OCD Meatu kuwaandikia barua Chadema kwamba wasifanye mikusanyiko kwa sababu kuna tishio la Ugaidi, kauli hii ya maandishi ina madhara gani kiuchumi?

Chama chochote cha siasa kikishindwa uchaguzi mara nyingi hubadilika na kuwa cha kigaidi.
 
Kwani yaliyoendelea huko Kibiti haukuwa ugaidi ?
Ugaidi naona ccm wanajiandaa Kama walivyouandaa wa mwekiti chadema,hakika swala la ugaidi likifika Tanzania sijui tutakimbilia wapi,punguzeni jaziba za kisiasa jibuni kwa hoja na kutishana hii Ni nchi iliyosalama.
 
Ndio hao vilaza wa div IV
 
Mimi ni darasa la 7 mkondo D maana darasa letu tulikuwa wanafunzi 600. Sera mbovu za chama chenu pendwa hizo. Wasiwasi wangu naona kama huyo OCD namzidi kwa ku-reason japo yeye ana form 4 ya kupiga gwaride na kulinda benki.
Majibu mazuri Sana ila mpokeaji Sasa sijui Kama atakuelewa.
 
NI KWAMBA OCD HAJUI MAANA YA UGAIDI.....NA PENGINE WANA SHAUKU YA KUSHUHUDIA UGAIDI KWENYE NCHI HII......

UGAIDI SIO JAMBO LA KUTAJWA TAJWA HASA KWENYE HII NCHI YETU INAYOCHECHEMEA KIUCHUMI.......
 
Au wakuu mnasemaje?

Hebu soma hii.

Wakati sekretariet ya ccm_tanzania ikiwa imemaliza kutembelea mikoa kadhaa ya ikiwemo Kagera,Kigoma,na Katavi huku wakifanya mikutano ya hadhara, jeshi la polisi @tanpol limezuia mikutano ya @ChademaTz kwa kile kilichoelezwa uwepo wa tishio la Ugaidi nchini Tanzania.
 
Hii katiba tuliyi nayo anaye ikubali ni mqenyekiti wa chama kinacho ongoza nchi tu
 
Riz1:
Baba mbona unasemwa vibaya na unatukanwa sana hadi kwenye mitandao na hauchukui hatua..??
Jk:
Mwanangu, katiba ya JMWT imempa Rais mamlaka makubwa sana. Sasa nikitaka kuwachukulia hatua nitafunga wangapi..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…