Seif Mselem
JF-Expert Member
- Oct 16, 2023
- 257
- 441
Kama wewe ni mjasiriamali mdogo na Umekuwa ukihangaika na kutafuta ni Jinsi gani unaweza Kufanya Utafiti mdogo wa Soko kwenye Biashara yako ili kupata Rundo la Wateja.
Basi makala hii ya Leo ni kwaajili yako.
ILA…
Kabla Sijakwambia Chochote naomba Nikupe hii Story yangu hapa Chini…
(No Drama… It’s TRUE Story)!
…baada ya kuanza kufanya Business Consultation mwaka 2021 moja ya kitu kilichokuwa kinanipasua kichwa ilikuwa ni kufanya…
“Market RESEARCH”
(Utafiti Wa Soko)!
Nilikuwa sijui wapi pa kuanzia na ni Taarifa gani za msingi unatakiwa kuzichukua wakati unafanya Market Research…
Kwasababu Moja ya Kitu cha muhimu kwenye kufanya Consultation ni...
Kujua Changamoto za soko lako husika ili uweze kutengeneza PROGRAM yako kulingana na maumivu yaliopo sokoni…
Yaani…
Unatengeneza solution yako kulingana na kitu Kinaitwa…
“Market PAIN Points”
Na…
Market pain points unazipata kwa kufanya Market Reseach.
Basi Bhana…
Nikawa nafanya kama vile wanavyofanya Wajasiriamali wengine kwa kuwauliza walengwa wao juu ya Changamoto walizokuwa wanapitia…
Na…
Majibu nilikokuwa nayapata nilikuwa Nayatumia kwenye kuandaa Program zangu za Consultation…
(Kwa Kipindi Kile)!
ILA…
Kitu cha kushangaza Ilikuwa kila nikienda kumfundisha Mwanafunzi wangu ilikuwa naona kabisa...
Hanielewi na kiukweli walikuwa hawapati Matokeo yoyote yale kwenye Biashara zao ndogo…
Nakumbuka kipindi hicho nilikuwa bado niko Chuo…
Nikaona isiwe kesi Ngoja nipumzike kufundisha Kuliko kuendelea kuwalisha watu MATANGO Pori…
Na…
Kwasababu…
Nilikuwa busy sana Chuo nilikuwa sipati muda wa Kuingia sokoni kufanya utafiti wa kutosha na nilikuwa Sijui pia ni jinsi gani ya Kufanya huo utafiti wenye…
ILA…
Nilikuwa tu nikisikia watu Wakisema ukitaka kufanya Market Research ni lazima uwe na Pesa za kutosha ili ufanyikiwe…
Basi Bhana…
Nikabidi niwe mpole tu na Niendelee kula shule ya Pale SUA kama unavyojua…
ILA…
Wakati muda ukienda nilikuwa nikijifuza Taratibu taratibu jinsi ya kufanya Market Research…
Lakini sikuwahi kukiweka kwenye Vitendo kile nilichojifunza ili Nione kama kinafanya kazi…
…hadi Ilipofika Trh 31/07/ mwaka huu baada ya Kumaliza chuo…
Ndipo nilipoamua kukaa chini na Kutenga siku zangu 7 za kuweka kila kitu Nilichojifunza kwenye Vitendo…
Na…
Hapo ndipo nilipokuja kukutana na Zaidi ya changamoto 13 Zinazowakumba wajasiliamali wadogo wa hapa Bongo na baadae kuja kugundua kuwa…
Unaweza kufanya Market Research hata kama huna Mia mbovu kwenye budget yako…
Kama una BANDO Tu na unazijua hatua za kufuata na Maswali 9 ya kukuongoza wakati unafanya basi…
Unaweza kufanya market research yako!
Kwahiyo…
Baada ya kukutana na hizo Changamoto ikabidi niangalie zile Zilizosemwa zaidi na watu wengi…
Na…
Nikakuta kuna changamoto Kubwa 5 zinazowanyima Usingizi wajasiriamali wengi wadogo…
(Utaziona Soon… Nimeziweka Hapo Chini)
Baada ya kuona hivyo Nikasema…
“Kwanini nisikae chini niandae Kitu kidogo ili niweze Kuwasaidia wenzangu?”
(Hapo Najiuliza Kimoyo moyo)!
Baadae nikasema… HAPANA!
