwel nmeonewa hata nlio soma nao wanapga simu hawaamin wanacho kiona.
Mkuu Manbad ulipeleka vyeti vihakikiwe? Cha kidato cha nne na sita?. Labda mnatumia cheti kimoja watu wawili.
Naomba majibu
 
Nmepeleka vyote vwl tumeambiwa tutoe copies then tuandike barua kupitia kwa mwajiri ziende utumishi haraka wapitie upya then majibu watoe b4 tr 15. Haki itapatikan tu I didn't cheat na nmewaeleza kabsa lazma waombe msamaha na watusafishe upya kwenye jamii.
 
Sielewi kama ndo umefungua mtandao ukaona Jina lako kesho utaamka vipi.
kuna mama jirani yangu tumekutana kwenye daladala.kwakuwa ni mtu mzima humuamkia,LEO NILIPO MUAMKIA KANIMWAGIA MANENO BALAA SIKUTEGEMEA! NA MIAKA YA NYUMA ALIWAHI KUNIOMBA NIKAMFANYIE MTIHANI WA KIDATO CHA4 NIKAMKATALIA!! SIJUI ALIKUTA JINA LAKE?
 
Acha uongo, NIDA walikuwa wapumbavu kukuta cheti kimoja kinatumiwa na watu 10 ndani ya taasisi moja?
NIDA Imeingiaje hapa, umesoma mada? Anaejibiwa aliuliza kwa nini Vyombo vya ulinzi hawamo katika orodha ya vyeti feki!! usikurupuke vyeti vinahakikiwa na Necta
 
Tusijitoe akili. issue ya madawa ya kulevya zilikuwa tuhuma ilikuwa haijadhihirika. hapa uhakiki umefanyika watendaji wamejiridhisha pasi na shaka kuwa majina waliyonayo ni sahihi. kwa hiyo ni vitu 2 tofauti
Kwa hiyo unataka kusema hawawezi tena kudai haki yao?
Akili zako haziangalii mbele.
 
~~~>>>Kuwa mpinzani sio kupinga kila kitu.... Mengine jarbuni kutumia akili zenu...

~~>>>Vijana wa Chadema badala ya kupanua akili nyie mnapanua vidole.. Mwisho mtapanua na makalio....
Mkuu jiheshimu tumia busara kidogo na matusi. Mleta uzi hakuna sentensi aliyotaja Chadema. Ila wewe kwa ufinyu wako wa kufikiri umeingiza siasa na hisia.
 
SASA JINA LA NINI KAMA CHETI ORGIN HUJAWAHI KUWA NACHO AU UNATUMIA CHETI CHA MTU.
JIONGEZE, USISUBILI KUDHALILIKA...
Ngugu yangu ana cheti orijino cha kidato cha nne na mimi ndiye nilimchukulia pale NECTA sasa nashangaa kwenye orodha amewekwa eti ana cheti feki cha form 4! Ajabu!
 
Ile orodha ya watumishi wanaitumia cheti kimoja watu wawili iko wapi jamani, wekeni hapa tuione
 
Back
Top Bottom