Wewe unalaana, kwa hiyo wapo private sector?majeshi hawapo utumishi wa umma mkuu....
punguza kupovukaa...
Matatizo yote haya yametokana na Bashitekatika nchi ya watu 50m watumishi wa umma hawafiki 1m? kazi tunayo!
Mkuu mbona unatuaminisha kitu ambacho ni ngumu kukuamini au wewe ndiye mkuu wa nchi?Tulia mkuu hakuna jiwe litasalia juu ya jiwe! hakuna cha jeshi wala nani lazima wote wakaguliwe tujue mbivu na mbichi!
Maonyesho yote hakuna ubunifu zaidi ya matofaliLabda za maonyesho tu! Na kule ndiko kuna mavilaza wa kutupwa.
da' angela anajua mkuu ndio maana hakushughurika nao.....Wewe unalaana, kwa hiyo wapo private sector?
Wanawake wanapenda kufoji, angalia class ni chabo kila somo.Asilimia 99% ya majina ni wakike duuh
Wengi wameachwa labda orodha ijayo au ndo wameponaIla bado hawajamaliza kuna nurse yuko hospitair ya rufaa mbeya cheti sio chake na mwingine ni mwalimu tukuyu mbeya namjua cheti sio chake lakin hawapo kwenye orodha inamaana bado kuna watu wameachwa
Mtumishi hewa maana yake ni mtumishi anayehesabika kama mtumishi mahala husika lakina kiuhalisia hayupo mtu wa namana hiyo , yaani ni jina tu limepewa cheki namba na mshahara linachukua (wajanja wanachukua)Mtumishi hewa yeye sifa yake ni ipi mkuu?
hawapo utumishi hao mkuu...utakonda bure....waachwe tuu waendelee kutuimarishia ulinzi na usalama...Jeshi na police jamani na wao wakaguliwe ili waingie wenye sifa kamili
Huu uhakiki kwanini haukufika kwenye majeshi yetu au na wao wanatakiwa kujua kusoma na kuandika tu?
Wapo kibao....wameandikwa dar es salaam.....nahisi pale kuanzia 890 hivi na kuendelea.....mlisema nguvu ya soda.....teh teh Ila hatariiiiKuna maahirika kama TANESCO na bandari majina hakuna wakati huko ndo wamejaa