Je unahitaji Masoko kwa Ajili ya Bidhaa au Huduma Yako

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,497
5,533
Habari za Wakati Huu?
BIASHARA YAKO INAHANGAIKA KUTAFUTA WATEJA?
Je wewe ni mtoa huduma,muagizaji au mzalishaji wa bidhaa zenye Ubora.Je unahitaji kufikia Soko Kubwa kwa Gharama Nafuu?Je unahitaji Timu ya Masoko ambayo imejizatiti kwa ajili ya kuhakikisha bidhaa yako inafika sokoni kwa wakati na kupokelewa vizuri sokoni?

Kama Jibu ni Ndiyo Basi ni wakati sasa wa kuwasiliana na Sisi.
Tunawatangazia Huduma ya kipekee ya Direct Sales and Marketing kwa bidhaa na huduma mbalimbali.Mpango huo ambao ni Go to Market Strategy unahusisha huduma zifuatazo:
  1. Kufanya utafiti wa Masoko,
  2. Kuandaa Mkakati wa Masoko,
  3. Kuandaa orodha ya Wateja,
  4. Kuandaa Mkakati wa Mawasiliano na Wateja na
  5. Kuwafikia Wateja
Huduma inahusisha matumizi ya teknolojia ya za kisasa ikiwamo Teknolojia ya Bulk Email,Bulk SMS,Social Media,Maonyesho na Matukio,Radio,Magazeti,Simu pamoja na Mauzo ya Moja kwa Moja.

Je unahitaji kufahamu zaidi kuhusu utaratibu wetu?
Tafadhali wasiliana Nasi kwa email: masokotz@yahoo.com

Karibu Sana
 
Back
Top Bottom