“Nina uhakika gani kuwa hizi Ndizo changamoto zinazo wanyima Usingizi”
Kwasababu…
Moja ya LESSON kubwa niliyowahi kujifunza kwenye Biashara ni kwamba…
“Don’t be Biased with your IDEAS … Business Is all About SOLVING Problems”
Yaani…
Kuna Muda unaweza ukawa na Idea nzuri mezani ILA kama haitatui changamoto za Walengwa wako basi hiyo Sio…
“VALID IDEA”
Kwahiyo…
Na mimi nikasema nisije Nikarudia kufanya makosa kama Mwanzo…
Ikabidi niwashirikishe watu wangu wa Karibu ninao waamini moja Wapo akiwa Rafiki yangu wa zamani…Grayson!
Na wao wakanipata Ruhusa ya kukaa chini na Kuandaa PDF ndogo inayoitwa…
“BARUA KWA WAJASIRIAMALI WADOGO – (B.W.W)”
Ni PDf yenye Pages 69 Tu ambayo Ndani ya siku moja au mbili Utakuwa umemaliza Kuisoma…
Na…
Kwanini Nimeipa Jina Hilo?..
Ni Kwasababu…
Changamoto nilizozikuta wakati Nafanya Market Research zilikuwa Zikiwasumbua zaidi Wajasiriamali Wadogo…
Ndio maana Nikaamua kuandika Barua kwa Wajasiriamali Wadogo.
Kwahiyo…
Kama Wewe SIO Mjasiliamali mdogo basi hii Pdf inaweza Ikawa sio sahihi sana Kwako…
Kwasababu…
Ndani ya Pdf hii Utakosa Kujifunza…
1). Mambo 11 Hakuna Mtu AMEWAHI Kukwambia Kuhusu Biashara… (Jambo La 7 Ndilo KOSA Linalofanywa na Wajasiliamali Wengi wa Sasa)… (Page # 03)
2). Usifikirie Kuanza KUFANYA Biashara yoyote Ile Bila Kuzingatia Vitu Hivi… Mambo MAKUU 4 ya Kuzingatia Kabla ya Kuanza Safari yako ya Ujasiriamali…(Page # 24)
3). Je Unakutana na Wateja “LIA LIA” kwenye Biashara yako?... Basi Tumia MBINU Hizi 3 Kupanga Bei Ili Wateja wako Wasiombe Tena Kupunguziwa Bei...! (Page # 33)
4). Kwanini Wateja Wako Wanaweka ODA na Baadae Kuishia Mitini?... Hii Ndio TIBA ya Kuwafanya Wateja Waweka Oda kuwa Wateja Walipiaji…! (Page # 40)
5). Jinsi ya Kutumia na Kusave PESA Zako Kwenye Biashara au Kazi yako (Protasi… Alitumia MBINU Hii Kuweka Akiba ya Laki 920,000 Ndani ya Mwezi Mmoja Tu)… (Page # 45)
Na…
Kwasababu…
Leo ni Siku ya UHURU Wetu na Nilisema nitatoa Pdf hii kama Zawadi kwa Wajasiriamali wadogo basi…
Kuanzia Sasahivi Wajasiriamali 7 ambao wako INTERESTED na Kujifunza Watapata Pdf hii kwa Tshs…
“3,997 Tu”
Na SIO Hivyo Tu…
Wajasiriamali wa kwanza Kulipia Watapata hizi Bonus za Pdf Zangu 3 hapa Chini BURE Kabisa…
1). Jinsi Nilivyouza Chupa 119 za Champagne kwa Kutumia Mbinu ya…“C.R.M”
2). Secret Pdf…(Utajifunza Mifumo Miwili ya Kuendesha Biashara yako)!
3). RS Pdf (Utajifunza Jinsi ya Kuuza kwa Watu Wasiokujua)!
Kwahiyo kama uko Committed na Unachokifanya na Unataka Kujifunza hivyo Vitu hapo Juu…
Basi DM au INBOX Sasahivi neno “B” Ili Kulipia…
Au…
Lipia Moja kwa Moja Hapa Chini
M – Pesa
0758-401-164
Jina: Seif Mselem
Baada ya Malipo nitumie Ujumbe wa Muamala wako WhatsApp ili nikutumie Pdf’s zako zote
Ndani ya DAKIKA 2 Tu Utakuwa Umepokea Pdf’s zako
Ikitokea umepoteza kwa Bahati mbaya Unatumiwa tena Bila Kuulizwa swali Lolote lile
Mwisho wa OFA hii ni Kesho Saa 4 Kamili Usiku!
P.S: Nimetoa hii Pdf ya “B.W.W” kwa Wajasiliamali Wadogo Walioko Serious na kile Wanachokifanya…
Ndio maana pia Gharama yake iko Reasonable ili kila Mtu aweze kupata na aone Value ya kile atakachojifunza!
I Hope to See you.
Happy INDEPENDENCE Day Ladies and Gentlemen.
Gracias…