Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,372
Hovyo sana haya majitu.Ni wajinga sana ndiyo maana hata maana ya PGO hawaijui
Hovyo sana haya majitu.Ni wajinga sana ndiyo maana hata maana ya PGO hawaijui
Makundi gani?
Kama wewe wanavyokubong'oresha akina Salum hapo Ufipa!
HahahaaaaaaaaaaWanajua Chadema ni magaidi wakiongozwa na Gaidi Mbowe.
Wewe wacha waendelee kuwa beep magaidi wakiamua kupiga tusisikie mayowe yaoView attachment 2025853
Baada ya kupeleka ombi la kufanya shughuli za siasa kwa mujibu wa katiba tumeambiwa kuna tishio la ugaidi mikusanyiko haitakiwi. Tumewaandikia mapolisi watuambie magulio na minada haipo kwenye target ya magaidi? Hajajibu
Tuna majambazi wanaovaa uniformHivi kweli tuna Jeshi la Polisi au ni genge la uovu?
Anajua sana CCM ni Chama maiti mbele ya CHADEMA.Kuna Jamaa mmoja humu JF (johnthebaptist) alimshutumu JJ Mnyika kukaa ofisini huku Chongolo akichanja mbuga kuimarisha chama. Atakuwa amepata majibu.
Michezo hiyo mnayo huko CCM tu kuanzia yule mwenezi wenu.Kama wewe wanavyokubong'oresha akina Salum hapo Ufipa!
MaCCM wote akili zao hazina akili.Kweli nimeamini ukiwa mwana fisiem huhitaji kutumia ubongo vizuri inatakiwa uwe kichaa kichaa hivi, hawa wadudu ni wapumbafu wa kutupwa aisee.
Daaah, ila maisha haya! Mimi sielewi kabisa wanaosema huyu mama anaponya nchi huwa wanaangalia nini? Katika demokrasia JK was 100 miles away from his successorsKuna Jamaa mmoja humu JF (johnthebaptist) alimshutumu JJ Mnyika kukaa ofisini huku Chongolo akichanja mbuga kuimarisha chama. Atakuwa amepata majibu.
Unaonekana wazi kuwa una karoho Fulani ka kisasi! Muombe Mungu akusafishe maana akifa mtu usifurahi bali busara iongoze jazba!Kisasi tunamuachia Mungu,kama alivyokwisha kutulipia kisasi kwa kulifyekelea mbali lile kubwa la maadui .Na wote wanaotuonea njia yao itakuwa hiyo hiyo.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kisasi ni cha Mungu,kama Mungu akiamua kuwaadhibu watesi wetu mimi ni nani wa kumpinga Mungu? Kila mtu atavuna alichopandaUnaoneka
Unaonekana wazi kuwa una karoho Fulani ka kisasi! Muombe Mungu akusafishe maana akifa mtu usifurahi bali busara iongoze jazba!
Ukitaka usisome mambo yale yale kila siku, basi jitoe kwenye mitandao ya kijamii hasa hii ambayo watu wako huru kutoa maoni yao. Kuna mitandao mingi ambayo inamilikiwa na watu wa ccm na serikali kwa ajili ya kusifia kila kitu, jiunge huko.Kamanda unachosha kwa kubandika threads zenye maudhui yale yale mitandaoni kila siku.
Ingia barabarani uandamane.