Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,277
Wewe njoo huku tupige box bana. Bila risk huwezi kufanikiwa katika dunia ya leo, kwani Tsh 3M nini bana. Ila ukae ukijua huku hakuna misheni town wala town kisomo~kila mtu anaishi kwa jasho lake. Welcome to the land of opportunity brother!.Wanajf mnaoishi USA naomba maoni yenu.
Mie nipo TZ ila mke wangu anaishi US na nimefanikiwa viza ili nije nimjoin . Tatizo ni kuwa nimepata kazi ya prof bongo na nategemea mshahara wa kama 3million, sasa nipeni maoni yenu kama ni ww ungechagua kazi au kwenda US.
Nmeishi Euro kama miaka sita hivi nimerudi recently baada ya kuchoka, hivyo najua nn kitatokea nkienda US. Wife kazi zake ni hizo hizo wanazofanya wageni na mara nyingi analalamika kuchoka kwani analala hm nights 3 tu siku zingine ni kazi 24 hrs.
Naomba maono yenu esp kutoka kwa watu waliotoka bongo miaka au siku za karibuni.
Ahsante
Nadhani umetumia muda mwingi sana kunielimisha mimi kuhusu europe, bahati mbaya usichokijuwa mimi katika shenghen countries sijafika Norway, Belgium, luxernborg na France tu. na sikuwahi kupiga box mtoni, all was vacasion trips. na hapa ninapotambaa na keybord nina mailage za kutosha za kusafiri bure kwenye kadi yangu ya swiss air.
mhh nnavyotamani kwenda majuu,sina tu wa kunialika japo nkatembee wiki ntagharamia mwenyewe kila kitu:rain:
Mie nipo bongo na nimepata viza ya kumjoin wife US, ila pia nimepata kazi ya prof na malipo ni kama 3mil.
Hivyo naombeni ushauri wenu kama nije US au nipige job bongo, ningependa kusikia kutoka kwa watu waliokuwa bongo recently.
Nimekaa Euro mpaka karibuni hivyo najua mikiki ya life na wife kazi zake ni hizo hizo za wahamiaji.
Usiwasikilize Chadema, watakupoteza.
mkuu hii imekujaje kujaje tena hapa?.......ameomba ushauri kuhusu Chadema au kuhusu wanaoishi Marekani?
Siasa ndio zinatuongoza ama kwenye maamuzi mazuri ama kwenye maamuzi mabovu, na ndio kwa sasa zinachukuwa misingi muhimu ya maamuzi yetu. Kwa hiyo ni ushauri wa bure, Chadema watampoteza akiwasikiliza ushauri wao. Si unaona jinsi wanavyo danganya hovyo wananchi na wengi kwa matatizo waliyokuwa nayo huwasikiliza kama misukule. Badala ya kuwahamasisha wafanye kazi kwa bidii, wao wanawadanganya kuwa tukiitowa CCM madarakani sisi tutawapa mnachokitaka! Duhh, halafu kwa nini nisimshauri asiwasikilizw ushauri wao?
Shosti, believe you me ................................you are not missing anything! I remember when I was young, nilikuwa nawachefua wazazi na habari za majuu, to an extent that one day mazee was like "find pple to adopt", but after going there hata sikuna kikubwa ni nini!
i really doubt kama kweli umekaa euro zone kwa miaka 6, swali lako ni kama mtu ambaye amekaa bongo mda wote
i really doubt kama kweli umekaa euro zone kwa miaka 6, swali lako ni kama mtu ambaye amekaa bongo mda wote