Personally sielewi kwa nini umekomalia hakuna nchi ya Euro kwa nini huulizi kua ni bara,bloc,mkoa,wilaya au kijiji? maana mie sijaona mtoa maada kwenye post yake aliposema kwamba aliishi nchi inayoitwa Euro but amesema ameishi Euro....Euro ni kifupi cha Europe ambacho kinatumiwa sana kwa maongezi ya kawaida sawa na tunapotumia Tz or Bongo badala ya Tanzania na kumbuka European Union ni free zone kwa member states wote na wana visa/pesa moja except U.k
so watu wengi waliko ndani ya European union hususani wageni utakuta yuko Italy,Sweden,France,Poland etc kwa ajili ya kupiga box..so akisema kaishi Euro which means Europe mie namwelewa vizuri sana kwa sababu mwenyewe nimeishi na bado naendelea ishi kwenye nchi tofauti za Europe....
Kwa mtoa maada kaka mie nakuomba ufanye kazi ya prof yako huko nyumbani (Tz) jijenge ukiwa hapo hapo nyumbani bt nenda ka-spend time na wife kila unapopata nafasi au yeye aje Tz...na kumbuka mara nyingi 'base' nzuri ya kujijenga na kuimarisha maisha waga ni homeland huku kwingine ni kutafuta tu.....