nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,929
Mnaogopa mapema ivi?Kila chama kifanye kampeni kwa Style yao. Hata upinzani haina msimamo thabiti kuhusu nini wanataka
Mnaogopa mapema ivi?Kila chama kifanye kampeni kwa Style yao. Hata upinzani haina msimamo thabiti kuhusu nini wanataka
Mwaka huu mgombea wenu yuko tayari pia? anaweza kumudu mpambano? Mdaharo ni platfom muhimu sana na hutumika duniani kote kupima uwezo kufikiri wa wagombea.Tume haijawahi kulazimisha uwepo wa mdaharo huru. Siasa za bongo zina ujinga mtupu ndani yake. 2015 ni Chadema waliokimbia mdaharo coz walijua mgombea wao hawezi kujieleza hata kwa dakika 10 tu, this time ndio mnajifanya mko moto na midaharo.
Kila chama kifanye kampeni kwa style yake
Ohooooh!Mdahalo kwa lugha gani au yoyote tu?
Unaogopa nini?Tume haijawahi kulazimisha uwepo wa mdaharo huru. Siasa za bongo zina ujinga mtupu ndani yake. 2015 ni Chadema waliokimbia mdaharo coz walijua mgombea wao hawezi kujieleza hata kwa dakika 10 tu, this time ndio mnajifanya mko moto na midaharo.
Kila chama kifanye kampeni kwa style yake
2010 upinzani walitaka mdahalo,2015 Ukawa (CHADEMA,NCCR,CUF) na CCM walikukataa mdahalo,ACT walikubali (sijui kwa nini?),2020 wanataka tena mdahalo.Siasa za Tz hazina tofauti na komedi......walicho kikataa juzi wanakikubali leo,sasa unajiuliza kwa nini juzi walikataa.
🤣🤣🤣🤣 unachoongea unakielewa kweli?Wagombea wa ccm ndio huogopa midahalo, hata hiyo 2015 mgombea wa ukawa alikuwa mwanaccm.
Sasa ikiwa mnakosa misamamo ktk mambo madogo kama haya,je mambo makubwa ya nchi utayaweza.Wewe ndiyo comedian, kwani hujui mambo hubadirika?
Majadiliano ya nini?