Jinsi ya Kutumia na Kusave PESA Kwenye Biashara au Kazi yako!

Seif Mselem

JF-Expert Member
Oct 16, 2023
257
441
…Protasi alitumia MBINU Hii Kuweka Akiba ya Laki 920,000 Ndani ya Mwezi Mmoja Tu…

(Unaweza Kuitumia Pia)!

Kama umekuwa Ukitafuta Formula moja ya Kutumia ili Uweze kujiwekea AKIBA ya Kutosha kwenye Biashara au Kazi yako basi…

UZI huu wa Leo ni zaidi ya ZAWADI ya Bure kwako…

Kwasababu…

Ndani yake Nimekuwekea Formula Moja ya SIRI ambayo unaweza Kuitumia kukuongoza Ili uweze Kusave Akiba kwenye Kipato chako unachopata Kila kitu…

Na…

Ndani ya Sekunde 60 Tu…Utakuwa ushajua Jinsi ya Kutumia hiyo Formula…

ILA…

Kabla sijakwambia Chochote… Naomba kwanza nikwambie Jinsi nilivyoipata Hii formula…

I Hope Itakuwa poa… Au Sio?

Yeah… Vizuri!

Okay, Tuanzie Hapa

…Mwaka 2019 nikiwa…

Fomu 5 Milambo High School, Tabora…

Tulikuwa tunapenda kufanya Event au Bashi na Shughuli zingine zisizo za Masomo siku za Wikiendi hasa hasa Jumamosi.

(Kama unavyofahamu Shule za boy’s Advance Zilivyo)

Basi Bhana..

Jumamosi moja Nakumbuka kulikuwa na Event moja Iliyokuwa imeandaliwa na baadhi ya Wanafunzi wa pale pale Shule. Event hiyo Ilikuwa inahusu Mambo ya…

MOTIVATIONAL & MINDSET

Iliyokuwa imeandaliwa na “Motivational Team” ya pale Shule!

Kama unavyojua Watu wanaopenda Kujifunza huwa hawakosi Session kama hizo…

So, na Mimi hiyo siku Nikapigilia zangu T-shirt yangu ya rangi ya Orenji na Suruali yangu nyeusi safi.

Nikaingia zangu kwenye Madarasa ya Kombi ya KLF (Kiswahili, Language & French) chini kidogo kama uanenda Msikitini…Ndiko tukio Lilikokuwa linafanyika.

Nakumbuka speakers wa Event walikuwa ni kina… Grayson, Abdul Sea, Quta

(Kama Sijasahau)!

Mimi nakumbuka Kipindi hicho PCB Imenishikilia koo kinoma Siwazi chochote tofauti na Masomo Tu…Hahaaa!

Kwahiyo… Nilienda kama Msikilizaji kwenye Tukio.

Basi Bhana…

Tulivyofika wengi wengi…

Jamaa wakaanza kutema NONDO pale huku sisi Tukiendelea kusikiliza na kuandika kwenye Notebook zetu ndogo.

Ilikuwa ni Event ya kama Masaa 3 hivi na Sehemu…

Baada ya Event kuisha… Watu walianza kutoka kurudi Mabwenini kuendelea na Shughuli zao zingine.

Nakumbuka mimi Nilikuwa wa mwisho mwisho kutoka.

Kwasababu Nilikuwa namalizia Kuongea na Kuuliza baadhi ya vitu kwa Quta (Speaker) maana yeye Nilikuwa nasoma nae darasa moja.

Kwahiyo wakati Tuko pale Mara gafla…

Nilijikuta naanza kupiga story na Grayson (Main Speaker), Kipindi hicho hakuwa Rafiki yangu sana.

Kwasababu yeye alikuwa anasoma HGE huku mimi nilikuwa Kombi nyingine kwahiyo tulikuwa hatujuani zaidi ya kuonana tu pale shule.

(Ukizingatia Milambo ilikuwa na Wanafunzi kama 1000 hivi)

Sema jamaa alikuwa yuko Passionate sana na alikuwa Anapenda alichokuwa anakifanya hadi leo hii…

Kwahiyo…

Alikuwa anapenda kutufundisha kuhusu ishu za Msingi kwenye Maisha no Matter wewe ni Rafiki yake au Sio rafiki yake…

Yeye alikuwa anapenda ile hali ya Sisi kujua mambo Mazuri.

