uislam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni mawazo mgando ya Wanaume wengi Mabwege na wenye Akili duni.

    YAFUATAYO NI MAWAZO MGANDO YA WANAUME WENGI MABWEGE na WENYE AKILI DUNI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Yule Shujaa. Moja ya mambo yaliyonifanya nisipende kukaa vijiweni na kuwaelewa wazazi na walezi wangu ni kutokana na mitazamo, fikara, na mawazo ya vijana na wanaume wengi wanaokaa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania AINA YA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU KATIKA UISLAM. JEE BADO WAPO KWA SASA?

    Katika Uislamu, jaji (qāḍī) ana jukumu kubwa sana la kusimamia haki na kuhukumu baina ya watu kwa mujibu wa uadilifu. Mtume ﷺ alitoa maonyo makali kuhusu nafasi hii kwa sababu jaji anaweza kuingia katika dhuluma ikiwa atahukumu bila elimu, ushahidi au uadilifu. Hadithi maarufu kuhusu majaji...
  3. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Katika Uislamu uchawi na kuroga (sihr), Qur'ani na Hadithi nyingi za vitabu zinakataza kabisa kujihusisha na masuala ya uchawi

    katika Uislamu uchawi na kuroga (sihr), Qur'ani na Hadithi nyingi za vitabu zinakataza kabisa kujihusisha na masuala ya uchawi, au kwenda kwa waganga kwa ajili ya kuroga, au kutumia nguvu za kishirikina kwa ajili ya kumdhuru mtu, muislamu anatakiwa asimtafute mchawi wala asiroge, hata kama...
  4. SHEIKHKEYA

    JamiiForums Tanzania Kwanini waislam wanaelekea upande ilipo Al-kaba wakati wa kuswali?

    Kwanini waislam wanaelekea upande ilipo Al-kaba wakati wa kuswali?
  5. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Mpemba aliwahi kuniuliza "unajua kwanini Uislam umeshikilia sana Uarabuni na Africa" akasema "kwa sababu waafrika na waarabu wanaongozwa na mihemuko"

    This was 2019, Tariq aliniambia kiuhalisia yote aliyofundishwa na yote aliojifunza mwenyewe haya hitaji uwe na fikra pevu na yenye mantiki ili yakukae utaishia kuyakimbia na malipo yake kutengwa kwa hio itakubidi uwe umejazwa hisia na muziki wa mambo ya kufikirika ndio uendane nayo.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nchi za ulaya na kuukataa uislam

    Na baada ya Taifa la Poland kutangaza kupiga marufuku kujengwa kwa Misikiti "Mosques" ,Na kupinga kupiga adhana basi nchi nyingi za Ulaya zimeanza kufuata nyayo hizo. Na nchi kama Uingereza watu zaidi ya 100,000 waliandamana pale London, Ili kupinga uwepo wa imani hio kwenye Taifa hilo, hio...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Imezuka tabia huku mitandaoni, waislam na uislam kudhihakiwa na kutukanwa

    Hamjambo Wote! 1. Mimi nimesoma Dini Kupitia Ukristo, dhehebu Usabato. 2. Ninauelewa kiasi WA mambo ya Dini nafikiri katika mambo ninayoyajua akilini mwangu ukiacha Mahusiano, saikoloji, sosholoji ma Falsafa basi Dini ni moja ya mambo ninayoyajua kwa kiwango cha kuridhisha kwa vijana wa umri...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Niko Hapa kuutetea uislam dini yangu ya haki upendo na amani

    Niko na masikitiko na huzuni kubwa sana kuona vile ambayo uislam umefanywa dodoki la kusafisha maghambi ya mwanasiasa Uislam dini ya haki Hii ndiyo falsafa ya dini yetu uislam hsuruhusu kuitweza haki uislamu umeletwa kusimamia haki lakini Cha ajabu viongozi wa wa dini hii haswa wa...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kwenye Uislam, Bima ni Haram kama ilivyo kamari

    Wanazuoni wa kiislam, wanaelimisha kuwa ni vyema muislam kujiepusha na aina zote za Bima Aidha iwe ya afya, chombo cha moto, nyumba, biashara n. K Bima ni gambling tu, yaani pata potea, Kwa tafsiri ya kiislam ni kamari maana unaweza pata usichostahiri Mfano unaweza kuweka Bima laki 5...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Trump Kakimbia Vita

    https://youtu.be/UOlqEJEsEI4?si=shzpruz0fzVk93XV Ujumbe ndio huo Israel wanaendelea kupewa kichapo, na Israel wameshangaa kusikia Trump kakubali kusimamisha vita na Iran Mkuu wa Majeshi ya anga wa Iran vita vitaendelea mpaa target zetu zikamilike kwa faida ya Iran
  11. wolverineGG

    JamiiForums Tanzania Kwanini theory za uumbaji kwa mujibu wa dini zote mbili (ukristo na uislam), zipo tofauti saana na sayansi, historia?

