Mwanza: Chadema yasema haina uzoefu huo na wala haitomfanyia Uhaini Samia , Bali itamng'oa mchana kweupe kwenye Sanduku la Kura

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,420
Kauli hii kabambe imetolewa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho , John Heche , Jijini Mwanza , kwenye Mkutano Mkubwa wa Hadhara wa Siku ya vijana Duniani , iliyochanganyika na Oparesheni 255 .

Imedaiwa kwenye Mkutano huo kwamba , kuna Njama zilizopangwa na Jeshi la Polisi la Tanzania kuwakamata watu wote wanaopinga Mkataba wa Aibu wa Bandari na DP WORLD ya Dubai , na kuwasingizia kesi za uongo za Ugaidi na Uhaini ( zingatia kauli ya IGP Wambura na kukamatwa kwa Mwabukusi na wenzake )

Chadema imewahakikishia Polisi kwamba haina , wala haijawahi kuwa na mawazo , uzoefu wala matendo ya kupindua serikali ya Samia wala yoyote ile kwa njia ya uhaini , Chadema inaamini kwenye Demokrasia , haki na Usawa , na wana uhakika kwamba baada ya Katiba Mpya , itamng'oa Samia asubuhi na Mapema kwenye Uchaguzi .

Screenshot_2023-08-12-17-16-46-1.jpg
Screenshot_2023-08-12-17-23-35-1.jpg
 
View attachment 2715456View attachment 2715458
Tangu wamwambie kikwete kwenye ile chadema og achana na hii ya kina Chiba isiyo na lolote hakuna la kufanya , chadema Domo kubwa akili zero

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
CDM endeleza kuchochea kuni jikoni mpaka wakimbie jikoni, mimi ninahitaji umasikini, ujinga, maradhi na cousin wao RUSHWA waondolewe hapa nchini kwangu, Kuiweka rushwa below zero inawezekana na mifano ni mingi tu, Botswana 🇧🇼, ushelisheli, Mauritius 🇲🇺 na sasa Ghana 🇬🇭 wamethibitisha hili, nchi yangu kuna state capture under royal families 👪, this must stop and stop now
 
Wameshindwa kujibu maswali kuhusu kutoa bandari zetu kwa waarabu milele, sasa wanakimbilia kuwafunga watu midomo kwa kuwapa kesi za uhaini.

Hii mbinu ya kihuni itashindwa, haki inaonekana na inajulikana ilipo siku zote, kitendo chochote cha kuwafunga watanganyika wanaodai haki ya bandari zao, ni kujitafutia laana ya milele.

Inasikitisha na kushangaza sana, pale jeshi la polisi linapotumiwa na mtawala aliyetusaliti, kusimamia kupora rasilimali za vizazi vya Tanganyika, bandari zetu ni haki yetu, tulipewa na muumba wetu.
 
Wameshindwa kujibu maswali kuhusu kutoa bandari zetu kwa waarabu milele, wanakimbilia kuwafunga watu midomo kwa kuwapa kesi za uhaini, hii mbinu ya kihuni itashindwa, haki inaonekana na inajulikana ilipo siku zote, kitendo chochote cha kuwafunga watanganyika wanaodai haki ya bandari zao, ni kujitafutia laana ya milele.
Hakika
 
CDM endeleza kuchochea kuni jikoni mpaka wakimbie jikoni, mimi ninahitaji umasikini, ujinga, maradhi na cousin wao RUSHWA waondolewe hapa nchini kwangu, Kuiweka rushwa below zero inawezekana na mifano ni mingi tu, Botswana , ushelisheli, Mauritius na sasa Ghana wamethibitisha hili, nchi yangu kuna state capture under royal families , this must stop and stop now
Mbowe alilamba zero shule yule ndio unamtaka afute ujinga

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Kauli hii kabambe imetolewa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho , John Heche , Jijini Mwanza , kwenye Mkutano Mkubwa wa Hadhara wa Siku ya vijana Duniani , iliyochanganyika na Oparesheni 255 .

Imedaiwa kwenye Mkutano huo kwamba , kuna Njama zilizopangwa na Jeshi la Polisi la Tanzania kuwakamata watu wote wanaopinga Mkataba wa Aibu wa Bandari na DP WORLD ya Dubai , na kuwasingizia kesi za uongo za Ugaidi na Uhaini ( zingatia kauli ya IGP Wambura na kukamatwa kwa Mwabukusi na wenzake )

Chadema imewahakikishia Polisi kwamba haina , wala haijawahi kuwa na mawazo , uzoefu wala matendo ya kupindua serikali ya Samia wala yoyote ile kwa njia ya uhaini , Chadema inaamini kwenye Demokrasia , haki na Usawa , na wana uhakika kwamba baada ya Katiba Mpya , itamng'oa Samia asubuhi na Mapema kwenye Uchaguzi .

View attachment 2715456View attachment 2715458
Kauli kabambe au kutia mkia miguuni!?..washanusa mkong'onto
 
Unataka ushindani wa kijinga , mimi huwa sishiriki ujinga
Mkuu unapoteza muda wako kubishana na hawa baby mama's, hawajui kuwa kuna wananchi wengi hadi leo hawana maji Safi na salama, royal families watoto na vijukuu vyao shule canada, UK, USA, na matibabu yao Netcare Millpark!,walala hoi ni Amana hospital!!!
 
Hilo la maandamano hadi kumchomoa Raisi kwa nguvu ni kwamba wanataka kuwatoa watu kwenye reli ya mkataba wa bandari Wala hakuna uhalisia kwenye hilo hata kidogo, kwa sababu watanzania ni waoga kwa asili, hakuna mwenye jeuri ya kuingia barabarani kama wafanyavyo wakenya
 
Tangu wamwambie kikwete kwenye ile chadema og achana na hii ya kina Chiba isiyo na lolote hakuna la kufanya , chadema Domo kubwa akili zero

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
makuwadi ya dpworld wametepeta na vimikutano vyao uchwara vilivyoongozwa na chongolo upepo umewakata baada ya kuona chadema inachanja mbuga wameona waje na upumbavu eti kuna uhaini, mnaoujua uhaini nyinyi yani uhain aujue polisi msaidiz wa kuiba kura ili chama la majambaz ya kura lishinde, ni mpumbavu pekee anayeweza amini hilo, CHADEMA itawaonfoa makuwadi ya dpworld kupitia uchaguz huru na wa haki na si vinginevyo huyo mamayenu ajiandae kuachia madaraka kwa amani akikatalia baada ya kushindwa ndio mtajua hamjui.
 
Hilo la maandamano hadi kumchomoa Raisi kwa nguvu ni kwamba wanataka kuwatoa watu kwenye reli ya mkataba wa bandari Wala hakuna uhalisia kwenye hilo hata kidogo, kwa sababu watanzania ni waoga kwa asili, hakuna mwenye jeuri ya kuingia barabarani kama wafanyavyo wakenya
Ndio maana Chadema imelizungumza
 
Back
Top Bottom