(By the way… Jamaa kwa Sasa ni Content Strategist & Content Creator)

Basi Bhana…

Wakati tunaendelea Kuongea pale…

Grayson alishika kalamu na Karatasi na akanifundisha Vitu viwili ambavyo Sitakaa nivisahahu kabisa katika Maisha yangu.

Kitu cha kwanza Alichonifundisha ilikuwa ni kuhusu…“Market Penetration”

Na…

Kitu cha pili Alichonifundisha ilikuwa ni hii formula Maarufu ya… “50/30/20 – Rule”

Kwa leo sitambwambia kuhusu Market Penetration bali nitakwambia kuhusu hii “50/30/20/ - Rule”

Inavofanya kazi na jinsi unavyoweza kuitumia ku SAVE pesa zako unazopata kila Siku kwenye biashara au kazi yako.

Na hili ndilo Karatasi alilonifundishia Grayson mwaka 2019 tukiwa Shule…

So hivyo Ndivyo Jinsi nilivyoipata hiyo Formula…

Sasa, Mselem hiyo Formula inatumikaje?..

Okay, Angalia Hapa Chini…

Tuanze na maana ya 50/30/20–Rule kwanza ni nini?..

Hii ni mbinu ya Kugawanya KIPATO chako baada ya Makato yote kwenye makundi Makuu matatu, yaani…

50% - Kwenye mahitaji yako ya kila siku

30% - Kwenye vitu unavyotaka kuvifanya

20% - Unatunza kwenye Kibubu cha Akiba zako

Okay, Ngoja nikuchambulie moja baada ya nyingine ili unielewe vizuri…

50% kwenye Mahitaji ya Kila Siku.

Ina maana 50% ya Kipato chako unachopata unakitumia kwenye mahitaji yako ya muhimu na ya Lazima ya kila siku.

Mfano… Kula, Kulipa Kodi, Kuvaa, Bima n.k

Kwahiyo… Kama unapata Tshs 100,000 kwa Mwezi basi utatumia Tshs 50,000/= nzima kwenye kufanya hivyo vitu hapo juu.

30% Kwenye Vitu Unavyotaka

Ina maana 30% ya kipato chako unachopata unakitumia kwenye vitu vyako Unavyovipenda zaidi kuvifanya

Yaani… unatumia 30% kwenye Starehe zako unazopenda Kuzifanya

Mfano…

Kwenda kwa Mkapa kuangalia mechi za Watani,

Kwenda Kidimbwi kujirusha na washikaji… (Night Clubs),

Kwenda kula kisinia kwa Shishi food au Restaurants…

n.k

Yaani…

Vitu vyote ambavyo ni Starehe kwako inabidi viwe katika 30% ya kipato chako.

Kwahiyo…

Kwenye ile Tshs 100,000 kwa mwezi unatakiwa kutumia 30,000 Tu ili kufanya starehe zako.

20% Akiba kwenye Kibubu

Na 20% tu ya kipato chako chote ndicho Inabidi ukiweke kwenye Kibubu chako kama akiba…

Na hiyo ndio Maana ya 50/30/20–Rule kwa Ufupi Tu!

ILA…

Kama ukiiangalia hii Formula kwa Umakini basi Utagundua ni Ngumu sana kutunza Akiba hadi ya 920,000 kwa Mwezi hasa hasa kama Huna nidhamu ya Pesa…

Na…

Hata kama nigempa hii Formula pekee yake mwanafunzi wangu Protasi basi nina uhakika…

Asingeweza kutunza Kiasi kikubwa cha Fedha kama hicho!

“Sasa Mselem, Nawezaje na Mimi kujifunza ili niwe na Uwezo wa Kutunza Akiba kubwa kama Protasi?”

(Unaweza Kujiuliza)

Yaeh Vizuri… Bora Umeuliza hili Swali!