    Habari wakuu, moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba mtambue sitaki kuleta mtafaluku kwenye dini zenu, nataka kujua kama hili gape la tofauti kati ya uhalisia na maandiko yenu hamlioni?? Natamani niweke vifungu vya maandiko lakini uzi utakua mrefu sana na utaboa. Naomba leo tutumie kigezo cha...
  12. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Majini na Uislam Kamili - Quran

    Bila shaka hii aya sio ngeni. Quran 46 : 29 - 33 "Na wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'ani. Basi walipo ihudhuria walisema: Sikilizeni! Na ilipo kwisha somwa, walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya." "Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho teremshwa baada...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Dokezo kuhusu Dini ya Uislam

    Dokezo kuhusu Dini ya Uislam Kumekuwa na watu wengi kuupinga uislam kwa nguvu zote ila nasema hili na najua wengi litawafikia "mara Mia ufanye mambo yako kuliko kuingilia mambo ya dini ya kiislam na mbaya hauna uhakika wa chochote mnachosema sasa basi we nyamazenu tuuu msirundike maneno...
  14. Clever505

    JamiiForums Tanzania Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

    Uislam umeanzishwa na Muhammad. Kabla yake hapakuwepo mtu hata mmoja aliyekuwa anajiita muislam. Kwenye Hadith zake Muhammad kuna sehemu anajadiliana na wenzake jinsi ya kuitana wakati wa sala ukifika, wengine wanasema waitane kwa kengele kama wakristo, wengine wanasema waitane kwa baragumu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uislam ndio dini bora

    Muislam hutakiwi kusherekea mwaka mpya. Muislam unatakiwa ujue haya Kwa Uislamu, miezi mitukufu (Ash-hur al-Hurum) ni miezi minne kati ya miezi kumi na miwili ya kalenda ya Kiislamu ambayo ina heshima maalumu. Miezi hiyo ni: Dhul-Qa‘dah (ذو القعدة) Dhul-Hijjah (ذو الحجة) Muharram (محرم) Rajab...
  16. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Wasiokunywa kwa kisingizio cha uislam hii hapa dozi yenu

    https://www.youtube.com/watch?v=LW7e3PudD7k
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna tofauti kati ya Uislam na Sheikh

    Mashehe wengi walivutiwa sana na Utekaji,uuaji,kupotezwa,unyimwaji wa haki kwa wapinzani,uchaguzi feki na ufisadi. Mashehe hua hawapingi mambo hayo niliyoyataja hapo juu. Kila aliyepinga mambo hayo huyo alikua amekwishatangaza vita na mashehe. Sio Siri Polepole katekwa,Ali Kibao kauwawa,Mdude...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kuinasibisha hii serikali na uislam

    Uislam ni moja kati ya dini zilizojijengea heshima kubwa kutokana na kufuata misingi imara, maadili na itikadi thabiti. Hata hivyo, katika siku za karibuni kumezuka baadhi ya mashehe na waumini wanaoamini kuwa serikali iliyopo madarakani ni ya dini yao, na kwamba changamoto nyingi wanazipata...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 - 25 mbele naiona hatma ya ulaya kuamuliwa na UISLAM. mark my post!

  20. M

    JamiiForums Tanzania Uislam na mashahidi wa siri

    1. Mashahidi wa kujificha ni nini? Hii inamaanisha watu wanaotoa ushahidi kwa siri bila kujulikana wazi au bila kuwepo hadharani mbele ya kadhi (hakimu) au pande zinazohusika. 2. Msimamo wa Uislamu kuhusu ushahidi Katika Uislamu, ushahidi (shahada) ni jambo lenye masharti na adabu madhubuti...
Back
Top Bottom