Ongeza thamani kupitia SMS Marketing uone maajabu kwenye mauzo ya biashara yako au michango ya sherehe yako leo

covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
4,911
10,733
SMS-marketing ni zana muhimu sana katika mazingira ya biashara ya leo, na hata katika shughuli za kijamii kama vile sherehe.

Kipindi hiki cha utandawazi kinahitaji njia za mawasiliano ambazo ni haraka, za moja kwa moja na zenye ufanisi, na hakuna zana bora kuliko SMS katika kufikia lengo hili.

Kwa biashara, SMS-marketing inawezesha mawasiliano ya moja kwa moja na wateja, kama kutuma matangazo, ofa maalum, au hata taarifa kuhusu bidhaa na huduma mpya moja kwa moja kwenye simu za wateja wako. Hii inatoa fursa ya kuimarisha uhusiano na wateja na kuongeza mauzo.

Ndio maana kampuni kubwa zinathamini sana aina hii ya marketing na sisi sote humu ni mashahidi tumekuwa tukipokea sms za offers kutoka kampuni mbalimbali kupitia simu zetu.

Kwa upande wa sherehe, SMS-marketing inawezesha mwenye sherehe kama harusi, send off, shughuli nyingine kwa kutuma mialiko, kufuatilia na kuhimiza michango, na hata kutoa taarifa za muhimu kuhusu tukio hilo.

Kwa kuwa watu wengi leo wanatumia simu zao kama chanzo kikuu cha mawasiliano, kutumia SMS-marketing katika biashara na sherehe ni njia ya uhakika ya kufikia hadhira kubwa kwa ufanisi.

Binafsi mimi ni mbobezi wa SMS-marketing niko hapa kukusaidia.

Fikiria jinsi matukio yako ya kipekee kama harusi, sherehe, au hata offers za biashara yako zinavyoweza kung'aa na ukapata matokeo chanya kupitia sms-marketing kwenye simu za wateja wako.

Kupitia huduma zetu za SMS, tunakupa fursa ya kutuma ujumbe kwa jina la sherehe, au biashara yako kwa gharama nafuu kabisa.

Nakushauri jaribu leo kutumia sms marketing uone nguvu ya ujumbe mfupi kwenye sherehe na biashara yako leo.

Sms 1- 1000 = 30 tsh.per sms
Sms 1001-10000 = 27 tsh. per sms
Sms 10001 - 50000 = 25 tsh.per sms
Sms 50001 na kuendelea 23 tsh. per sms
Registration ya send id yako ni bure.
"nafanya kazi yako kwa uaminifu mkubwa na nadani ya muda"
Karibuni sana

Nipo hapa kukusaidia nicheki kwa no.
0769 055050

Mfano wa SMS-marketing

20240420_111926.jpg
20240420_111913.jpg
20240420_111936.jpg
 
Nipo mbioni kurudi bongo gharama zake zipoje
Gharama zinatoka na idadi ya sms unazotaka kutuma kwa wateja / watu wako. Karibu boss unaweza kufanya hii hata ukiwa nje ya tz na ukapataboda zako au ukawaabarisha jamaa zako kuhusu jambo lako. Karibu sana.
 
Hata kwa wamiliki na wasimamizi wa shule (sms za kukumbusha ada na vikao kwa send id ya shule) na makanisa (sms za kukumbusha michango na huduma nyingine kwa send id ya kanisa) karibuni natoa huduma hii kwa gharama sawa na bure kabisaaa..
0769 055050
 
Kwa wote mlioniuliza gharama inbox ..
Zinategemea na idadi ya sms unazohitaji.
 
Kuna namna tofauti za ku utilize hii huduma
1. Kupitia platform yenu
2. Ku provide gateway APIs.
Je hii namba 2 unayo huduma??
 
Hiyo ina uwezo wa kuwa na Templete kutuma message tofauti at once click au ni single message to multiple number
 
Back
Top Bottom