Ukweli ni kwamba…

Kuna Formula ya SIRI ambayo huwa Naitumia binafsi Kutunza Akiba yangu pamoja na Tips KUU 3 ambazo Nilimpatia Protasi wakati Namfundisha ambazo Zitakuongoza kwa kuwa na Nidhamu ya Pesa zako unazotunza kama Akiba…

Na…

Ukweli ni kwamba Nikisema nianze kuzielezea Hapa basi nafasi haitatosha…

ILA…

Kwa bahati NZURI ni kwamba…

Hiyo Formula moja ya SIRI pamoja na Tips zake huwa Nimeziweka kwenye Pdf yangu ndogo Inayoitwa…

“B.W.W”

(BARUA KWA WAJASIRIAMALI WADOGO)

Ambayo Ndani yake uta KOSA Kujifunza…

1). Mambo 11 Hakuna Mtu AMEWAHI Kukwambia Kuhusu Biashara… (Jambo La 7 Ndilo KOSA Linalofanywa na Wajasiliamali Wengi wa Sasa)… (Page # 03)

2). Usifikirie Kuanza KUFANYA Biashara yoyote Ile Bila Kuzingatia Vitu Hivi… Mambo MAKUU 4 ya Kuzingatia Kabla ya Kuanza Safari yako ya Ujasiriamali…(Page # 24)

3). Je Unakutana na Wateja “LIA LIA” kwenye Biashara yako?... Basi Tumia MBINU Hizi 3 Kupanga Bei Ili Wateja wako Wasiombe Tena Kupunguziwa Bei...! (Page # 33)

4). Kwanini Wateja Wako Wanaweka ODA na Baadae Kuishia Mitini?... Hii Ndio TIBA ya Kuwafanya Wateja Waweka Oda kuwa Wateja Walipiaji…! (Page # 40)

5). Jinsi ya Kutumia na Kusave PESA Zako Kwenye Biashara au Kazi yako (Protasi… Alitumia MBINU Hii Kuweka Akiba ya Laki 920,000 Ndani ya Mwezi Mmoja Tu)… (Page # 45)

Na…

Kwasababu… Leo ni Wikiendi na Jana Ilikuwa SIKU ya MAPINDUZI Ningependa Wajasiriamali wote wadogo Wafaidike nayo basi…

Kuanzia Sasahivi Wajasiriamali 15 ambao wako Interested na Kujifunza Formula ya SIRI ya Kusave Pesa zao pamoja na Hivyo vitu hapo juu Watapata Pdf hii kwa Tshs...

“3,997 Tu”

Na SIO Hivyo Tu…

Wajasiriamali wa kwanza Kulipia Watapata hizi Bonus za Pdf Zangu Zingine 3 hapa Chini BURE Kabisa…

1). Jinsi Nilivyouza Chupa 119 za Champagne kwa Kutumia Mbinu ya…“C.R.M”

2). Secret Pdf…(Utajifunza Mifumo Miwili ya Kuendesha Biashara yako)!

3). RS Pdf (Utajifunza Jinsi ya Kuuza kwa Watu Wasiokujua)!

Kwahiyo kama uko Committed na Unachokifanya na Unataka Kujifunza hivyo Vitu hapo Juu…

Basi DM au INBOX Sasahivi neno “B” Ili Kulipia…

Au…

Lipia Moja kwa Moja Hapa Chini

M – Pesa

0758-401-164

Jina: Seif Mselem

Kisha Baada ya Malipo nitumie Ujumbe wa Muamala wako WhatsApp ili nikutumie Pdf’s zako zote. Ndani ya DAKIKA 2 Tu Utakuwa Umepokea Pdf’s zako.

Ikitokea umepoteza kwa Bahati mbaya Unatumiwa tena Bila Kuulizwa swali Lolote lile.

Mwisho wa OFA hii ni Jumapili Saa 4 Kamili Usiku!

P.S: Nimetoa hii Pdf ya “B.W.W” kwa Wajasiliamali Wadogo Walioko Serious na kile Wanachokifanya…

Na watu ambao Wanataka kujifunza Formula ya SIRI ya Kusave Pesa zao wanazopata Kila siku kwenye biashara zao.

Ndio maana pia Gharama yake iko REASONABLE ili kila Mtu aweze kupata na aone Value ya kile atakachojifunza!

Uwe na WIKIENDI Njema!

Gracias… 🙏

Seif Mselem
 
Imekaa vizuri, Inaonyesha umeweka hii elimu ya financial kwa urahisi sana, wajasiriamali washindwe wenyewe kukuelewa. Gracias
 
Hizi ni blah blah
oyaa tafuteni kitabu
Money wealth life insurance..how the wealthy use life insurance as a Tax free personal Bank to supercharge their savings,...kimeandikwa na Jake Thompson

kuna kitu cha msaada wa kumkwamua mwana adam
 
Back
Top Bottom